kennedy0000
JF-Expert Member
- Apr 14, 2012
- 4,349
- 3,745
Sasa zimbabwe, botswana kenya mna nn cha ziada kutushinda. Nothing exceptional. Y'all are just poor english speaking people.
Nje ya nchi kufanya nn pumbavu
Dont be myopic brother, you still believe the knowledge, civilization and everything are hiden in english language. One can not access them if is not an english speaker. Mungu tusaidie tutoke kwenye utumwa wa akili.
Mmngekua proud na uafrika, mngeanza kwa kukumbatia lugha zenu za asili, lakini wengi wenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu. Mnaita ushamba, ukweli wa mambo kingereza kimewashinda na ndio maana mumekiogopa.
Hao Wachina uliokua nao wakiandika thesis in English maana wanatambua umuhimu wake, mamilioni ya Wachina, Wakorea, Warusi, Wahindi n.k. dunia hii wapo mbioni kujifunza kingereza, wewe maskini mswahili hutaki kujiboresha unadanganywa na wakuu wa kwenu ukomae na lugha moja ilhali watoto wao wanatumia kingereza balaa na kunyakua fursa zinazokihitaji.
Leo hii ukienda Urusi, Uchina au hata India inabidi mpatane nao kwa matumizi ya kingereza, sawa wao kwa wao wanatumia lugha zao, lakini ili mpatane au wawasialiane na wageni, kingereza kinatumika sana.
Mngekua mumejisimamia kiviwanda labda ningeelewa hilo la kukomalia lugha moja, lakini hadi chupi na nguo za ndani na sindano vyote mnaagiza, halafu kiuzembe hamtaki kujifunza lugha za hao mnaagiza kutoka kwao, mnaishia maisha ya tabu sana maana vitu vyote vinakuja vimeandikwa kwa lugha yao. Na ndio maana huwa mnaliwa sana kwenye raslimali za nchi, mikataba imeandikwa kwa kingereza, tena zenye kurasa nyingi sana na mlivyo wavivu wa kusoma hadi huruma....
Nimekuambia na narudia tena, Somalia nimeitaja kama mfano kwako kwamba ubaguzi unaweza kuja kwa kutumia vyanzo vingine nje ya lugha. Watu wanaweza kutumia lugha moja lakini wakabaguana na kupigana kwa misingi ya kiukoo, rangi ya ngozi n.k. Somalia sio vita vya madaraka tuu, kuna koo hazioani kabisa, na huajiriwi kwenye hoteli zinazomilikiwa na mtu wa ukoo fulani kisa ukoo wako huwa hauendani na ukoo wake. Kama hujaelewa hapo basi sitoweza kukusaidia.
Yaani wewe jamaa iyo kichwa yako imejaa ujinga hadi inafurika, why talking like you know each and every Tanzanian.Wacha kujificha kwenye mambo ya hisia, hapa tunaambizana ukweli.
Nilichokua nasema na narudia, nyie mumefungwa kwenye lugha moja ambayo wengi wengi hamjaimudu kiuandishi, hivyo mnakua kama mateka fulani hivi, maana huwa kama mumechanganyikiwa vile, mnaazisha mtoto wa saint Kayumba kwa Kiswahili kwenye elimu ya msingi, halafu kisha mnakuja kumchanganya na Kingereza pale anapojiunga na shule ya upili.
Sisi Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, lakini pia tumetambua hakiwezi kukidhi kila kitu maana bado sana kwenye uboreshwaji wake, hauwezi kukilinganisha kwa mfano na Kichina ambacho kimetumika kiviwanda mamia ya miaka iliyopita. Hivyo tumekumbatia na kutumia Kingereza maana dunia yote sasa hivi ujanja wa kutumia lugha za kimataifa unakuwezesha kwenye mambo mengi.
Lakini zaidi ya yote, sisi hatujatelekeza lugha zetu za asili, mimi hapa naongea Kikikuyu tena kwa ufasaha, naimba nyimbo zetu za kitamaduni, na pia nimejifunza lugha zingine zetu kama vile Kiluhya, Kikamba na pia Kijaluo japo kidogo. Hata hivyo kila siku napambana kuboresha uwezo wangu wa kuongea na kuandika Kingereza na Kiswahili maana nazitumia kibiashara. Kuna kipindi nilikua nimeanza kujifunza Kifaransa ila nikakosa watu wa kunisaidia kufanya mazoezi.
