Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

Nguvu kazi ya tanzania ni watanzania milion 25 . Wengine wote wanaobaki ni wazee na watoto. Katika hao milion 25 toa hapo wanafunzi wa vyuo na vijana wa hovyo . 🤣 afu kuna mtu anakuambia tanzania ni nchi tajiri
Tumeridhika na umasikini wetu
 
Binadamu tunategemeana.
Jifunze kuheshimu kazi za watu, hao unao waona mawinga, machinga na wauza sidiria usidhani hawafahamu kama kuna hayo mambo ya kilimo n.k
Shukuru wameamua kujitafutia riziki kwa njia halali na wala hawakuombi pesa ya kujikimu.
Hapo ndo tunapokwama
Tuitumie nguvu kazi yetu kufanya uzalishaji
Ardhi ipo, serikali Ione jinsi ya kuwafanya vijana wawe wazalishaji zaidi ya kuwa wabangaizaji
 
Wewe umezalisha nini? Mawinga tunazalisha uchakarikaji mkuu..!!
Mawinga ni wabangaizaji tu
Serikali iweje sera nzuri kuwafanya vijana nguvu kazi wawe wazalishaji
Taifa haliwezi kuendelea Kwa ubangaizaji na kuhangaikia mlo
 
Nimekwambia kuuza bidhaa na huduma
Huwezi kuwa winga, machinga, kuuza sindiria, karanga ukasema wewe ni mzalishaji Bali mhuni tu
Hawa mawinga na machinga ni supporter wa hao wazalishaji mali. Tunategemeana katka uchumi wote hatuwezi kumiliki viwanda
 
Mawinga ni wabangaizaji tu
Serikali iweje sera nzuri kuwafanya vijana nguvu kazi wawe wazalishaji
Taifa haliwezi kuendelea Kwa ubangaizaji na kuhangaikia mlo
Kwani wewe unazalisha nini ili tuje kukujoin mkuu..!!
 
Ukiangalia hata kwenye familia zetu, wazazi walisomesha mtoto aje apate ajira serikalini, kumbe ya serikali nayo yemebuma,

Hapa Lazimi tujadiri vizur nini kifanyike.
 
Ukiangalia hata kwenye familia zetu, wazazi walisomesha mtoto aje apate ajira serikalini, kumbe ya serikali nayo yemebuma,

Hapa Lazimi tujadiri vizur nini kifanyike.
Wasomi wanatoa huduma wanamchangia uzalishaji kama walimu, Daktari, askari, IT n.k
Me nakemea hawa wazururaji
 
Binadamu tunategemeana.
Jifunze kuheshimu kazi za watu, hao unao waona mawinga, machinga na wauza sidiria usidhani hawafahamu kama kuna hayo mambo ya kilimo n.k
Shukuru wameamua kujitafutia riziki kwa njia halali na wala hawakuombi pesa ya kujikimu.
natena atambue wengine ni waajiriwa hyo n kazi ya kujiongeza tu..
 
Mkuu acha kudharau kazi halali za watu, unadhani hao wachina walilala wakaamka tu na kuanza uzalishaji?
Tunakumbushana mkuu
Hatuwezi kuendelea Kwa uchumi kitaifa kama nguvu kazi ni wabangaizaji na wachuuzi wadogo
Serikali iweje sera vijana wafurahie shughuli za uzalishaji
 
Hawa vijana wachukuliwe waletwe huku mashambani walime, wafuge tupate ngozi, Kwato na nyama
Kuliko kuzubaa mjini wakiuza ice cream šŸØ šŸ¦ ambazo kiuchumi hawachangii chochote
 
Back
Top Bottom