Watanzania waonywa dhidi ya tabia ya uwindaji na ulaji wa panya

Watanzania waonywa dhidi ya tabia ya uwindaji na ulaji wa panya

Nilishtuka kidogo nikafikiri Mkoa wa Rukwa ambao ni ghala la chakula la Taifa umekumbwa na njaa,,kumbe ni jamaa wametafuta mbinu ya kuwapunguza panya kwa sababu inaonekana wanaharibu mazao
(panya wana tabia ya kufukua na kula mbegu za mahindi wakati zinapopandwa sasa wakiwa wengi ni shida sana)

Anyway,,binafsi sioni kama kuna shida kama hao panya wanaoliwa hawana madhara na watu wanakula kwa kupenda na sio kwa sababu ya njaa kama ilivyokuwa kwa ile familia iliyokuwa inaishi kwa kutegemea maziwa ya Mbwa huko kwa Watani zetu

Lakini pia kulingana maelezo hapo, hoja kubwa ni uharibifu wa misitu na mazingira kutokana uchomaji moto unaofanywa na Wananchi ili kuwanasa hao panya(yaani kilichomshtua RC sio ulaji wa Panya,bali uharibifu wa mazingira kutokana na uchomaji moto)

Nafikiri RC ahamasishe wananchi watafute mbinu nyingine ya kuwanasa hao panya kuliko Serikali ikiamua kuwauwa kwa kutumia sumu hali inayoweza inayoweza kusababisha madhara ya kiafya na hata vifo endapo Wananchi watadharau na kuamua kuwala panya waliouwawa kwa sumu

Waswahili husema "ukitaka kuwafukuza ngedere wanaoshambulia mazao yako WAFANYE WAWE KITOWEO CHAKO utaona wanaanza kuadimika",nafikiri hawa ndg zetu wa Rukwa wameamua kutumia kanuni hiyo baada kuona mashambulizi toka kwa panya yanawalemea..!
 
Nimekupa link ufuate taarifa kamili bado unahangaika kutetea, mlo wa panya ni kawaida yenu vyuma vikibana.
Kunao mnaokula hata mbwa cheki huku cheki tabia za wahehe wa iringa wnavyokula nyamba ya mbwa - ...

14717258_1722966954690390_291991552389916075_n.jpg
wa hehehe! ni sawa wacha watuzingue roundi hii
 
South Korea na China ndiyo wanakula mbwa zaidi duniani na nyoka na Panya, kule hawaachi mnyama yoyote hapa duniani, na Japan nao ni hivyo hivyo, lakini ndiyo vinara wa technolojia hapa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Technologia gani wahehe wamechangamkia? Bure kabisa kumbe wewe ni mla panya no Wonder
 
Hakuna mnyama ambaye amekatazwa kuliwa, kama wewe au tamaduni zenu haziruhusu, sio wote hawaruhusu, waislamu hawali nguruwe, au watu kutoka bara hawawezi kula pweza, Turkana wanakula Punda, Zambia wanakula Caterpillars lakini hawawezi kula Prawns, hiyo ndiyo dunia. Mtu yeyote anayeshangaa mtu au taifa lingine kwa kula chakula chao cha asili inaonyesha jinsi ambavyo yupo very uncivilized.
Naona umekubali baada ya kukamatwa red handed harakatini mwa kumla panya na mbwa. Thank you boy this will be used against you next time in JF...you're the slowest brain alive afathali ungezaliwa kama kikombe cha kunywea maji! Hahahaha
 
Technologia gani wahehe wamechangamkia? Bure kabisa kumbe wewe ni mla panya no Wonder no brainer.
Techonolojia ya kula mbwa na kuzalisha mahindi kwa wingi ambayo ndiyo yanayoletwa Kenya ili mkishashiba muendelee kubaguana kikbabila, kuuana hovyo kama vichaa, na kuzaana kwa wingi na kuongeza jobless youths ambao huongeza idadi ya slums kule Kibera[emoji38] [emoji38] [emoji38]
 
Hehehe!! Asante kwa kuingia penyewe na kunasa, haya kwaheri...
Hili likenya lilidhani watz wanakula panya kwa njaa tz kuna makabila hua yanakula aina furani ya panya ni mila zao siyo nyinyi wakenya mnakunywa maziwa ya mbwa Kwa sababu msife njaa this is too difference issue na wala awakuzuiwa kula panya bali aina ya uwindaji wa kuchoma moto ndiyo tatizo
 
Siku ukionja nyama ya Panya, hutokula tena hao Punda, nyama ya panya ni laini sana, na mifupa yake ni laini unatafuna yote, ila mnapata taabu sana kutafuna nyama ya punda, ninahisi ni ngumu sana kwasababu ya kazi ngumu anazofanya, au nimekosea![emoji38]
Mikenya inapenda nyama ngumu ya punda au tembo sababu ya njaa finyango moja unatafuna SAA nzima inamaliza ugali nusu kilo nikama nguru hapa Tanzania ilivyo na chumvi
 
Hili likenya lilidhani watz wanakula panya kwa njaa tz kuna makabila hua yanakula aina furani ya panya ni mila zao siyo nyinyi wakenya mnakunywa maziwa ya mbwa Kwa sababu msife njaa this is too difference issue na wala awakuzuiwa kula panya bali aina ya uwindaji wa kuchoma moto ndiyo tatizo

Waapi, viwavi mnakula kwa sababu ya mila??? Tena Dodoma mji mkuu wa nchi.
 
Waapi, viwavi mnakula kwa sababu ya mila??? Tena Dodoma mji mkuu wa nchi.
Tz dar es salaam ugali wenye mboga 5 ni sh1000 hadi sh1500 sawa sawa na ksh50 hadi ksh75
Tz akuna njaa siku tz ikipata njaa Kenya itabaki na familia 8000 tu zinazo miliki asilimia 80 ya Mali na ardhi ndiyo zitakazo kuwa hai
 
Techonolojia ya kula mbwa na kuzalisha mahindi kwa wingi ambayo ndiyo yanayoletwa Kenya ili mkishashiba muendelee kubaguana kikbabila, kuuana hovyo kama vichaa, na kuzaana kwa wingi na kuongeza jobless youths ambao huongeza idadi ya slums kule Kibera[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Meza panya pole pole.
 
Mikenya inapenda nyama ngumu ya punda au tembo sababu ya njaa finyango moja unatafuna SAA nzima inamaliza ugali nusu kilo nikama nguru hapa Tanzania ilivyo na chumvi
Uko na experience ya kutafuna nyama ngumu na ugali nusu kilo.
 
Kila siku mimi husikia watu wakijisifu humu jinsi nchi yao ya Tanzania ilivyo nchi iliyoshiba, kumbe hii ndio shibe? Wanashiba nyama ya panya na mbwa? Kweli Watanzania mmeshiba. Ila @MK24 wewe ni mchokozi sana. Yaani unamvua jirani hadi chupi mchana mchana giving.
 
Hawa hata hawajavuliwa, unajua media zao huwa zimelala hivyo haya unayoyaona yakijitokeza ni kwasababu yamepitiliza.
 
Back
Top Bottom