Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ok sasa nimeelewa nimeingia hii Facebook yake nimekuta yuko friends na wauza unga watano sugu, wawili nilikuwa nao England na walidakwa wakaruka dhamana. Hawakanyagi UK tena maisha yao yote.
Kwa hali halisi ya mtandao wa madawa ya kulevya wahusika hawawezi kupatikana kitakachofanyika kama sio kuwaokoa hao waliokamatwa basi ni kuhakikisha hawafikii hatua ya kutaja nikimaanisha watauliwa kabla.
6bil=150kilo that means Kilo moja ya poda ~ 40mils binti wa liumba alikamatwa na kilo ~200
Asante, hata mie nimefikiria hivyo hivyo
Unga wa kuwekwa kwenye masanduku?
nimekusoma ndugu! Ila gazeti la nipashe hawajaandika majina yao! Kwa sababu za kiusalama,kamishina nzowa hakutaja!
Kongosho kuna yule mrembo wa mzee mmoja aliyekuwa bot
akawa nyuma ya nondo kwa muda mrefu,
alikamata na mzigo umewekwa kwenye
madumu huku mpakani, yako wapi hadi leo.
Yule alikamatiwa hapa TZ
Sasa huyu SA, afu aachiwe? Na ukaguzi wote wa SA alijiamini nini?
AU kuna organized crime syndicate ya awauza unga kati ya TZ na SA? So walijua watapitishwa airpot free?
Kilo 150 ni sawa na mifuko mitatu ya cement.
Yani wameweka kwenye mabegi madawa ya uzito huo!!!
Mbona haiingii akilini.
Mkuu tatizo sio kuwa na TAK.O tatizo akili akihama kichwa na kuhamia huko mambo yanabadilikaYaani TAK.O lote lile hajapata mtu wa kumhonga mpaka awe Punda?
South Africa hiyo network ipo, niliwahi kukaa Flat moja na Wanigeria Cape Town, hawa jamaa ni hatari kuliko maelezo wamepenya wanawatumia mpaka cabin crew wa International flightYule alikamatiwa hapa TZ
Sasa huyu SA, afu aachiwe? Na ukaguzi wote wa SA alijiamini nini?
AU kuna organized crime syndicate ya awauza unga kati ya TZ na SA? So walijua watapitishwa airpot free?
Usiharibu majina ya watu, drug dealer habebi mzigo, hawa wanaitwa containers.From video vixen to drug dealer,what a transformation!! Being rapidly rich is one hell of a task.
Sembe ndio nini mkuu, ni huu unga wa ugali naoujua mimi? Kwani south katiba yao hairuhusu ugali wa sembe wanataka dona tu?
South Africa hiyo network ipo, niliwahi kukaa Flat moja na Wanigeria Cape Town, hawa jamaa ni hatari kuliko maelezo wamepenya wanawatumia mpaka cabin crew wa International flight
Kutokana kuwa na uchumi mkubwa hawa jamaa kwanza huwawinda kimapenzi na wakishakuwa wapenzi uwashawishi kuingia kwenye biashara hii, kwakweli kama roho yako ndogo ni lazima uingie kwenye hii biashara na hasa ukiona maisha wanayoishi hawa watu na magari wanayoendesha wakiwa nchi ya kigeni.
Kuna kipindi soko la white suger lilivuma sana Australia ilikuwa unaruka ndani ya wiki umeshageuka na una dolali zako za kutosha, wale Wanigeria waliposhindwa kuniingiza kwenye biashara hii sasa naweza kuthubutu kusema siwezi kufanya hii kitu, nina option nyingi sana za kupiga pesa.
Lakini mtu mwenye Passport ya Tanzania anayethubu kubeba unga ni mjinga kabisa, Passport ya Tanzania ni kimeo kupita maelezo, mimi nimeshawahi kukaa Airport mpaka ndege tatu zimeshusha na abiria wametoka arrival lounge mimi bado nasachiwa tu lakini abiria wengine niliokuwa nao ndege moja hawakusachiwa.
Hii ni just a Trailer tu subulini Switzerland nako kisanuke ndio mtaipata habari yenyewe, kule wadada wa kibongo wamejaa kibao na biashara ni sembe tu, unajuwa ile siyo ya kupiga box.
pole sana mdau,kuna siku niliwah kuelezea kuhusu suala la sifa mbaya za Tanzania kwenye biashara ya kusafirisha watu na hii ya NGADA,kuwa TANZANIA KWA SASA TUNASIFIKA VIBAYA,WAPO WATU WALINIPINGA HAPA,SASA KAMA KWA SASA TANZANIA INASIFIKA HIVO,NA MTANZANIA UNAKAGULIWA KAMA MTALIBAN,PASI TUNA HALI MBAYA KWENYE JUMUIYA ZA KIMATAIFA,BADO NARUD PALEPALE,MASIKHARA TUNAYOYAFANYA YANATUHARIBIA