Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Hakuna chuki hapo kila upande unalinda maslahi ya upande wake
Hv unaifahamu homa/mafua ya ndege.....
The less u know the better.....
Hii issue tuiache kama ilivyo
Umesikia kuna mafua ndege huko Kenya ?! Mbona kipindi chote kuku hawa wameingizwa nchini na hakuna shida?!

After all tunaowatia hasara ni WaTz na sio wa Kenya!! Kwani tayari wao wameshapereka fedha Kenya, na hakuna wa ku refund. Poor we
 
Fuateni taratibu.
 
watu hawa ni akina nani ambao bado wanafanya biashara hii? kwani mtu hajifunzi? wahenga walisema "once bitten twice shy"..hawa watakuwa wajinga kiasi kigani?

I think the Kenyan chicken seller had pocketed his money long before the Tanzanian buyer was nabbed by TRA goons.
 
Taarifa ililetwa humu jana/juzi kama sikosei baada ya kukamatwa.

Wengi tulitoa rai kuwa wapimwe kwanza ili kuona kama wana magonjwa au la, lakini watu wakapinga na kusema ni kinyume na sheria kuingizwa humu nchini.

Kwa hiyo msimamo ukawa ni kuteketezwa
Sio vifaranga wote wanaotoka kenya wanachomwa ni vile vya wafanyabiashara wanaoingiza kinyemela bila kufuata utaratibu wa malipo tra na vnavyoingizwa kinyume cha taratibu.
 
Sio vifaranga wote wanaotoka kenya wanachomwa ni vile vya wafanyabiashara wanaoingiza kinyemela bila kufuata utaratibu wa malipo tra na vnavyoingizwa kinyume cha taratibu.
Kwa nini msiwataifishe na muwauze pesa iingie serikalini.

Kwa hiyo mnaona bora kuwachoma badala ya kuwauza.

Hata kama wameingizqa bila kufuata sheria hapo ni dhahiri chuki imeonekana kabisa.
 
okay mimi huwa nanunua kuku mzima kwa shillingi 400 hivi za Kenya...hio ni kama dola 4 za Marekani...huyo ni kuku ambaye bado hajapikwa...fried chicken katika hoteli za mid levels unaweza ukapata mzima kwa KSH 450 ama KSH 500 ($4.5 or $5)...kuna hoteli zinazouza mchanganyiko wa kuku, vibanzi na matunda kwa bei hio hio
img_1424762594367278411.jpg

umesema ukweli...kuku hawa baada ya wiki tatu hivi tayari wanachijwa...nakumbuka niliwahi kumnunua kuku aliyesahauliwa katika raundi ya kwanza ikabidi abaki mpaka wiki sita...duh! kuku yule alikuwa amenona mpaka anashindwa kutembea...
Duh sasa mbona Tanzania kuku ni 6000 kama 300 ya Kenya, sasa hao watanzania wanakimbilia species au prices?
 
Tanzania ilipiga marufuku uingizwaji wa aina yoyote ile ya ndege mwaka 2007 kama sehemu ya kudhibiti magonjwa ya ndege, ni sehemu ya kampeni ya dunia nzima na nchi nyingi zilifanya hivyo. Tanzania inaruhusu kuingiza mayai na zoezi la kutotolea vifaranga lifanyike Tanzania, ndiyo sababu hata hao wafanyabiashara wanatumia njia za panya ktk biashara yao, hawaombi vibali wala kutumia njia halali kwasababu wanajua watakataliwa.
Hata mayai ni marufuku kuingiza nchini.
 
Baada ya kuvichoma moto vifaranga hivyo vimepelekwa Lumumba vijana wa CCM wanatafuna na kahawa.
 
Kwa nini msiwataifishe na muwauze pesa iingie serikalini.

Kwa hiyo mnaona bora kuwachoma badala ya kuwauza.

Hata kama wameingizqa bila kufuata sheria hapo ni dhahiri chuki imeonekana kabisa.
Tatizo sio lingine bali ni kuzuia kusambaza magonjwa ya ndege mbona mayai na sugar wamezitaifisha ila vifaranga na mirungi ndio wameviteketeza
 
Kwa nini msiwataifishe na muwauze pesa iingie serikalini.

Kwa hiyo mnaona bora kuwachoma badala ya kuwauza.

Hata kama wameingizqa bila kufuata sheria hapo ni dhahiri chuki imeonekana kabisa.
Chuki kwa nani anko??? Maana hamna mkenya anahusika hapo hilo swala tunarekebishana watz wenyewe hasa wafanyabiashara wanaokwepa malipo mipakan na kuingiza bidhaa kinyemela. Halafu hiyo issue haipo mpakan kwenu tu na kenya kuna watu wanakamatwa na sukari tunduru mpaka na zambia toka zamani so msione ka hiyo ni chuuki after all hakuna mkenya amekula hasara maana ka biashara ya kuuziana ilishaisha mkenya akala chake bt mtz alietaka fanya janja janja ndio kala hasara sa unaposema chuki ckuelewi
 
Tatizo sio lingine bali ni kuzuia kusambaza magonjwa ya ndege mbona mayai na sugar wamezitaifisha ila vifaranga na mirungi ndio wameviteketeza
Kwani walipimwa wakagundulika na magonjwa ya ndege?
Juzi hapa tulipiga kelele kwenye uzi wa Ghazwat kuwa wapimwe kwanza halafu ndio maamuzi yafanyike, cha ajabu wengi walikimbilia kusema wachomwe moto.

Binafsi sipingi maamuzi ya kukamata hizo bidhaa ambazo zinaingia kinyume na sheria ila bali napinga maamuzi ambayo yana chembechembe fulani ambazo sio nzuri.
 
Chuki kwa nani anko??? Maana hamna mkenya anahusika hapo hilo swala tunarekebishana watz wenyewe hasa wafanyabiashara wanaokwepa malipo mipakan na kuingiza bidhaa kinyemela. Halafu hiyo issue haipo mpakan kwenu tu na kenya kuna watu wanakamatwa na sukari tunduru mpaka na zambia toka zamani so msione ka hiyo ni chuuki after all hakuna mkenya amekula hasara maana ka biashara ya kuuziana ilishaisha mkenya akala chake bt mtz alietaka fanya janja janja ndio kala hasara sa unaposema chuki ckuelewi
Isingekuwa chuki kwa hao waTz mngewabinafsisha na iwe mali ya serikali.

Kwa nini mkimbilie kuwachoma bila kuwafanyia uchunguzi kama kweli wana magonjwa ya ndege?

Back
Top Bottom