Watanzania wangapi wanaufahamu mchango wa Tundu Lissu kwa Taifa?

Lissu amevuka mizinga mingi. Kama watu hawataki kujifunza waache tu wateketee
 
Labda wewe pekee ndio huujui mchango wa Shujaa Tundu Lissu ama tuseme umechelewa kuujua , ungeenda kanda ya Ziwa au Tarime ukauzungumza upuuzi wa kutunga kumhusu Lissu ni lazima ungepigwa mawe
 
Upuuzi huu,, inafika hatua unampa sifa mwanadamu mwenzako as whom?

Siasa bana mkifanyiwa porojo kidg basi misifa kibao, mbna wenzenu wakiusifia upande wa viongoz wa ccm mnawaita mazuzu na matusi kibao, lkn hao viongoz wa chama chenu mnaona wako sawa hata wakikosea[emoji23][emoji23].

Siasa ni takataka
 
Mpango wa Mungu kukimbia nchi?, mpango wa Mungu kusapoti ushoga? ,mpango wa Mungu kuogopa kuwapigia kelele hao wafadhiri waizi wa madini kwa vigezo vya wawekezaji? Wanachadema bana sjui ni nani kawaroga , alafu huyo mwendazake mnaemuhukumu hamjui yuko wapi kwa sasa, na kama alikuwa akiharibu nchi, je ni mangapi mpaka sasa ya maana mmepata baada ya yeye kufariki?

Ama kwel hiki chama wanachama wake wanaendeshwa kama matahira na hawajui wanataka nini, yaan ni watu wa kwenda na propaganda&uongo uongo.

Badirikeni
 
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa
Unaweza kuiweka hiyo clip hapa?.

Huu uzushi wa ccm mnatembea nao tuu.
Watu mtakuwa kuni huko muendako.
 
Hapa nani anasapoti ushoga?
 
Mkongwe mwenzangu P, achia vijana sasa tumeshakuwa wakongwe.
 
Nilikuwa namkubali sana hadi alipotamka kuwa anaunga mkono ushoga ndipo nilipomtoa thamani na sasa baada ya kusikia ameteuliwa kuwa balozi wa ushoga Tanzania na Afrika kwa ujumla ndio kabisaaa
Inakuaje lisu asiunge akati serikali yenu inaunga mnategemea pesa tokakwako pia futeni sheria ya faragha ndomana namsapoti kwani vinavofanyika mle chumbani mwenu ni aibu
 
Labda wewe pekee ndio huujui mchango wa Shujaa Tundu Lissu ama tuseme umechelewa kuujua , ungeenda kanda ya Ziwa au Tarime ukauzungumza upuuzi wa kutunga kumhusu Lissu ni lazima ungepigwa mawe
Mnsoufahamu Mungu anawaona kwani mmemnyima haki na hata yeye kajinyima haki kwani mchango una score kubwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…