Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ni Brisbane ya Australia wala usishangae Mkuu, Watanzania wameshaharibu huko, na karibu wote walikuwa wanaondokea Cape Town kwa kutumia Passport za South Africa na mimi ninawafahamu zaidi ya vijana watatu wa Kinondoni na Magomeni walirukiwa kule AustraliaHivi kumbeeee? Leo nimejua... Siku moja nikiwa Brisbane Int A/port ile kuona tz passport ilikuwa km wako makini zaidi loh! Aiseee
Ndio mana pale Singapore wameandika kbs "all drug cases lead to hang till death" siku nasoma nikasisimuka mwili. Imagine mtu anasema niangalizie bag langu nakuja-mtz mwenzako na mko the same flight na unashikwa wewe na kuuliwa, dah tuwe makini jmn
Kama ni Brisbane ya Australia wala usishangae Mkuu, Watanzania wameshaharibu huko, na karibu wote walikuwa wanaondokea Cape Town kwa kutumia Passport za South Africa na mimi ninawafahamu zaidi ya vijana watatu wa Kinondoni na Magomeni walirukiwa kule Australia
Passport ya South Africa inaingia nchi nyingi dunia bila kuomba Viza kwa duration chini ya miezi sita, lakini take it from Watanzania na Wanigeria tutawaaribia sifa Wasouth Africa kwa sababu hizi Passport zao tunazitumia vibaya, ni vigumu sana kwa kijana wa Kisouth Africa kumbebesha unga labda kama wamebadilika sasa hivi.
Na swala lingine Wasouth Africa hawana tabia za kusafiri kwenda kutafuta maisha ughaibuni na hiyo ndiyo sababu hata Intelligence ya Australia iliweza kubaini kwa urahisi kwamba hawa mablack wanaoingia kila wiki na kutoka si Wasouth Africa na kuna something goes on.
Wabongo tuna tabia ya kuwakisia wazungu tunadhani hawajui kitu kumbe wanelewa sana kwa sababu hizo cocain wateja ni wao wazungu na hazilimwi kwenye nchi zao na wanafahamu zinaingizwa na na watu gani.
Kwa hakuna nchi wahuni kama Uswizi, wewe ukipita na maunga yako transit pale Zurich wakikubaini hawakukamati bali wanawasiliana na last destination yako kwamba kwenye yao wamembeba abiria abcd na wanamsaspect mkamalizane wenyewe hukohuko unapotaka kuipeleka hiyo sumu.
Wao hawataki kurundika wafungwa wasiokuwa na faida kwenye nchi yao ukale pesa za kodi za raia wao bila sababu ya msingi.
South Africa hiyo network ipo, niliwahi kukaa Flat moja na Wanigeria Cape Town, hawa jamaa ni hatari kuliko maelezo wamepenya wanawatumia mpaka cabin crew wa International flight
Kutokana kuwa na uchumi mkubwa hawa jamaa kwanza huwawinda kimapenzi na wakishakuwa wapenzi uwashawishi kuingia kwenye biashara hii, kwakweli kama roho yako ndogo ni lazima uingie kwenye hii biashara na hasa ukiona maisha wanayoishi hawa watu na magari wanayoendesha wakiwa nchi ya kigeni.
Kuna kipindi soko la white suger lilivuma sana Australia ilikuwa unaruka ndani ya wiki umeshageuka na una dolali zako za kutosha, wale Wanigeria waliposhindwa kuniingiza kwenye biashara hii sasa naweza kuthubutu kusema siwezi kufanya hii kitu, nina option nyingi sana za kupiga pesa.
Lakini mtu mwenye Passport ya Tanzania anayethubu kubeba unga ni mjinga kabisa, Passport ya Tanzania ni kimeo kupita maelezo, mimi nimeshawahi kukaa Airport mpaka ndege tatu zimeshusha na abiria wametoka arrival lounge mimi bado nasachiwa tu lakini abiria wengine niliokuwa nao ndege moja hawakusachiwa.
Hii ni just a Trailer tu subulini Switzerland nako kisanuke ndio mtaipata habari yenyewe, kule wadada wa kibongo wamejaa kibao na biashara ni sembe tu, unajuwa ile siyo ya kupiga box.
