Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Sawa
Tuangalie yanayo tokea Iran
Waandamanaji wote ni vibaraka wa nchi za kigeni.
Wapewa silaha, mawasiliano na mafunzo vipi waanzishe fujo.
Tanzani ni nchi ndogo kulinganisha na Iran.
Lakini mchezo huo ulichezwa na watu kutaka kuiangusha serikali. Serikali imesimama sawa na kujilinda.
Mchezo kama huu ulityokea Turkey wananchi wakazuwia.

Sisi nichi ndogo lakini tuna madini zinatakiwa na nchi kubwa.
Congo matatizo ni madini
Bukinafaso kutaka kumuondoa raisi ni madini
na cnhi nyenginezo.

Tutafakari kabla ya kusema.
 
Hivyo hiyo tume ni kwaajili ya kugundua waliohusika katika mkakati wa kuchagua Amani.....????
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Mmeanza kutafuta fungu la kwenda Ulaya Tena?
 
Ripoti ziko sawa kabisa kwa mfano tukio la kisesa mji mwema ni kweli watu walipigwa risasi wakiwa kwenye banda la video ila familia zao zimeshakimbia zikihofia usalama
 
Huu use*nge ndiyo majibu kwa DW? Mbona tena inatumika DW hiyohiyo kuijibu DW?
Kwanza hiyo tume yenye watu ambao obviously are part and parcel of the Samia's illegitimate regime can't be trusted by any sensible human being, the real victims know that in Tanganyika torture, abductions, rape and killings are happening every now and then so why should they risk and expose themselves? That's insanity, hiyo tume feki iendelee na maigizo yake huku on the other side of the curtains ukweli ukiendelea kuwa revealed.
Kazi kwa watu sensible kuchambua pumba ni zipi na Michele ni upi.
Samia wish yake ni kuwa kwenye menu kuwe na matango-pori peke yake ili watu wayale hivyohivyo bila ya kutumia akili zao, we ain't that stupid.
Unajichosha kujibu na kujiezea kwa mataahira waliochaguwa kuwa malaya wa kisiasa. Hawa ukiona uzi wa kis*ng* unapiga kimya unapita kama haujauona na aliyepost unampiga ban ili usione ufala wake.
 
Jinga lao hatujasahau mlivyopiga watoto risasi na kuwaua.
 
Unajichosha kujibu na kujiezea kwa mataahira waliochaguwa kuwa malaya wa kisiasa. Hawa ukiona uzi wa kis*ng* unapiga kimya unapita kama haujauona na aliyepost unampiga ban ili usione ufala wake.
I've my own way of balancing, who I ban or who I choose to quote and respond it entirely depends on me.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Hakuna kuwajibu fungueni kesi ya madai ili Tanzania ilipwe mamilioni ya dola za kimarekani....
Nassoro Katuga yupo.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Sawa
Walikufa wangapi?
Walizikwa wapi
Jibu bila kuitumia neno guys
 
Mbona wewe hujapigwa?
Jinga lao katika ubora wake.

Mimi sijaenda hospitali leo, haimaanishi hospitali zimeacha kufanya kazi kwa sababu mimi aidha siumwi au sijaenda kufanya uchunguzi wa afya, hospital iliyo karibu nami imehudumia maelfu ya watu walioenda kupata matibabu, ushauri ,na uchunguzi japo mimi sijaenda kwa sababu ya hayo mambo matatu haiondoi maana na uhitaji wa hospitali maana wapo waliohitaji kwa leo.

Kwakua mimi sijapigwa risasi basi ndio unafikiri hakuna waliopigwa risasi??

Myopic thinking of the highest order.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Ujinga huu wa CCM hawana jipya
 
KAYNGAY

Screenshot_20260115_023903_Facebook.jpg
 
Bullshit! Mnapoteza muda wenu kutuletea hizi excreta. Sisi sio wajinga; hata bila makala za DW na foreign news houses zingine tunaujua unyama uliofanywa mwaka jana na Serikali ya Chama Cha Majambazi.
Samia na genge lako mtahangaika sana kujisafisha lakini harufu yenu mbaya ya uvundo haitawatoka kutokana na mauaji ya vijana mliotekeleza mwaka jana!
 
Kumamayooooo zenu tuonyesheni raia wa kigeni mliowakamata kwenye maandamano kama policcm walivyodai.
 
Back
Top Bottom