Watanzania wangapi wanaufahamu mchango wa Tundu Lissu kwa Taifa?

Yaan TUNDU LISSU awe na mchango upi kwa Taifa letu? Watz bhana, Tundu Lissu ni [emoji706][emoji706]
 
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa
majungu !!
 
Tundu Amewatendea wema watu wengi sana. Aliwakomboa watu waliopaswa kupewa vifungo magerezani kwa kesi za michongo.

Baraka za watu zilimponya tar 7 sept 2017.
Na aliyetoa amri ya shambulizi leo yuko motoni anabanikwa kama ndafu
 
Hana mchango wowote kwa Taifa
 
Ndugu yangu, TAL ni kati ya watu wachache sana Tanzania wenye uzalendo unaotisha, upendo wa ajabu, huruma ya aina yake. Wenzangu wa Nyamongo tunamkumbuka sana kwa makuu aliyotufanyia. Anayemzidi kwa mbali ni Mungu Mwenyezi tu. Aliwahurumia washitaki wake Dodoma. Hii ndiyo sababu amebaki hai na kupewa nafasi nyingine ya kuishi hapaduniani. Ni jasiri ajabu.
 
Lisu ndo ameituliza bahari, kitendo cha yeye kugombea uraisi kilimpelekea mauti yule nduli
 
Lisu ndo ameituliza bahari, kitendo cha yeye kugombea uraisi kilimpelekea mauti yule nduli
Nduli ameondoka,wapambe wanalia njaa na ukiwa.
TAL ni mpango wa Mungu katikati ya waoga wa watawala dhalimu kama utawala wa yule dhalimu muiba Roho za wananchi wenziwe na muiba haki za wananchi katika kura.
Mungu amzidishie maumivu huko Jehanum aliko hivi sasa.
 
Hapa Tundu Lissu alinifumbua macho sana๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Your browser is not able to display this video.
 
Utakuwa ulikuja mjini kusoma wewe.
Kabla ya kuuliza mchango wa lisu ungeuliza kwanza mchango wa polepole kwa taifa hili? Au kale ka NGO kake la nanilioo
 
Ni mtu wa hovyo kuwahi kutokea.
 
Hakika hakustahili kufa!na ndo maana Mungu alimponya na kumuokoa katikati ya waovu
Na leo amekiri kalipwa haki zake zoote.

Mungu azidi kumsimamia Rais Samia atende haki kwa watanzania wote. Amina
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