Tumeridhika na umasikini wetuNguvu kazi ya tanzania ni watanzania milion 25 . Wengine wote wanaobaki ni wazee na watoto. Katika hao milion 25 toa hapo wanafunzi wa vyuo na vijana wa hovyo . 🤣 afu kuna mtu anakuambia tanzania ni nchi tajiri
Nimekwambia kuuza bidhaa na hudumaWewe huna akili, unadhani shughuli za uzalishaji mali ni kulima na kufuga tu. Kaa hukohuko kijijini usije kabisa mjini
Wewe umezalisha nini? Mawinga tunazalisha uchakarikaji mkuu..!!Mawinga hawazalishi chochote
Hapo ndo tunapokwamaBinadamu tunategemeana.
Jifunze kuheshimu kazi za watu, hao unao waona mawinga, machinga na wauza sidiria usidhani hawafahamu kama kuna hayo mambo ya kilimo n.k
Shukuru wameamua kujitafutia riziki kwa njia halali na wala hawakuombi pesa ya kujikimu.
Hawa mawinga na machinga ni supporter wa hao wazalishaji mali. Tunategemeana katka uchumi wote hatuwezi kumiliki viwandaNimekwambia kuuza bidhaa na huduma
Huwezi kuwa winga, machinga, kuuza sindiria, karanga ukasema wewe ni mzalishaji Bali mhuni tu
Kwani wewe unazalisha nini ili tuje kukujoin mkuu..!!Mawinga ni wabangaizaji tu
Serikali iweje sera nzuri kuwafanya vijana nguvu kazi wawe wazalishaji
Taifa haliwezi kuendelea Kwa ubangaizaji na kuhangaikia mlo
Mimi ni mkulima na mfugaji
Wasomi wanatoa huduma wanamchangia uzalishaji kama walimu, Daktari, askari, IT n.kUkiangalia hata kwenye familia zetu, wazazi walisomesha mtoto aje apate ajira serikalini, kumbe ya serikali nayo yemebuma,
Hapa Lazimi tujadiri vizur nini kifanyike.
Sawa
Mkuu acha kudharau kazi halali za watu, unadhani hao wachina walilala wakaamka tu na kuanza uzalishaji?upo mjini unatembeza sindiria, unauza karanga, mama lishe, washona viatu, n.k
natena atambue wengine ni waajiriwa hyo n kazi ya kujiongeza tu..Binadamu tunategemeana.
Jifunze kuheshimu kazi za watu, hao unao waona mawinga, machinga na wauza sidiria usidhani hawafahamu kama kuna hayo mambo ya kilimo n.k
Shukuru wameamua kujitafutia riziki kwa njia halali na wala hawakuombi pesa ya kujikimu.
Tunakumbushana mkuuMkuu acha kudharau kazi halali za watu, unadhani hao wachina walilala wakaamka tu na kuanza uzalishaji?
Kwa mitaji ipi?Tunakumbushana mkuu
Hatuwezi kuendelea Kwa uchumi kitaifa kama nguvu kazi ni wabangaizaji na wachuuzi wadogo
Serikali iweje sera vijana wafurahie shughuli za uzalishaji