Watanzania Wawili wakamatwa South Africa na Madawa

Vijana wengi nanateketea kw madawa ya kulevya kisa ni tamaa ya maïsha mazuri kwa maramoja 2jirekebishe vijana.
 
Ok sasa nimeelewa nimeingia hii Facebook yake nimekuta yuko friends na wauza unga watano sugu, wawili nilikuwa nao England na walidakwa wakaruka dhamana. Hawakanyagi UK tena maisha yao yote.

Asiyefunzwa na mamaye wacha ulimwengu tu umfunze, hawa kina Wema Sepetu wanawapoteza wasichana wengi sana, na hivi vigari vi Vitz ndio vinawatia wazimu kabisa.
 
Kwa hali halisi ya mtandao wa madawa ya kulevya wahusika hawawezi kupatikana kitakachofanyika kama sio kuwaokoa hao waliokamatwa basi ni kuhakikisha hawafikii hatua ya kutaja nikimaanisha watauliwa kabla.

mtandao wao mkubwa,Pinda ametoa maoni,ila hajatoa TAMKO,na wala sioni juhudi za dhati za kupambana na biashara ya Unga hapa Tanzania
 
Kongosho kuna yule mrembo wa mzee mmoja aliyekuwa bot
akawa nyuma ya nondo kwa muda mrefu,
alikamata na mzigo umewekwa kwenye
madumu huku mpakani, yako wapi hadi leo.

Asante, hata mie nimefikiria hivyo hivyo

Unga wa kuwekwa kwenye masanduku?
 
Last edited by a moderator:
Yule alikamatiwa hapa TZ

Sasa huyu SA, afu aachiwe? Na ukaguzi wote wa SA alijiamini nini?

AU kuna organized crime syndicate ya awauza unga kati ya TZ na SA? So walijua watapitishwa airpot free?

Kongosho kuna yule mrembo wa mzee mmoja aliyekuwa bot
akawa nyuma ya nondo kwa muda mrefu,
alikamata na mzigo umewekwa kwenye
madumu huku mpakani, yako wapi hadi leo.
 
From video vixen to drug dealer,what a transformation!! Being rapidly rich is one hell of a task.
 
Kongosho kivyangu naishia hapa
ujue huu ni mtandao mkubwa hata hapa wanatuona

Yule alikamatiwa hapa TZ

Sasa huyu SA, afu aachiwe? Na ukaguzi wote wa SA alijiamini nini?

AU kuna organized crime syndicate ya awauza unga kati ya TZ na SA? So walijua watapitishwa airpot free?
 
Last edited by a moderator:
Yule alikamatiwa hapa TZ

Sasa huyu SA, afu aachiwe? Na ukaguzi wote wa SA alijiamini nini?

AU kuna organized crime syndicate ya awauza unga kati ya TZ na SA? So walijua watapitishwa airpot free?
South Africa hiyo network ipo, niliwahi kukaa Flat moja na Wanigeria Cape Town, hawa jamaa ni hatari kuliko maelezo wamepenya wanawatumia mpaka cabin crew wa International flight

Kutokana kuwa na uchumi mkubwa hawa jamaa kwanza huwawinda kimapenzi na wakishakuwa wapenzi uwashawishi kuingia kwenye biashara hii, kwakweli kama roho yako ndogo ni lazima uingie kwenye hii biashara na hasa ukiona maisha wanayoishi hawa watu na magari wanayoendesha wakiwa nchi ya kigeni.

Kuna kipindi soko la white suger lilivuma sana Australia ilikuwa unaruka ndani ya wiki umeshageuka na una dolali zako za kutosha, wale Wanigeria waliposhindwa kuniingiza kwenye biashara hii sasa naweza kuthubutu kusema siwezi kufanya hii kitu, nina option nyingi sana za kupiga pesa.

Lakini mtu mwenye Passport ya Tanzania anayethubu kubeba unga ni mjinga kabisa, Passport ya Tanzania ni kimeo kupita maelezo, mimi nimeshawahi kukaa Airport mpaka ndege tatu zimeshusha na abiria wametoka arrival lounge mimi bado nasachiwa tu lakini abiria wengine niliokuwa nao ndege moja hawakusachiwa.

Hii ni just a Trailer tu subulini Switzerland nako kisanuke ndio mtaipata habari yenyewe, kule wadada wa kibongo wamejaa kibao na biashara ni sembe tu, unajuwa ile siyo ya kupiga box.
 
pole sana mdau,kuna siku niliwah kuelezea kuhusu suala la sifa mbaya za Tanzania kwenye biashara ya kusafirisha watu na hii ya NGADA,kuwa TANZANIA KWA SASA TUNASIFIKA VIBAYA,WAPO WATU WALINIPINGA HAPA,SASA KAMA KWA SASA TANZANIA INASIFIKA HIVO,NA MTANZANIA UNAKAGULIWA KAMA MTALIBAN,PASI TUNA HALI MBAYA KWENYE JUMUIYA ZA KIMATAIFA,BADO NARUD PALEPALE,MASIKHARA TUNAYOYAFANYA YANATUHARIBIA
 
Hivi kumbeeee? Leo nimejua... Siku moja nikiwa Brisbane Int A/port ile kuona tz passport ilikuwa km wako makini zaidi loh! Aiseee

Ndio mana pale Singapore wameandika kbs "all drug cases lead to hang till death" siku nasoma nikasisimuka mwili. Imagine mtu anasema niangalizie bag langu nakuja-mtz mwenzako na mko the same flight na unashikwa wewe na kuuliwa, dah tuwe makini jmn
 
Back
Top Bottom