Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

Watanzania wapo kwenye njia panda baina ya Kiswahili na Kingereza

Sasa zimbabwe, botswana kenya mna nn cha ziada kutushinda. Nothing exceptional. Y'all are just poor english speaking people.

Zimbabwe na Botswana ndio majirani wa karibu. If you can't even communicate with your neighbours, how will you do business with them?
 
Dont be myopic brother, you still believe the knowledge, civilization and everything are hiden in english language. One can not access them if is not an english speaker. Mungu tusaidie tutoke kwenye utumwa wa akili.

Actually yes. More than half of all content on the internet is in English.
Meaning bongolala is missing out on about 60% of knowledge.
 
Mmngekua proud na uafrika, mngeanza kwa kukumbatia lugha zenu za asili, lakini wengi wenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu. Mnaita ushamba, ukweli wa mambo kingereza kimewashinda na ndio maana mumekiogopa.

Hao Wachina uliokua nao wakiandika thesis in English maana wanatambua umuhimu wake, mamilioni ya Wachina, Wakorea, Warusi, Wahindi n.k. dunia hii wapo mbioni kujifunza kingereza, wewe maskini mswahili hutaki kujiboresha unadanganywa na wakuu wa kwenu ukomae na lugha moja ilhali watoto wao wanatumia kingereza balaa na kunyakua fursa zinazokihitaji.

Leo hii ukienda Urusi, Uchina au hata India inabidi mpatane nao kwa matumizi ya kingereza, sawa wao kwa wao wanatumia lugha zao, lakini ili mpatane au wawasialiane na wageni, kingereza kinatumika sana.

Mngekua mumejisimamia kiviwanda labda ningeelewa hilo la kukomalia lugha moja, lakini hadi chupi na nguo za ndani na sindano vyote mnaagiza, halafu kiuzembe hamtaki kujifunza lugha za hao mnaagiza kutoka kwao, mnaishia maisha ya tabu sana maana vitu vyote vinakuja vimeandikwa kwa lugha yao. Na ndio maana huwa mnaliwa sana kwenye raslimali za nchi, mikataba imeandikwa kwa kingereza, tena zenye kurasa nyingi sana na mlivyo wavivu wa kusoma hadi huruma....

Nimekuambia na narudia tena, Somalia nimeitaja kama mfano kwako kwamba ubaguzi unaweza kuja kwa kutumia vyanzo vingine nje ya lugha. Watu wanaweza kutumia lugha moja lakini wakabaguana na kupigana kwa misingi ya kiukoo, rangi ya ngozi n.k. Somalia sio vita vya madaraka tuu, kuna koo hazioani kabisa, na huajiriwi kwenye hoteli zinazomilikiwa na mtu wa ukoo fulani kisa ukoo wako huwa hauendani na ukoo wake. Kama hujaelewa hapo basi sitoweza kukusaidia.

Unaongea KAMA vile huna utashi wa AKILI.
Kenya imeliwa miaka nenda miaka rudi je hamjui kiingereza? Tumia uwezo wako wa kufikiri vizuri. SGR YENYU mmekopa kwa mkataba wa ajabu, hamjui kiingereza??

Jipange kaka use kivingine.
 
Wacha kujificha kwenye mambo ya hisia, hapa tunaambizana ukweli.
Nilichokua nasema na narudia, nyie mumefungwa kwenye lugha moja ambayo wengi wengi hamjaimudu kiuandishi, hivyo mnakua kama mateka fulani hivi, maana huwa kama mumechanganyikiwa vile, mnaazisha mtoto wa saint Kayumba kwa Kiswahili kwenye elimu ya msingi, halafu kisha mnakuja kumchanganya na Kingereza pale anapojiunga na shule ya upili.

Sisi Kiswahili ni lugha yetu ya taifa, lakini pia tumetambua hakiwezi kukidhi kila kitu maana bado sana kwenye uboreshwaji wake, hauwezi kukilinganisha kwa mfano na Kichina ambacho kimetumika kiviwanda mamia ya miaka iliyopita. Hivyo tumekumbatia na kutumia Kingereza maana dunia yote sasa hivi ujanja wa kutumia lugha za kimataifa unakuwezesha kwenye mambo mengi.

Lakini zaidi ya yote, sisi hatujatelekeza lugha zetu za asili, mimi hapa naongea Kikikuyu tena kwa ufasaha, naimba nyimbo zetu za kitamaduni, na pia nimejifunza lugha zingine zetu kama vile Kiluhya, Kikamba na pia Kijaluo japo kidogo. Hata hivyo kila siku napambana kuboresha uwezo wangu wa kuongea na kuandika Kingereza na Kiswahili maana nazitumia kibiashara. Kuna kipindi nilikua nimeanza kujifunza Kifaransa ila nikakosa watu wa kunisaidia kufanya mazoezi.
Yaani wewe jamaa iyo kichwa yako imejaa ujinga hadi inafurika, why talking like you know each and every Tanzanian.
Kwani wakikuyu wote kenya wanajijua kikuyu language? Jaluo je.
These tribal language are bound to die just like other languages that were common like latin, ancient chinese, etc. English likewise inaenda kufa, americans are witnessing this in presently dominant spanish states.
So argue like a sane old man, not like an insane old man. Plz, you make some of us puke with your reasoning.
 
