Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
 
Attachments

  • VID-20260121-WA0053.mp4
    22.5 MB
Huu ni uzalendo wa kipekee wa kuhoji midomo ya mabeberu nchini
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.
Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.
DW,BBC,ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Bullshit! Mnapoteza muda wenu kutuletea hizi excreta. Sisi sio wajinga; hata bila makala za DW na foreign news houses zingine tunaujua unyama uliofanywa mwaka jana na Serikali ya Chama Cha Majambazi.
 
Dunderhead!Mtaumbuka sana wote ninyi na mabwana zenu wa DW Kwa kupeleka documentaries mkidhani watanzania wa sasa hawajui kutengeneza documentaries.hii ni salamu
 
huwezi kuwa chawa na mzalendo kwa wakati mmoja. ukishakuwa chawa wewe sio mzalendo. Ukishakuwa mwizi wa kura sio mzalendo, ukiua wananchi ili uhalalishe wizi wa kura wewe sio mzalendo.
 
Ni jambo jema kujibiwa na wabongo
Maana ule upupu wa DW ulibumbwa na Wakenya hata lafudhi yao iliwauza kama madowo
Ina maana hakuna wabongo kwenye vyombo vya habari vya mabeberu, basi hapo ndio tunavyoamini wasomi wa wanaharakati ni vilaza hata shavu la kazi kwa kwa mabeberu hawapati wanamtegemea kidada mange na Wakenya wawasemee
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.
Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.
DW,BBC,ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Wewe na Mchengerea mną uhusiano gani? Funaku?
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.
Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.
DW,BBC,ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Inawezekanaje mtu kuwa mpumbavu kiasi hiki? Tumieni akili sio makalio
 
Back
Top Bottom