Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mmeshaona urais ni sawa na kuvaa na kuvua pampas.
 
Makonda anapaswa kukabidhiwa Taifa letu katika mikono yake. Kwa hakika Taifa litakuwa katika mikono salama kabisa.Taifa litakuwa katika himaya ya mchapa kazi
Kama makonda amekuhonga siyo zaidi ua elfu 20, na zimekutoa akili kabisa,umekuwa hayawani usiyejitambua
 
Rubbish
 
Jiandae kumuona Mheshimiwa Makonda akila kiapo cha Urais wa nchi yetu huku mamilioni ya wananchi wakibubujikwa machozi ya furaha.
mfumo hauwezi kuruhusu tena watu wenye changamoto ya afya ya akili kama makonda, magufuli, kuchukua urais tena.
 
ningekushangaa na kukuona bwege ama sio fala kama usingeweka namba yako simu.

bila shaka makonda alikutumia buku 7 yako.
 
Dah! Kwa haya maigizo ya kupanda guta kujustify na kutengeneza per diem (pesa za wajinga), halmashauri ya kichwa chako ishamtunuku the highest national office?. Nahisi una ugonjwa wa kufisha ni bora sasa utafute matibabu.

Yani mshaona kbs urais wa Tanzania ni wa mediocres? Ndo maana nchi haisogei mbele hata nukta moja ni wizi na ufisadi left and right, na viongozi mediocre hawajui cha kufanya, wanajua kukopa tu kufidia wizi waliofanya.

Huo utafiti wa mamilioni umeufanyia wapi? Unaweza kujustify hao mamilioni sio makamasi yako kichwani?

Wandugu nafikiri kumjibu na kuchangia threads za huyu kichaa ni kushindwa kujitofautisha naye na kumpa mileage za kuhorojeka kila siku multiple times, just ignore huyu mdada! Hajavunja ungo bado
 
Acha ujinga wako hapa.nani kakwambia sifanyi kazi au nani kakwambia kuwa hapa jukwaani ndio nafanyia kazi
 
Kwanini asigombee 2025?

Urais Tanzania kimekuwa kitu rahisi sana.
 
yaani kuongoza watu zaidi ya 60mil imekuwa rahisi sana, tena 60mil people ambao zaidi ya 50% wanaishi kwenye mstari wa umasikini na nchi yenyewe kiujumla ni masikini na inahitaji kujengwa kuanzia miundo mbinu na mifumo
 
mfumo hauwezi kuruhusu tena watu wenye changamoto ya afya ya akili kama makonda, magufuli, kuchukua urais tena.
Usidanganyike bongo hakunaga mfumo! Upepo ukimwendea vema atagombea na kupitishwa na CCM!
Mfumo unamaanisha team Kikwete bila shaka!
Mfano mzuri angalia marekani Trump licha ya maneno mengi ya watu juu yake anavyoshaini na akipitishwa tu Biden lazima aondoke asubuhi!
Lakini nikwambie Makonda anaweza kuwa mkuu wa nchi hutoamini ukumbuke muda unaenda na vizazi vinabadilika!
 
Nchi ina mazezeta hii basi hata Mungu naamini anatushangaa, Sasa hili gobole sijui linatumia kiungo gani kufikiria? Hebu ona andiko refu lliobeba ojaa kijinga halafu kweli tunawaza kupiga hatua kwa ana ya watu hawa
 
Huenda muandishi ni moja ya wale wakimbiz wanaoendelea kutamba humu nchini kinyume na sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…