Watanzania wengi hawafanyi shughuli za uzalishaji, wanaishi kijanja tu

Me Nafikiri Ushauri Wako Ni Mzuri Ila Umeuleta kwenye Taifa Ambalo haliko Tayar Kwa Mabadiliko.
 
Wauza sidiria na wauza ice cream was it necessary 🤔to be mentioned
 
Wengi wanaishi kusubiri watu.Na wengi ujifanya wanajua na unapowaeleza ujifanya kuwa wewe unawaeleza ueleweki ili kutumia njia hiyo wafanye wao:
 
Wengi wanaishi kusubiri watu.Na wengi ujifanya wanajua na unapowaeleza ujifanya kuwa wewe unawaeleza ueleweki ili kutumia njia hiyo wafanye wao:
Hakika mkuu
 
Mkuu vip hii mada inatuhusu na sisi bodabodaa??.
Bodaboda haiwahusu
Bodaboda wanatoa huduma wanarahisisha uzalishaji
Serikali iwape hadhi na kuwafanya wawe walipa kodi
 
Hawa vijana wachukuliwe waletwe huku mashambani walime, wafuge tupate ngozi, Kwato na nyama
Kuliko kuzubaa mjini wakiuza ice cream 🍨 🍦 ambazo kiuchumi hawachangii chochote
Naunga mkono hoja kwa asilimia mia. Kugeuza sehemu kubwa ya nguvukazi kuwa wachuuzi na bodaboda ni hasara sana. Na hizi betting zipunguzwe kupewa airtime.
 
Kuna kipindi jiwe alitaka wazururaji wote wakamatwe wapelekwe kwenye mashamba ya serikali wakalime,sijui nini kiliendelea.
 
Kuna kipindi jiwe alitaka wazururaji wote wakamatwe wapelekwe kwenye mashamba ya serikali wakalime,sijui nini kiliendelea.
Siasa tu
Angefanya hivo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…