Wameshaharibu wabongo siku nyingi tu, trip za Australia walizianza tangu mwaka 1998 kutokea Cape Town, na at the same time soko la mauritius likajulikana mwaka huo huo, hicho kilikuwa ni kipindi cha quick money ndio kilichosababisha vijana wengi kupotoka kudhani South Africa kuna pesa rahisi.Kaka ni Australia-New South Wales State
Yani hapo Switzerland inatembea white sugar asikwambie mtu, lakini inaonekana mzigo ukishaingia pale kwa wale street pushers wako salama kimtindo, unajuwa kwa mamtoni mtoto wakike kuuza unga kwa kuwapelekea wateja majumbani kwao kwa kweli si rahisi kukamatwa au nasema hawezi kukamatwa labda mtu amchome kwa polisi.dah umenistua xana nina girlfriend wangu wa zamani huwa hapatikani hewani.siku kanipigia simu nikaenda arusha just kula bata.naye ndo kanidhamini kila kitu.dah anahela mbaya .kumuuliza Mbona haupatikani hewani.akasema siku hizi yupo Switzerland.kumuuliza kazi gani unafanya huko.akasema eti tourism.yeye ni Europe to tanzania and viseversa .dah majanga
Jamani hebu sasa hapa mwenye uelewa mzuri aje atowe darasa, haya ni madawa yepi?The revenue service's Marika Muller said two women flying from Tanzania were handed over to police after being found in possession of over 150 kilograms of Tik worth about R43 million.
The two suspected drug smugglers and the drugs in their possession have been handed over to the South African Police Service (SAPS) for further investigation.
"These two ladies were carrying between them six large bags. In those bags the SARS customs team found almost 150 kilograms of Crystal methamphetamine worth R42.6 million," Muller said.Meanwhile, Gauteng police are searching for the owner of a makeshift Soweto drug lab disguised as a Chisa Nyama and liquor outlet during the day while drugs were being manufactured in the backyard at night.
Jamani hebu sasa hapa mwenye uelewa mzuri aje atowe darasa, haya ni madawa yepi?
Maana biashara kubwa ya madawa ya kulevya ni Cocain (white sugar) na heroin (brown sugar) opium hapa sijayataja madrax maana ndicho ninachofahamu.
Bado kuna mkanganyiko kwenye hili swala, @Dr Riwa hebu tusaidie haya ni madawa gani?
Umeelewa nilichokiuliza mimi lakini?
Jamani hebu sasa hapa mwenye uelewa mzuri aje atowe darasa, haya ni madawa yepi?
Maana biashara kubwa ya madawa ya kulevya ni Cocain (white sugar) na heroin (brown sugar) opium hapa sijayataja madrax maana ndicho ninachofahamu.
Bado kuna mkanganyiko kwenye hili swala, @Dr Riwa hebu tusaidie haya ni madawa gani?
Umeelewa nilichokiuliza mimi lakini?
Ngoja nisepe, umeona hapo red, usije ukadhani gest za kulala
There are currently 2594 users browsing this thread. (68 members and 2526 guests)
Ndio nani huyo!??
Sihitaji madhara ya madawa hayo labda utakuwa msaada kwangu kama unaweza kunipa orodha ya madawa yaliyopigwa marufuku na mengine yameruhusiwa kwa kibali maalum, bado hujajuwa mimi nitafuta nini hasa kwa kuuliza hizi information, haya mambo mengine unaweza kukuta hata hawa waliokamatwa hawajui walibeba, am just thinking....yup ..fungua hiyo link itakupa idea ya hiyo kitu
Sihitaji madhara ya madawa hayo labda utakuwa msaada kwangu kama unaweza kunipa orodha ya madawa yaliyopigwa marufuku na mengine yameruhusiwa kwa kibali maalum, bado hujajuwa mimi nitafuta nini hasa kwa kuuliza hizi information, haya mambo mengine unaweza kukuta hata hawa waliokamatwa hawajui walibeba, am just thinking....
Mimi nimekaa na wauza unga wakongwe na process zote mpaka wanavyomezeshana vipipi nafahamu, lakini aina hii ya madawa kilo 150 hili ni jipya kwangu, kwa sababu ninavyofahamu mimi kuna madawa yapo hospital lakini ni marufuku kuwa nayo mtu binafsi.
Mimi nimejaribu kwenda mbele zaidi ya hapo unapofikiri wewe, kama ni madhara hata pombe za mataputapu na gongo pia vina madhara.