Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Vipi kuhusu Lowassa? Bernard sikumtaka, ingawa angepata kwangu kungekuwa na benefit kubwa sana

Mzee Edward ni mbabe sana lakini ni POLITICAL CLASS, yaani anaweza kukaa chini na kuyamaliza mambo kwa diplomasia. He is an Ideologue and a populist, above all he is business oriented. Anafanana sana na Uhuru Kenyatta au Santos wa Angola!

Mzee Benard is Very ambitious, ruthless, cunning na ni OFFICER CLASS, mtazamo wake wa dunia ni tofauti kidogo na wanasiasa wenzake: Kwenye mlengo wa Siasa tunamuita A PRINCIPLED REALIST, yeye anaamini kwamba nchi itakuwa salama tu pale ambapo itaweza kuwa na nguvu kushinda majirani na maadui wanaotuzunguka.
 
Mzee Edward ni mbabe sana lakini ni POLITICAL CLASS, yaani anaweza kukaa chini na kuyamaliza mambo kwa diplomasia. He is an Ideologue and a populist, above all he is business oriented.

Mzee Benard is Very ambitious, ruthless, cunning na ni OFFICER CLASS, mtazamo wake wa dunia ni tofauti kidogo na wanasiasa wenzake: Kwenye mlengo wa Siasa tunamuita A PRINCIPLED REALIST, yeye anaamini kwamba nchi itakuwa salama tu pale ambapo itaweza kuwa na nguvu kushinda majirani na maadui wanaotuzunguka.
Malcom, maneno yako ni mazito sana.. Imetoa picha kwangu kama Urais wa Tz si taasisi bali ni wa mtu binafsi na mawazo yake na mtizamo wako.. Ndio maana tuna nchi ya hovyo sana
 
jambo lingine najiuliza sana...hawa vifaranga wamewahi kupatikana na ugonjwa wowote kweli ama wanachomwa tu sababu ya chuki na uhasama kati ya Kenya na Tz?
Taarifa ililetwa humu jana/juzi kama sikosei baada ya kukamatwa.

Wengi tulitoa rai kuwa wapimwe kwanza ili kuona kama wana magonjwa au la, lakini watu wakapinga na kusema ni kinyume na sheria kuingizwa humu nchini.

Kwa hiyo msimamo ukawa ni kuteketezwa
 
Hongera sana boss.. Ila toka hapo Posta kilomita chache tu unafika Tandale, hapo hata huduma ya maji safi ya bomba hakuna.. Mji Mkuu wa kibiashara huo
Mimi siishi Dar mkuu, nipo kijijini Mwakaleli Mbeya, mimi ni mkulima nilishastaafu kazi, huku kijijini maisha ni mazuri hatuna shida yoyote.
 
Hongera sana boss.. Ila toka hapo Posta kilomita chache tu unafika Tandale, hapo hata huduma ya maji safi ya bomba hakuna.. Mji Mkuu wa kibiashara huo
Wewe ni mtu wa hekima sana. I can tell you are a wise man. Kwanza kama umeweza kumlambisha sakafu huyo joto la jiwe. Hongera zako mzee
 
jambo lingine najiuliza sana...hawa vifaranga wamewahi kupatikana na ugonjwa wowote kweli ama wanachomwa tu sababu ya chuki na uhasama kati ya Kenya na Tz?
Chuki na uhasama tuu. Na ukosefu wa busara kwa viongozi wa idara ambazo zinahusika
 
Back
Top Bottom