Watanzania wazalendo wameanza kujibu taarifa za kupotosha za DW

Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.
Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.
DW,BBC,ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Huu use*nge ndiyo majibu kwa DW? Mbona tena inatumika DW hiyohiyo kuijibu DW?
Kwanza hiyo tume yenye watu ambao obviously are part and parcel of the Samia's illegitimate regime can't be trusted by any sensible human being, the real victims know that in Tanganyika torture, abductions, rape and killings are happening every now and then so why should they risk and expose themselves? That's insanity, hiyo tume feki iendelee na maigizo yake huku on the other side of the curtains ukweli ukiendelea kuwa revealed.
Kazi kwa watu sensible kuchambua pumba ni zipi na Michele ni upi.
Samia wish yake ni kuwa kwenye menu kuwe na matango-pori peke yake ili watu wayale hivyohivyo bila ya kutumia akili zao, we ain't that stupid.
 
***** zenu kura mmeiba, mmeua watu na bado lisu yuko ndani kwa bogus trial, na bado mnaendelea kuteka, kuua watu na kuzuia Chadema kupanda hata miti kusherehekea chama chao, shetani ni bora kuliko CCM
 
Dunderhead!Mtaumbuka sana wote ninyi na mabwana zenu wa DW Kwa kupeleka documentaries mkidhani watanzania wa sasa hawajui kutengeneza documentaries.hii ni salamu

Hujitambui. Arguments zako tu zinaonesha una akili ndogo sana. Kwa kiwango cha uduni wa akili uliyo nayo, endelea kuandika kwaajili ya hiyo elfu 7, ili tu ujaze tumbo, lakini hakuna chochote cha maana unachochangia hapa JF. Kushiriki kwako kwenye mauaji kumemalizia hata kidogo ulichokuwa umebakiwa nacho.
 
Dunderhead!Mtaumbuka sana wote ninyi na mabwana zenu wa DW Kwa kupeleka documentaries mkidhani watanzania wa sasa hawajui kutengeneza documentaries.hii ni salamu
Hakika mnaumwa! Mmeshindwa kukubali kwamba damu ya Watanzania wasio na hatia imemwagika. Sijui mtakuwa kwenye denial mpaka lini.
 
Hao wazumgu ndo walidiliki kuangamiza jamii zetu mfn wajerumani hapa tz walituua kibao kipindi cha utawala wao, fikiria kipindi wanawaangamiza wanana na waherero ety Leo wanatupenda. Sisapoti mauaji lkn hawana jipya zaidi ya unafiki.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
CCM ni Mbumbumbu
 
Huwezi kujilinganisha na DW hata siku moja, hiyo TBC ya Rioba ni uchafu, na wewe ni uchafu pia fala wewe. Kitu gani wamesema cha uongo? Watu hawakufa? Je hawakuuawa kwa amri ya huyo mama Abdul na kitumbo chake kama cha gunia. Acha ujinga hata kama unalipwa fedha uwe mkweli mjinga wewe.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
umelipwa shilingi ngapi?
 
Siku ya maandamano pia wewe ulitakiwa upigwe risasi ufe kama shehe majini. This would have solved a lot of problems
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.

DW, BBC na Aljazeera wahojiw.....!!? Wahojiwe na hii TUME ya MCHONGO....!! Waambieni hao wanaokuja na propaganda uchwara waende kenye hayo maaeneo yaliyotajwa wakifuatana na vyombo vya habari halafu wafukue mbele ya camera tuone.
 
Ni jambo jema kujibiwa na wabongo
Maana ule upupu wa DW ulibumbwa na Wakenya hata lafudhi yao iliwauza kama madowo
Ina maana hakuna wabongo kwenye vyombo vya habari vya mabeberu, basi hapo ndio tunavyoamini wasomi wa wanaharakati ni vilaza hata shavu la kazi kwa kwa mabeberu hawapati wanamtegemea kidada mange na Wakenya wawasemee
Msiwe wajinga watanzania wengi tunajua DW walichotoa ni ukweli kwahiyo mna laana na laana itawamaliza.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Hivi si serikali ilitaka kutumia mashahidi wa siri kwenye kesi ya Lissu? Halafu leo wanahoji DW kuficha sura na identity ya mashahidi.

Unahoji kwa nini DW hawana picha za Mji Mwema halafu na wewe katika makala yako unatumia picha zilizotengenezwa kwa AI.

Kwanza kutumia tu picha za AI katika mada serious kama hii kunaondoa uhalali wote wa huo upuuzi mliotengeneza.
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Huwezi kujiita mzalendo wakati unatetea haya mauaji yaliyokuwa dhahiri.wewe sio mzalendo wewe ni mchawi na shetani na mmelaaniwa na laana ya damu lazima iwamalize
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Huwezi kujiita mzalendo wakati unatetea haya mauaji yaliyokuwa dhahiri.wewe sio mzalendo wewe ni mchawi na shetani na mmelaaniwa na mt
Hao wazumgu ndo walidiliki kuangamiza jamii zetu mfn wajerumani hapa tz walituua kibao kipindi cha utawala wao, fikiria kipindi wanawaangamiza wanana na waherero ety Leo wanatupenda. Sisapoti mauaji lkn hawana jipya zaidi ya unafiki.
Saamsa

Bora Hao wazungu kuliko kuuawa na kuibiwa mali za umma na ndugu zetu wenyewe
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
Sasa kasema nini hapo? Unakumbuka mashahidi wa Siri kwenye kesi ya Lissu? Kama alivyofanya dpp na waandishi wa dw wana haki ya kuwalinda mashuhuda wao.
Hakuna Cha kuharibu nchi kupitia mnaowaita mabeberu. Hizi propaganda mfu za enzi za Lenin na Mao zimepitwq na wakati. Acheni kuzidi kumharibia huyo mnayemtetea kwani ICC watatumia hizi video zenu Kama ushahidi wa kugawa rushwa kwenu ili mmtete na kumsafisha!
 
Hii ni makala fupi dhidi ya uongo wa DW.

Moja ya vyombo vya habari vinavyotakiwa kuhojiwa na tume ni pamoja na vyombo vya habari vya magjaribi katika kushiriki kwao kuchochea vurugu.

DW, BBC, ALJAZEERA na wengine lazima wahojiwe na tume ili ijiridhishe kama hawakuwa sehemu ya mkakati wa kuchafua amani Tanzania.
🚮
Mnataka mashuhuda watajwe muwateke na kuwaua?!!
 
Back
Top Bottom