Watanzania watia moto vifaranga wengine 5,000 kutoka Kenya

Kwani walipimwa wakagundulika na magonjwa ya ndege?
Juzi hapa tulipiga kelele kwenye uzi wa Ghazwat kuwa wapimwe kwanza halafu ndio maamuzi yafanyike, cha ajabu wengi walikimbilia kusema wachomwe moto.

Binafsi sipingi maamuzi ya kukamata hizo bidhaa ambazo zinaingia kinyume na sheria ila bali napinga maamuzi ambayo yana chembechembe fulani ambazo sio nzuri.
Hiyo kazi ya kupima vifaranga 5000 kila kimoja utafanya wewe?

Serikali ilishakataza tokea 2007 ni marufuku kuingiza vifaranga nchini sasa wewe kama unajifanya mjuaji sana hayo ndio matokeo yake.

Kwani wafugaji wote Tanzania wanachukulia vifaranga vyao Kenya? Kama sio kujitakia matatizo ni nini? Na kwa taarifa yako hata huko Kenya napo wamepiga marufuku kuingiza vifaranga kutoka nje ya Kenya.
 
Isingekuwa chuki kwa hao waTz mngewabinafsisha na iwe mali ya serikali.

Kwa nini mkimbilie kuwachoma bila kuwafanyia uchunguzi kama kweli wana magonjwa ya ndege?
Mzee kila sector ina taaluma yake and professionalism ndio driving key ya maamuzi yao usitake watu wafanye kazi zao kwa taaluma yako ya upishi wa bajia stick to your professional and let other professionalism doing their job accordingly. Usilete mihemko kwenye sensitive issues
 
Ungejua jinsi hao wanavyofanya kwa mihemko usingesema hivyo.

Professionalism gani ya kufanya maamuzi bila kufikiria.

Ndio maana unasema ni kazi kubwa kupima hao vifaranga na ukaona bora wachomwe moto. Hiyo ndio Professionalism?

Ifike kipindi tuache mihemko tufanye kazi kwa weledi, halafu awamu hii kuna kasumba ya kufanya kazi kwa kuogopa mtu fulani ndio maana maamuzi mengi ya kipuuzi yanafanyika.
 
Wewe sijui una matatizo ya akili yaani umeshapewa marufuku kuingiza bidhaa fulani nchini alafu unaingiza ukitegemea watu waje kuipima wakati from the first place you are allowed to not import such goods.?

Wawe na vipimo vya kazi gani wakati hawapo hapo kupima vifaranga, are you mentally sound?
 
Ungejua jinsi hao wanavyofanya kwa mihemko usingesema hivyo.

Professionalism gani ya kufanya maamuzi bila kufikiria.

Ndio maana unasema ni kazi kubwa kupima hao vifaranga na ukaona bora wachomwe moto. Hiyo ndio Professionalism?

Ifike kipindi tuache mihemko tufanye kazi kwa weledi, halafu awamu hii kuna kasumba ya kufanya kazi kwa kuogopa mtu fulani ndio maana maamuzi mengi ya kipuuzi yanafanyika.
Wewe nawe unakua kama taahira huelewi, maana yake serikali ni kwamba hata kama viwe vizima havina Tatizo ni marufuku kuviingiza nchini so unatakiwa kupinga kwanza marufuku ya kuingiza vifaranga nchini alafu ndio uje kwenye whether they are okay or not.

Simple sana ila akili yako ndio complicated.
 
Isingekuwa chuki kwa hao waTz mngewabinafsisha na iwe mali ya serikali.

Kwa nini mkimbilie kuwachoma bila kuwafanyia uchunguzi kama kweli wana magonjwa ya ndege?

Anko mbona huelewi???? Mambo yetu ya tz na wafanyabiashara wetu wa tz na tra yetu na yanaletaje chuki kwenu??? Ulitaka viwe mali ya serikal kwan umeambiwa serikali inataka vifaranga vmechomwa ili iwe fundisho kwa wafanyabiashara wajanja wajanja bt naona wee umekomalia chuki halafu husemi chuki how na chuki hiyo ni kwa nan hasa????
 
Kwani walipimwa wakagundulika na magonjwa ya ndege?
Juzi hapa tulipiga kelele kwenye uzi wa Ghazwat kuwa wapimwe kwanza halafu ndio maamuzi yafanyike, cha ajabu wengi walikimbilia kusema wachomwe moto.

Binafsi sipingi maamuzi ya kukamata hizo bidhaa ambazo zinaingia kinyume na sheria ila bali napinga maamuzi ambayo yana chembechembe fulani ambazo sio nzuri.
Kaka ni muhimu kwanza ukajielimisha mambo mengi ya kiuongozi na serikali kwanza, nchi ina sheria na taratibu za ambazo tumejiwekea wenyewe, ni vyema ukazifahamu kwanza kabla ya kujiumiza moyo wako. Wewe unapenda nchi ifanye vile unavyofikiria wewe hata kama sio sheria au taratibu tulizojiwekea kama nchi, hicho hakiwezikani.
 
[emoji115] [emoji115]

Wewe nawe unakua kama taahira huelewi, maana yake serikali ni kwamba hata kama viwe vizima havina Tatizo ni marufuku kuviingiza nchini so unatakiwa kupinga kwanza marufuku ya kuingiza vifaranga nchini alafu ndio uje kwenye whether they are okay or not.

Simple sana ila akili yako ndio complicated.

Hapo kwenye blue jibu sahihi lilikuwa lipi?
 
