Kwani vifaranga na vya mkenya?Wivu mkuu watanzania wana chuki na wivu kwa kenya....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani vifaranga na vya mkenya?Wivu mkuu watanzania wana chuki na wivu kwa kenya....
Inatumika sheria sio busara.Chuki na uhasama tuu. Na ukosefu wa busara kwa viongozi wa idara ambazo zinahusika
Vilishapigwa marufuku hivyo wanajua vibali havitoki.Kuingiza sio tatizo tatizo wanaingiza kwa magendo.
Kama uhuni ni sheria sio anayetekeleza.Mtu akiona maneno yako atadhani we ndo mhuni uliyechoma moto hao vifaranga. Kumbe labda hata mende huezi ua!
GAZETI LA MWANANCHI LIMEANDIKA MBONAMbona magazeti ya bongo msimu huu hayajatoa hii habari
Chuki kufuata sheria?Jiulize!!
Kinachofanyika ni chuki binafsi kt ya wakuu
Kenya inahusikaje Hapa? Vifaranga ni vya mtanzania amevinunua.Lengo ni kutaka kukuonyesha kwamba Tanzania inaweza kuifanya Kenya vyovyote vile na Kenya haiwezi kulipiza wala kufanya lolote dhidi ya Tanzania.
Sheria ndivyo inavyosema tokea vipigwe marufuku 2007 kutokana na mlipuko wa mafua ya ndege, vibali havitolewi tena vikikamatwa vinateketezwa ndivyo sheria inavyosema.Magendo ndio uchome?! Bora wangezigawa mashuleni watoto wakafuga kwenye poultry zao na at the same time wanapata kitoweo
Uko sahihi kwani binadamu ana mbinu nyingi, lkn pamoja na hayo lzm tujilinde accordingly.Ni ngumu kuzuia biashara ya magendo hasa kwa mfanyabiashara mzoefu wa magendo.
Hapo ujue vifaranga vinavuka kila siku maelfu kwa maelfu ila wanakamata hivyo kama ushahidi tu kuwa wanafanya kazi.
Ukitaka hiyo biashara ife waache uzalishaji Kenya.....
ok kwahiyo watu wanajua hilli?Tanzania ilipiga marufuku uingizwaji wa aina yoyote ile ya ndege mwaka 2007 kama sehemu ya kudhibiti magonjwa ya ndege, ni sehemu ya kampeni ya dunia nzima na nchi nyingi zilifanya hivyo. Tanzania inaruhusu kuingiza mayai na zoezi la kutotolea vifaranga lifanyike Tanzania, ndiyo sababu hata hao wafanyabiashara wanatumia njia za panya ktk biashara yao, hawaombi vibali wala kutumia njia halali kwasababu wanajua watakataliwa.
Ni jukumu la kila mtu anayetaka kufanya biashara, kutafuta taarifa zote muhimu kabla ya kuanza biashara husika ili kuepuka kuvunja sheria za nchi au kupunguza uwezekano wa kupata hasara.ok kwahiyo watu wanajua hilli?
tabu hawa watu wanaacha ofisi zetu zinajaa vumbi hatukui kwakuwa hawako tayari kuandaliwa bplan sasa wakipata hasara wanakuja kulia humu kwa mlango wa siasaNi jukumu la kila mtu anayetaka kufanya biashara, kutafuta taarifa zote muhimu kabla ya kuanza biashara husika ili kuepuka kuvunja sheria za nchi au kupunguza uwezekano wa kupata hasara.
Hehehe, sasa nyinyi si ndo mnafata vifaranga hadi Kenya, Kenya vifaranga vinazalishwa kwa wingi sana, ila wafugaji wa kuku ndo wengi zaidi! Kama mikakati ya kuwazalisha vifaranga Tz ndo hiyo, basi mmepiga hatua kubwa sana.Wabaki na top quality yao tunataka vifaranga watotolewe hapa nyumbani watu wapate kazi(ajira)lkn sera yetu(viwanda)inatekelezwa.
Mngekuwa mnatumia hiyo sheria unayoiita ya kihuni, kuwakamata mafisadi na watu wasojulikana, asee hapa E.A mngekuwa mnatamba sana! Ila mnavoitumia kuchoma vifaranga wenu nyinyi wenyewe, ndo mnajaribu sana, kupiga hatua za rewind.Kama uhuni ni sheria sio anayetekeleza.
TrueHivi hao wafanyabiashara bado hawajamuelewa uncle Magu hadi leo?, au wanatafuta sababu ya kufilisika?. HAJARIBIWI.
Well saidWabaki na top quality yao tunataka vifaranga watotolewe hapa nyumbani watu wapate kazi(ajira)lkn sera yetu(viwanda)inatekelezwa.
Fuatilia vizuri kama kuna mafisadi wanaotamba Tanzania kwa sasa, Tanzania is mafisadi free zone, this is a new Tanzania.Mngekuwa mnatumia hiyo sheria unayoiita ya kihuni, kuwakamata mafisadi na watu wasojulikana, asee hapa E.A mngekuwa mnatamba sana! Ila mnavoitumia kuchoma vifaranga wenu nyinyi wenyewe, ndo mnajaribu sana, kupiga hatua za rewind.