Zimbabwe na Botswana ndio majirani wa karibu. If you can't even communicate with your neighbours, how will you do business with them?
Zimbabwe, SA etc are introducing swahili in their curriculum, wants to abandon english and shona and other tribal language. We're a role model to all sadc members in lingua franca, its not an easy journey, but all will eventually catch up
Google zimbabwe and swahili and get informed, sane africans knows dae way, myopic old ones will be left behind with their mental slavery.
 
Keep dreaming. No one is introducing Swahili into their curriculum outside East Africa.

Shona is almost a distant dialect of Swahili, so don't wet your pants with excitement.
 
Sasa wanapeleka watoto wao international schools huko Tanzania ili wafunzwe kingereza.
Nyinyi wa saint kayumba mbaki tu bongolala.
Wewe tulia hapo, utajifunza toka Tz mambo inavyoenda. Swahili is still young, doesnt have wide words like english, mdo mdo sane patriot raia are working on that.
Government schools are becoming big deal now in Tz, when that is fully achieved, the government will go on with the plan, siwezi kukujazia details zote hapa. Too huge, aint got time for all that now.
 
Yaani wewe jamaa iyo kichwa yako imejaa ujinga hadi inafurika, why talking like you know each and every Tanzanian.
Kwani wakikuyu wote kenya wanajijua kikuyu language? Jaluo je.
These tribal language are bound to die just like other languages that were common like latin, ancient chinese, etc. English likewise inaenda kufa, americans are witnessing this in presently dominant spanish states.
So argue like a sane old man, not like an insane old man. Plz, you make some of us puke with your reasoning.

Am glad I am making you puke, yeah kumbe inawaingia.....hehehehe..hii mitandao itasababisha ufe presha bure kaka, tuliza ujadili na wenzako bila mihemko.
Majority of Kenyans wana uwezo wa kuongea lugha zao za asili, na pia 100% wanaweza kuelewa wakiongeleshwa, hatuishi kama watumwa wa kudakia lugha mpya na kutelekeza asili zetu kisa kiongozi wa nchi amesema.

Lakini pia kama nilivyosema, tunakipenda Kiswahili maana ni lugha yetu ya taifa na inasababisha tunawasiliana baina ya matabaka, hata hivyo tumekumbatia umuhimu wa Kingereza maana ndio ujanja wa dunia ya leo, nikienda India, Uchina, Taiwan, Brazil yaani kote duniani, bila kujua Kingereza nitapata tabu sana maana lugha zao hao sizijui lakini wao wengi wamejifunza Kingereza na mimi nakijua hivyo tuna lugha moja inatuwezesha kibiashara na mahusiano.
 
Unaongea KAMA vile huna utashi wa AKILI.
Kenya imeliwa miaka nenda miaka rudi je hamjui kiingereza? Tumia uwezo wako wa kufikiri vizuri. SGR YENYU mmekopa kwa mkataba wa ajabu, hamjui kiingereza??

Jipange kaka use kivingine.

Hehehehe!! Naona nimekufikisha mwisho wa uwezo wako....haya kwaheri.
 
So English is coming to an end, paving way for the world to embrace Kiswahili. Mshenzi wewe.
And if you want to prove you're not a mental slave, remove those western clothes you're wearing and wear what African used to wear.
Foolish guy what did africans used to wear, foolish guy africans were the first civilization, long before those cave pig skin guys you worship knew how to cook and walk with two limbs and dress, back then they were neanderthals before intermarriage with migrant black men to produce paled skin subhuman you adore. Foolish guy you're too brainwashed and dumb, who said swahili will be next in the world, its going to replace arabic as most widely spoken language in africa thats for sure.
There were more than 10000 communities here, and it was called al kebulan before it was named aftr a dutch guy known as african, ever heard africana in SA? Some were advanced some weren't.
Everything from mathematics, architecture, agriculture, sheltering etc those cavemen and their jesus you worship learned from us, they just wiped records they could get in touch with, so you could be deceived it was them that taught your dumb ass. Cant believe i wrote all this shit for you.
Fvck off here slave. Google and learn yourself or teach thy kids the same shit.
Bye bietch
 
Uzuri wa Kilimanjaro uliuzwa na Wakenya, na wengi bado hudhani mlima uko Kenya.
One of the perks of been able to speak in English.
But what border do they have to cross to mount it. Hence kizuri chajiuza, kibaya chajitembeza. What did you get with your perk of been able to speak english and market it, peanuts & NOTHING.
 
