Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

Me Nafikiri Ushauri Wako Ni Mzuri Ila Umeuleta kwenye Taifa Ambalo haliko Tayar Kwa Mabadiliko.
 
images (2).jpeg
 
Wauza sidiria na wauza ice cream was it necessary 🤔to be mentioned
 
Shughuli ya uzalishaji ni shughuli ambayo inazalisha bidhaa au huduma

Nchi nyingi kama China, Russia, South Korea, Angola, Nigeria n.k zimeendelea Kwa kuwa asilimia kubwa ya wananchi wanashiriki katika uzalishaji kama viwandani, kilimo, ufugaji, madini, huduma n.k

Hapa kwetu vijana wengi wapo mjini kama waviziaji ili siku ipite

Unakuta vijana wengi ni madalali, mawinga, machawa, kubet, n.k

Yaani mtu ana miaka 30 hana hata hela ya Pamba, viazi, maharage
Hana hata mashine ya Kusaga, hata mashine ya kuchakata taka, yupo tu Dar anabishana Yanga na Simba

Watanzania wanaozalisha hawazidi asilimia 30 huku wengine wakiwa wapo wapo tu kuvizia na kuishi kama kunguru
Yaani mtu hana kazi ya uzalishaji

Uchumi wetu itakuwaje ili Watanzania walipe Kodi na zisaidie maisha ya kawaida, barabara, maji n.k

Serikali ipitishe mkongoto kuwachapa vijana wanazurula mjini kufanya kazi zisizo za uzalishaji kama machinga haiwezekani kijana wa miaka 22 upo mjini unatembeza sindiria, unauza karanga, mama lishe, washona viatu, n.k hawa hawazalishi chochote zaidi wanakuza uchumi wa China

Hawa vijana wachukuliwe waletwe huku mashambani walime, wafuge tupate ngozi, Kwa to na nyama
Kuliko kuzubaa mjini wakiuza ice cream 🍨 🍦 ambazo kiuchumi hawachangii chochote

Tutazidi kuwa Taifa masikini ikiwa nguvu kazi yaani vijana wenye elimu hawaleti ujuzi kwenye jamii mfano fundi viatu, machinga, kuuza karanga, chupi, n.k

Vijana wawaze kuleta bidhaa sokoni kama mbolea, mazao, mavazi n.k
Wengi wanaishi kusubiri watu.Na wengi ujifanya wanajua na unapowaeleza ujifanya kuwa wewe unawaeleza ueleweki ili kutumia njia hiyo wafanye wao:
 
Wengi wanaishi kusubiri watu.Na wengi ujifanya wanajua na unapowaeleza ujifanya kuwa wewe unawaeleza ueleweki ili kutumia njia hiyo wafanye wao:
Hakika mkuu
 
Hawa vijana wachukuliwe waletwe huku mashambani walime, wafuge tupate ngozi, Kwato na nyama
Kuliko kuzubaa mjini wakiuza ice cream 🍨 🍦 ambazo kiuchumi hawachangii chochote
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia. Kugeuza sehemu kubwa ya nguvukazi kuwa wachuuzi na bodaboda ni hasara sana. Na hizi betting zipunguzwe kupewa airtime.
 
Kuna kipindi jiwe alitaka wazururaji wote wakamatwe wapelekwe kwenye mashamba ya serikali wakalime,sijui nini kiliendelea.
 
Back
Top Bottom