Kizuri chajiuza budaboss, kibaya chajitembeza.Nje ya nchi angalau kutangaza kwamba Kilimanjaro iko Tanzania wala sio Kenya.
Kizuri chajiuza budaboss, kibaya chajitembeza.
Zimbabwe, SA etc are introducing swahili in their curriculum, wants to abandon english and shona and other tribal language. We're a role model to all sadc members in lingua franca, its not an easy journey, but all will eventually catch upZimbabwe na Botswana ndio majirani wa karibu. If you can't even communicate with your neighbours, how will you do business with them?
Zimbabwe, SA etc are introducing swahili in their curriculum, wants to abandon english and shona and other tribal language. We're a role model to all sadc members in lingua franca, its not an easy journey, but all will eventually catch up
Google zimbabwe and swahili and get informed, sane africans knows dae way, myopic old ones will be left behind with their mental slavery.
Wewe tulia hapo, utajifunza toka Tz mambo inavyoenda. Swahili is still young, doesnt have wide words like english, mdo mdo sane patriot raia are working on that.Sasa wanapeleka watoto wao international schools huko Tanzania ili wafunzwe kingereza.
Nyinyi wa saint kayumba mbaki tu bongolala.
Yaani wewe jamaa iyo kichwa yako imejaa ujinga hadi inafurika, why talking like you know each and every Tanzanian.
Kwani wakikuyu wote kenya wanajijua kikuyu language? Jaluo je.
These tribal language are bound to die just like other languages that were common like latin, ancient chinese, etc. English likewise inaenda kufa, americans are witnessing this in presently dominant spanish states.
So argue like a sane old man, not like an insane old man. Plz, you make some of us puke with your reasoning.
Unaongea KAMA vile huna utashi wa AKILI.
Kenya imeliwa miaka nenda miaka rudi je hamjui kiingereza? Tumia uwezo wako wa kufikiri vizuri. SGR YENYU mmekopa kwa mkataba wa ajabu, hamjui kiingereza??
Jipange kaka use kivingine.
Foolish guy what did africans used to wear, foolish guy africans were the first civilization, long before those cave pig skin guys you worship knew how to cook and walk with two limbs and dress, back then they were neanderthals before intermarriage with migrant black men to produce paled skin subhuman you adore. Foolish guy you're too brainwashed and dumb, who said swahili will be next in the world, its going to replace arabic as most widely spoken language in africa thats for sure.So English is coming to an end, paving way for the world to embrace Kiswahili. Mshenzi wewe.
And if you want to prove you're not a mental slave, remove those western clothes you're wearing and wear what African used to wear.
But what border do they have to cross to mount it. Hence kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. What did you get with your perk of been able to speak english and market it, peanuts & NOTHING.Uzuri wa Kilimanjaro uliuzwa na Wakenya, na wengi bado hudhani mlima uko Kenya.
One of the perks of been able to speak in English.
Hehehehe!! Naona nimekufikisha mwisho wa uwezo wako....haya kwaheri.
...mtu kutoka Mwanza or Arusha kuja kuargue ati ni mswahili kushinda mtu kutoka Lamu ama Malindi ama Mombasa ni nonsense. Those three towns are more Swahili than 99% of Tanzania
I think u are as insincere as the Tanzanian leaders accused here of paying lip- service to the promotion of Kiswahili as the national as well as global language, while prefering their kids to attend English speaking schools.You are talking about retirees and cofee farmers like you. Not this current upcoming generation. I wish there was more input and effort to improve swahili and how it is used. Personally, I prefer swahili!
You nailed it my broda. Mtu ambaye hana exposure kama MK254 hawezi kukuelewa unamaanisha nini. Simlaumu, kwa maana hata mimi mwenyewe nilivyokuwa sijatoka nje ya bara hili, nilifikiri maisha hayawezekeni bila kiingereza. lakini nilivyofika continental europe, scandinavia, south america, asia nikagundua kuwa there is a life outside english. Nikakuta watu wa meeneo hayo wanaendelea na maisha yao kama kawaida kabisa. unaenda kwenye metro ni lugha yao, unaenda kwenye subway ni lugha yao hata kwenye machine za kutolea pesa bado nakuta ni lugha yao, hukuti hata bango moja limeandikwa kwa kiingereza. I wish huyu jamaa atembelee maeneo hayo ili aondokane na kufungwa kiakili kwamba huwezi fanya lolote bila kiingereza.