You are talking about retirees and cofee farmers like you. Not this current upcoming generation. I wish there was more input and effort to improve swahili and how it is used. Personally, I prefer swahili!
I think u are as insincere as the Tanzanian leaders accused here of paying lip- service to the promotion of Kiswahili as the national as well as global language, while prefering their kids to attend English speaking schools.

I know many Kenyans like u, ati "Kiswahili kitukuzwe" huku manyumbani mwao wanasisitiza kuzungumza English na familia full- time, kama si lugha zao za kitamaduni.
 
You nailed it my broda. Mtu ambaye hana exposure kama MK254 hawezi kukuelewa unamaanisha nini. Simlaumu, kwa maana hata mimi mwenyewe nilivyokuwa sijatoka nje ya bara hili, nilifikiri maisha hayawezekeni bila kiingereza. lakini nilivyofika continental europe, scandinavia, south america, asia nikagundua kuwa there is a life outside english. Nikakuta watu wa meeneo hayo wanaendelea na maisha yao kama kawaida kabisa. unaenda kwenye metro ni lugha yao, unaenda kwenye subway ni lugha yao hata kwenye machine za kutolea pesa bado nakuta ni lugha yao, hukuti hata bango moja limeandikwa kwa kiingereza. I wish huyu jamaa atembelee maeneo hayo ili aondokane na kufungwa kiakili kwamba huwezi fanya lolote bila kiingereza.

Wakenya kwa kweli wana matatizo ya akili sana, yaani mtu anafikiri kuongea broken English ndiyo kuendelea. Ndiyo maana wananyanyasika na wazungu in their country kwa ujinga. Every country has to have its own identity, what's the point kusema English is your main language when unacho ongea hakieleweki tena unaongea in Kikuyu accent watu wanakuuliza mara mbili mbili ili wakuelewe.
 
Mmngekua proud na uafrika, mngeanza kwa kukumbatia lugha zenu za asili, lakini wengi wenu hamjui hata salamu kwa lugha zenu. Mnaita ushamba, ukweli wa mambo kingereza kimewashinda na ndio maana mumekiogopa.

Hao Wachina uliokua nao wakiandika thesis in English maana wanatambua umuhimu wake, mamilioni ya Wachina, Wakorea, Warusi, Wahindi n.k. dunia hii wapo mbioni kujifunza kingereza, wewe maskini mswahili hutaki kujiboresha unadanganywa na wakuu wa kwenu ukomae na lugha moja ilhali watoto wao wanatumia kingereza balaa na kunyakua fursa zinazokihitaji.

Leo hii ukienda Urusi, Uchina au hata India inabidi mpatane nao kwa matumizi ya kingereza, sawa wao kwa wao wanatumia lugha zao, lakini ili mpatane au wawasialiane na wageni, kingereza kinatumika sana.

Mngekua mumejisimamia kiviwanda labda ningeelewa hilo la kukomalia lugha moja, lakini hadi chupi na nguo za ndani na sindano vyote mnaagiza, halafu kiuzembe hamtaki kujifunza lugha za hao mnaagiza kutoka kwao, mnaishia maisha ya tabu sana maana vitu vyote vinakuja vimeandikwa kwa lugha yao. Na ndio maana huwa mnaliwa sana kwenye raslimali za nchi, mikataba imeandikwa kwa kingereza, tena zenye kurasa nyingi sana na mlivyo wavivu wa kusoma hadi huruma....

Nimekuambia na narudia tena, Somalia nimeitaja kama mfano kwako kwamba ubaguzi unaweza kuja kwa kutumia vyanzo vingine nje ya lugha. Watu wanaweza kutumia lugha moja lakini wakabaguana na kupigana kwa misingi ya kiukoo, rangi ya ngozi n.k. Somalia sio vita vya madaraka tuu, kuna koo hazioani kabisa, na huajiriwi kwenye hoteli zinazomilikiwa na mtu wa ukoo fulani kisa ukoo wako huwa hauendani na ukoo wake. Kama hujaelewa hapo basi sitoweza kukusaidia.

Mtoto MK254 hivi umewahi kutoka nje ya Kenya hata kidogo? Kama umetoka nje ya Kenya huwezi kuongea ujinga huu, you have a mentality ya mtu asiye na exposure na nchi zingine zaidi ya Kenya. Fika Europe, Asia, utaona kuwa English is nothing na as a matter of fact there are many countries in Europe who don't like speaking English, they don't see the importance of it. Nyerere na Mze Kenyatta walikuwa ahead of their time to adopt Kiswahili as our main language because hawakuona umuhimu wa adopting colonial language as our main language provided we were independent. Tanzania succeeded and Kenya failed miserably, thus led to you guys kuwa na ubaguzi wa ukabila. You failed your father of the nation, badly. I hope, you do understand speaking English siyo kuwa na akili...you know this, right?
 
Back
Top Bottom