Pre GE2025 ‘Watanzania wanyonge’ wataka Paul Makonda agombee na kupewa Urais 2030

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Niliambiwa kua uyaone, sasa naona mengi hadi nahisi yanazidi
 
Umeamua wewe na ukamwqmbie atuletee vyeti kwanza.
 
Nikiona mtu anaanza na "Ndugu zangu Watanzania" najua ni Prof himself Mwashambwa kutoka Ileje.
 
Ndugu zangu Watanzania, uchapakazi wa Mheshimiwa Makonda, ujasiri wake, uzalendo wake, kujitoa kwake kutetea wanyonge, ushupavu na umadhubuti wake umewakosha na kukonga mioyo ya Watanzania mitaani.



0742-676627.
Ila Chawa wewe ni kiboko ya machawa
 
Kwamba tunakuwa na Rais mwehu mwehu kwa mara nyingine tena? Hapana aisee.
 

Attachments

  • 20240328_205514.jpg
    38 KB · Views: 2
Sasa umekuwa mwehu kabsaa huna hata haya. Km kuna sehemu hamnazo ni kwa hilo jinga lenye akili ndogo liitwalo Bashite. Bashite isingekuwa ushirikina hakustahili kuwa hata balozi wa nyumba 10. Yule bwanamdogo hana akili kabisa ni empty-headed. Sukuma gang mmeishiwa
 
Hivi huna kazi ya kufanya? Kwanini kichwa chako kimejaa uchafu kiasi hiki? Unahitaji tiba
 
Mnyonge mwenyewe
Huyu lofa hamjui Bashite vizuri, Bashite ni jitu hatari sana nchi hii, mtu anafanya mazoezi akisindikizwa na V8 bado unamwita mtetezi wa wanyonge? Lazima uwe mwehu kwanza. Pili anakutana na mdogo wake GSM anamtishia maisha wakati hatujasahau mauaji aliyoyafanya kipindi cha yule shetani wao. Lile ni kundi haramu linatakiwa liteketezwe nchi hii.
 
Na kweli watanzania tuko wanyonge! kama Chama pendwa kimefikia hatua ya kutaka tuongozwe na kutawaliwa na suspected murderer? Basi binafsi sina la kuongeza!
 
Na kweli watanzania tuko wanyonge! kama Chama pendwa kimefikia hatua ya kutaka tuongozwe na kutawaliwa na suspected murderer? Basi binafsi sina la kuongeza!
Wewe endelea kuropoka lakini kaa kwa kujuwa kuwa huyo ndiye Rais wetu ajaye
 
Napendekeza awe Rais wa ukoo wa Mwashambwa mbubujike machozi ya furaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…