joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
Mila na desturi za njaa! Wewe fikiria familia moja inakula zaidi ya panya saba kwa mpigo, si paka wote watakufa kwasababu ya njaa? 😀
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mila na desturi za njaa! Wewe fikiria familia moja inakula zaidi ya panya saba kwa mpigo, si paka wote watakufa kwasababu ya njaa? 😀
wa hehehe! ni sawa wacha watuzingue roundi hiiNimekupa link ufuate taarifa kamili bado unahangaika kutetea, mlo wa panya ni kawaida yenu vyuma vikibana.
Kunao mnaokula hata mbwa cheki huku cheki tabia za wahehe wa iringa wnavyokula nyamba ya mbwa - ...
![]()
Technologia gani wahehe wamechangamkia? Bure kabisa kumbe wewe ni mla panya no WonderSouth Korea na China ndiyo wanakula mbwa zaidi duniani na nyoka na Panya, kule hawaachi mnyama yoyote hapa duniani, na Japan nao ni hivyo hivyo, lakini ndiyo vinara wa technolojia hapa duniani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Naona umekubali baada ya kukamatwa red handed harakatini mwa kumla panya na mbwa. Thank you boy this will be used against you next time in JF...you're the slowest brain alive afathali ungezaliwa kama kikombe cha kunywea maji! HahahahaHakuna mnyama ambaye amekatazwa kuliwa, kama wewe au tamaduni zenu haziruhusu, sio wote hawaruhusu, waislamu hawali nguruwe, au watu kutoka bara hawawezi kula pweza, Turkana wanakula Punda, Zambia wanakula Caterpillars lakini hawawezi kula Prawns, hiyo ndiyo dunia. Mtu yeyote anayeshangaa mtu au taifa lingine kwa kula chakula chao cha asili inaonyesha jinsi ambavyo yupo very uncivilized.
Techonolojia ya kula mbwa na kuzalisha mahindi kwa wingi ambayo ndiyo yanayoletwa Kenya ili mkishashiba muendelee kubaguana kikbabila, kuuana hovyo kama vichaa, na kuzaana kwa wingi na kuongeza jobless youths ambao huongeza idadi ya slums kule Kibera[emoji38] [emoji38] [emoji38]Technologia gani wahehe wamechangamkia? Bure kabisa kumbe wewe ni mla panya no Wonder no brainer.
https://www.nation.co.ke/news/Kenya...Index-rankings/1056-945310-xke1t0z/index.htmlNaona umekubali baada ya kukamatwa red handed harakatini mwa kumla panya na mbwa. Thank you boy this will be used against you next time in JF...you're the slowest brain alive afathali ungezaliwa kama kikombe cha kunywea maji! Hahahaha
Hili likenya lilidhani watz wanakula panya kwa njaa tz kuna makabila hua yanakula aina furani ya panya ni mila zao siyo nyinyi wakenya mnakunywa maziwa ya mbwa Kwa sababu msife njaa this is too difference issue na wala awakuzuiwa kula panya bali aina ya uwindaji wa kuchoma moto ndiyo tatizoHehehe!! Asante kwa kuingia penyewe na kunasa, haya kwaheri...
Mikenya inapenda nyama ngumu ya punda au tembo sababu ya njaa finyango moja unatafuna SAA nzima inamaliza ugali nusu kilo nikama nguru hapa Tanzania ilivyo na chumviSiku ukionja nyama ya Panya, hutokula tena hao Punda, nyama ya panya ni laini sana, na mifupa yake ni laini unatafuna yote, ila mnapata taabu sana kutafuna nyama ya punda, ninahisi ni ngumu sana kwasababu ya kazi ngumu anazofanya, au nimekosea![emoji38]
Wanyama wote ni wapolini jomba[emoji15] [emoji15]Acha punda, mila za kwetu hazitukubali tule wanyama wowote wa porini. Eti nyama ya panya ni laini! Acha yaishie hapo!
Hata wewe hapo ni wa 'polini'. 😀Wanyama wote ni wapolini jomba[emoji15] [emoji15]
Hili likenya lilidhani watz wanakula panya kwa njaa tz kuna makabila hua yanakula aina furani ya panya ni mila zao siyo nyinyi wakenya mnakunywa maziwa ya mbwa Kwa sababu msife njaa this is too difference issue na wala awakuzuiwa kula panya bali aina ya uwindaji wa kuchoma moto ndiyo tatizo
Tz dar es salaam ugali wenye mboga 5 ni sh1000 hadi sh1500 sawa sawa na ksh50 hadi ksh75Waapi, viwavi mnakula kwa sababu ya mila??? Tena Dodoma mji mkuu wa nchi.
Meza panya pole pole.Techonolojia ya kula mbwa na kuzalisha mahindi kwa wingi ambayo ndiyo yanayoletwa Kenya ili mkishashiba muendelee kubaguana kikbabila, kuuana hovyo kama vichaa, na kuzaana kwa wingi na kuongeza jobless youths ambao huongeza idadi ya slums kule Kibera[emoji38] [emoji38] [emoji38]
Uko na experience ya kutafuna nyama ngumu na ugali nusu kilo.Mikenya inapenda nyama ngumu ya punda au tembo sababu ya njaa finyango moja unatafuna SAA nzima inamaliza ugali nusu kilo nikama nguru hapa Tanzania ilivyo na chumvi
Kila siku mimi husikia watu wakijisifu humu jinsi nchi yao ya Tanzania ilivyo nchi iliyoshiba, kumbe hii ndio shibe? Wanashiba nyama ya panya na mbwa? Kweli Watanzania mmeshiba. Ila @MK24 wewe ni mchokozi sana. Yaani unamvua jirani hadi chupi mchana mchana giving.
Hawa hata hawajavuliwa, unajua media zao huwa zimelala hivyo haya unayoyaona yakijitokeza ni kwasababu yamepitiliza.