Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Sielewi mbona wajasiria mali Watanzania wanaokuja kununua hao viranga hawajifunzi, bado wanaendelea kuingia hasara, maana sidhani kama kuna Mkenya sasa hivi anayeweza kuruhusu kumuuzia Matnzania chochote kabla ya kulipwa kwanza.

Nilipe hela yangu kwanza halafu mwenyewe utajijua huko mbele, ukikamatwa na Watanzania wenzako mtajua wenyewe mkitiana viberiti vya moto...hehehehe!!!

-------------------------------------------
Tanzania has burnt 5,000 one-day old chicks illegally imported through the northern Namanga border with Kenya.

The Principal Secretary in the Ministry of Livestock, Maria Mashingo, said the unnamed importer did not have the necessary documents.

Tanzania says the move to destroy the chicks is aimed at preventing the spread of bird flu.

"There is no need of destroying an entire chicken sector because of only 5,000 chicks," said Ms Mashingo.

About three months ago, Tanzania set alight some 6,400 day-old chicks worth about $6,000 impounded at the same border post, a move that was widely condemned by animal enthusiasts from both countries.

The move also escalated trade wars between the two neighbours.
Tanzania destroys another 5,000 chicks from Kenya
 
watu hawa ni akina nani ambao bado wanafanya biashara hii? kwani mtu hajifunzi? wahenga walisema "once bitten twice shy"..hawa watakuwa wajinga kiasi kigani?
Mkuu, it seems huko Kenya mnakula sana kuku asee. Nilipitaka kwenye mabanda ya chips na hotels huku bongo naonana kuku wengi sana. Sasa sipati picha huko Naii...itabidi nije kula hako maana wanaweza kuwa cheap zaidi maana mna zalisha wengi so obvious price yenu itakuwa chini.

Ni mitaa gani hapo Naii wanakula sana hawa kuku nifanye ka ziara ka fupi?
 
inategemea na hoteli au banda utakaloagizia kuku..fast food wana bei ghali kidogo...mfano McDonalds, KFC, Dominos, Chicken Inn na kadhalika ..what is the price of fried chicken in your country??
 
Mbona magazeti ya bongo msimu huu hayajatoa hii habari
 
inategemea na hoteli au banda utakaloagizia kuku..fast food wana bei ghali kidogo...mfano McDonalds, KFC, Dominos, Chicken Inn na kadhalika ..what is the price of fried chicken in your country??
15k...hizo ni medium spot. Sio huko KFC and the like.

Me naulizia sehemu za mid levels. Ni bei gan?

Au ambae hajapikwa mzima ni bei gani? Maana kuku wa Kenya wanasifika sana..ukimlisha kidogo tu within 3 weeks anakuwa tayari kwa mboga. Hapa bongo vifaranga hata uwalishe vipi in 3 weeks bado wanakuwa dwarf tu.
 
okay mimi huwa nanunua kuku mzima kwa shillingi 400 hivi za Kenya...hio ni kama dola 4 za Marekani...huyo ni kuku ambaye bado hajapikwa...fried chicken katika hoteli za mid levels unaweza ukapata mzima kwa KSH 450 ama KSH 500 ($4.5 or $5)...kuna hoteli zinazouza mchanganyiko wa kuku, vibanzi na matunda kwa bei hio hio
img_1424762594367278411.jpg

umesema ukweli...kuku hawa baada ya wiki tatu hivi tayari wanachijwa...nakumbuka niliwahi kumnunua kuku aliyesahauliwa katika raundi ya kwanza ikabidi abaki mpaka wiki sita...duh! kuku yule alikuwa amenona mpaka anashindwa kutembea...
 
Naona hapo sentensi kuwa "the unnamed importer didn't have the suporting documents". Hivyo, kwa ninavyoona, kosa siyo kusafirisha mali kutoka Kenya, bali kusafirisha kwa njia za panya.
 
jambo lingine najiuliza sana...hawa vifaranga wamewahi kupatikana na ugonjwa wowote kweli ama wanachomwa tu sababu ya chuki na uhasama kati ya Kenya na Tz?
Tanzania ilipiga marufuku uingizwaji wa aina yoyote ile ya ndege mwaka 2007 kama sehemu ya kudhibiti magonjwa ya ndege, ni sehemu ya kampeni ya dunia nzima na nchi nyingi zilifanya hivyo. Tanzania inaruhusu kuingiza mayai na zoezi la kutotolea vifaranga lifanyike Tanzania, ndiyo sababu hata hao wafanyabiashara wanatumia njia za panya ktk biashara yao, hawaombi vibali wala kutumia njia halali kwasababu wanajua watakataliwa.
 
Unawapa pole ya nini?wakupewa pole ni ndugu zetu wa kule moshi wamepata hasara,Iache mikenya haijapata hasara yoyote
Imekula kwao! Ongeza na hasara wanaopata wakulima wa kuku Tz, maanake vifaranga hivo vya Kenya nakuhakikishia ni top quality, kuna siku nimewafuga kule Kajiado. Kuku kama mia nane hivi na faida niliyopata nilikula bata sana.
 
okay mimi huwa nanunua kuku mzima kwa shillingi 400 hivi za Kenya...hio ni kama dola 4 za Marekani...huyo ni kuku ambaye bado hajapikwa...fried chicken katika hoteli za mid levels unaweza ukapata mzima kwa KSH 450 ama KSH 500 ($4.5 or $5)...kuna hoteli zinazouza mchanganyiko wa kuku, vibanzi na matunda kwa bei hio hio
img_1424762594367278411.jpg

umesema ukweli...kuku hawa baada ya wiki tatu hivi tayari wanachijwa...nakumbuka niliwahi kumnunua kuku aliyesahauliwa katika raundi ya kwanza ikabidi abaki mpaka wiki sita...duh! kuku yule alikuwa amenona mpaka anashindwa kutembea...
Sasa price huko iko juu, huku kuku mzima kwenye bucha ni 7k.

Wiki 3 tu mzee kuku analiwa. Ndio vifaranga hao wa Kenya. Wa Zambia ni 4 to 5 weeks ndio anakuwa tayari. Ndio maana watu wana opt ku import from Kenya. Yaelekea huko kuna teknolojia nzuri ya kuwakuza haraka.

Hao kuku unaonunua wewe ni tofauti na hawa wanaokuja huku maana kwa bei hiyo ni ghali sana. Hebu fanya utafiti kidogo wa poultry industry hapo nyumbani. Kuna vifaranga wa ku export tu hao hawafugwi huko na kuliwa.
 
Imekula kwao! Ongeza na hasara wanaopata wakulima wa kuku Tz, maanake vifaranga hivo vya Kenya nakuhakikishia ni top quality, kuna siku nimewafuga kule Kajiado. Kuku kama mia nane hivi na faida niliyopata nilikula bata sana.
eti top quality kama cement yenu. Mbona importer kahepa ukaguzi?
 
Back
Top Bottom