REDEEMER.
JF-Expert Member
- Feb 22, 2015
- 8,925
- 14,890
Hiyo kazi ya kupima vifaranga 5000 kila kimoja utafanya wewe?Kwani walipimwa wakagundulika na magonjwa ya ndege?
Juzi hapa tulipiga kelele kwenye uzi wa Ghazwat kuwa wapimwe kwanza halafu ndio maamuzi yafanyike, cha ajabu wengi walikimbilia kusema wachomwe moto.
Binafsi sipingi maamuzi ya kukamata hizo bidhaa ambazo zinaingia kinyume na sheria ila bali napinga maamuzi ambayo yana chembechembe fulani ambazo sio nzuri.
Serikali ilishakataza tokea 2007 ni marufuku kuingiza vifaranga nchini sasa wewe kama unajifanya mjuaji sana hayo ndio matokeo yake.
Kwani wafugaji wote Tanzania wanachukulia vifaranga vyao Kenya? Kama sio kujitakia matatizo ni nini? Na kwa taarifa yako hata huko Kenya napo wamepiga marufuku kuingiza vifaranga kutoka nje ya Kenya.