Mkuu, it seems huko Kenya mnakula sana kuku asee. Nilipitaka kwenye mabanda ya chips na hotels huku bongo naonana kuku wengi sana. Sasa sipati picha huko Naii...itabidi nije kula hako maana wanaweza kuwa cheap zaidi maana mna zalisha wengi so obvious price yenu itakuwa chini.
Ni mitaa gani hapo Naii wanakula sana hawa kuku nifanye ka ziara ka fupi?
Ile mutaa ya Kariobangi na Korokocho. Najua hiyooo? Basi kama nafika ulisia mimi nakuta pale. Half chicken with Ingiima only 3 bob