Kaka ni muhimu kwanza ukajielimisha mambo mengi ya kiuongozi na serikali kwanza, nchi ina sheria na taratibu za ambazo tumejiwekea wenyewe, ni vyema ukazifahamu kwanza kabla ya kujiumiza moyo wako. Wewe unapenda nchi ifanye vile unavyofikiria wewe hata kama sio sheria au taratibu tulizojiwekea kama nchi, hicho hakiwezikani.
Acha uhuni wewe, ni taratibu gani zilizo biased kiasi hicho? Taratibu zipo kwa Wakenya pekee?

Kuna ng'ombe za wamasai wa Kenya, zilivyoingia Tanzania tukaleta matatizo kibao na kutapeli watu ng'ombe zao, ila ng'ombe za Rwanda haziguswi, hizo ni taratibu gani? Sheria ni msumeno, ikate kote kote.. Hapo ni wazi hakuna taratibu zozote bali ni wivu na chuki
 
[emoji115] [emoji115]

Hapo kwenye blue jibu sahihi lilikuwa lipi?
Hauwezi kudeal kwanza na uzima au udhaifu wa kifaranga mpaka upewe green light ya kuingiza vifaranga.

Sasa kama vifaranga ni wazima lakini ni marufuku kuingiza vifaranga hata kama ni wazima, wanakusaidia nini wakati serikali imevikataza?

Kwa akili yangu ni kwamba serikali inalinda wazalishaji wa ndani soko lisiharibiwe na bidhaa za nje, japo pia marufuku inalenga magonjwa ya ndege.

Na sio Tanzania pekee yenye hiyo marufuku ni nchi nyingi tu
 
Acha uhuni wewe, ni taratibu gani zilizo biased kiasi hicho? Taratibu zipo kwa Wakenya pekee?

Kuna ng'ombe za wamasai wa Kenya, zilivyoingia Tanzania tukaleta matatizo kibao na kutapeli watu ng'ombe zao, ila ng'ombe za Rwanda haziguswi, hizo ni taratibu gani? Sheria ni msumeno, ikate kote kote.. Hapo ni wazi hakuna taratibu zozote bali ni wivu na chuki
Acha uhuni wewe, ni taratibu gani zilizo biased kiasi hicho? Taratibu zipo kwa Wakenya pekee?

Kuna ng'ombe za wamasai wa Kenya, zilivyoingia Tanzania tukaleta matatizo kibao na kutapeli watu ng'ombe zao, ila ng'ombe za Rwanda haziguswi, hizo ni taratibu gani? Sheria ni msumeno, ikate kote kote.. Hapo ni wazi hakuna taratibu zozote bali ni wivu na chuki
Acha kuongea upumbavu wewe, sisi tuna data zote ng'ombe wa Rwanda, Uganda, Burundi, Kenya wote walipigwa mnada ila wengine walikaa kimya sijui hizo za Kenya zilikua ni za dhahabu, tena wa hayo mataifa mengine walikua wengi kuliko za Kenya.

Serikali kupiga mnada ng’ombe 10,000 wa Rwanda, Uganda
 
Na wewe kwa akili zako ukaamini haya majibu ya kisiasa?

Mnada ulipigwa lini, wapi, ulitangazwa kwenye gazeti la serikali? Leta copy ya gazeti la serikali lililotangaza mnada wa hao ng'ombe wa Rwanda na Uganda..
 
Hehehe eti gazette la serikali, imekua sheria? Mbona unakariri sana,

Cows mpaka wapigwe mnada ni baada ya njia zote kufeli maana yake mazungumzo, fine na kadhalika sasa wakenya waliitwa wakataa kuja zaidi ya wiki ndio mahakama ikaamuru zipigwe mnada.

Soma hilo ni gazette la mwananchi sio Tanzania daima hiyo.
 
Gazeti la Mwananchi limenukuu majibu ya mwanasiasa, Mbunge na Waziri.. Hakuna udhibitisho wowote..

Ng'ombe za warwanda mpaka kesho zinaendelea kulishwa kwenye misitu yetu..
 
Acha uhuni wewe, ni taratibu gani zilizo biased kiasi hicho? Taratibu zipo kwa Wakenya pekee?

Kuna ng'ombe za wamasai wa Kenya, zilivyoingia Tanzania tukaleta matatizo kibao na kutapeli watu ng'ombe zao, ila ng'ombe za Rwanda haziguswi, hizo ni taratibu gani? Sheria ni msumeno, ikate kote kote.. Hapo ni wazi hakuna taratibu zozote bali ni wivu na chuki
Hivi wewe una akili timamu au tahaira?, nina wasiwasi wewe kichwa chako sio kizima, mtu au nchi ikijiwekea keshiria zake lazima izifuate, ziwe biased au zisiwe biased, lakini so long as imejiwekea sheria zake lazime izifuate. Kama Tanzania imeamua kuachana na hizo ng'ombe za Rwanda kama unavyodai, huo ni uamuzi wa serikali, huna uwezo wa kufanya lolote mtu kama wewe, ukiona vipi kazikamate hizo ng'ombe au uhamie Kenya ambako unaona kunakufaa, punguza ujinga kidogo.
 
Gazeti la Mwananchi limenukuu majibu ya mwanasiasa, Mbunge na Waziri.. Hakuna udhibitisho wowote..

Ng'ombe za warwanda mpaka kesho zinaendelea kulishwa kwenye misitu yetu..
Kwahiyo wewe unasemaje, serikali inafanya vile inavyopenda, wewe kama hupendi ni bora uhame nchi, acha kutujazia choo bure hapa nchini.
 
Gazeti la Mwananchi limenukuu majibu ya mwanasiasa, Mbunge na Waziri.. Hakuna udhibitisho wowote..

Ng'ombe za warwanda mpaka kesho zinaendelea kulishwa kwenye misitu yetu..
Wewe unauthibitisho gani kama ng'ombe za wanyarwanda hazijakamatwa? punguza ujinga wako huo.
 
Back
Top Bottom