Watanzania wengi hawajui kwamba aliesimamia na kupanga mchakato wa ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 ni Prof. Mark Mwandosya!

Synthesizer

Platinum Member
Joined
Feb 15, 2010
Posts
15,415
Reaction score
29,584
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo.

Japo Mkapa alijua kwamba jukumu hili lilipaswa liende Tume ya Mipango, aliamua kwamba Prof. Mwandosya, ndie angesimamia uandaaji wake, akitumia utaalamu na ufahamu wake kwa kiasi kikubwa. Hivyo, mpangilio wote wa Dira ya 2000-2025, nini kiingizwe humo, maoni yakusanyweje, wataamu gani wawe consulted, ilikuwa ni Prof. Mwandosya.

Mkapa alimwamini sana na aliuelewa wazi uwezo wa huyu mtalaamu, na kama sio kuwa blackmailed na JMK kwamba asingepitishwa kuwa mteule wa ugombea uraisi angehamia Chadema na kushinda, Mkapa alitaka Prof. Mwandosya amrithi uraisi.

Huenda Tanzania ilifanya kosa sana kumkosa Prof. Mwandosya kama raisi wa nchi. Mtu ambae anaweza kukaa na kuandaa mchakato wa Dira ya Maendeleo kama ile ya 2000-2025, bila shaka angekuwa na mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania, kama angefanikuwa kuwa raisi, iwapo JMK asingetoa majina toka mfukoni!

Katika maraisi wa Tanzania waliopita, ukimwondoa Nyerere, nani angeweza au anaweza kukaa na kutengeneza Dira ya miaka 25? Ukijiuliza hili swali utakuta tumeongozwa na tunaongozwa na maraisi wanasiasa na sio viongozi. Wamejaa porojo tu hawana lolote la kusaidia nchi kwenda mbele.

Ningewashauri waandishi wa habari mfanye mahojiano na Prof. Mwandosya kuhusu hitimisho la Dira ya Maendeleo ya 2000 - 2025 na kuanza kwa hii Dira mpya ya 2025 -2050.
 
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo.

Japo Mkapa alijua kwamba jukumu hili lilipaswa liende Tume ya Mipango, aliamua kwamba Prof. Mwandosya, ndie angesimamia uandaaji wake, akitumia utaalamu na ufahamu wake kwa kiasi kikubwa. Hivyo, mpangilio wote wa Dira ya 2000-2025, nini kiingizwe humo, maoni yakusanyweje, wataamu gani wawe consulted, ilikuwa ni Prof. Mwandosya.

Mkapa alimwamini sana na aliuelewa wazi uwezo wa huyu mtalaamu, na kama sio kuwa blackmailed na JMK kwamba asingepitishwa kuwa mteule wa ugombea uraisi angehamia Chadema na kushinda, Mkapa alitaka Prof. Mwandosya amrithi uraisi.

Huenda Tanzania ilifanya kosa sana kumkosa Prof. Mwandosya kama raisi wa nchi. Mtu ambae anaweza kukaa na kuandaa mchakato wa Dira ya Maendeleo kama ile ya 2000-2025, bila shaka angekuwa na mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania, kama angefanikuwa kuwa raisi, iwapo JMK asingetoa majina toka mfukoni!

Ningewashauri waandishi wa habari mfanye mahojiano na Prof. Mwandosya kuhusu hitimisho la Dira ya Maendeleo ya 2000 - 2025 na kuanza kwa hii Dira mpya ya 2025 -2050.
Hata tukijua, haina maana, hii nchi imezidi kuwa maskini kwa miaka 20,hizo dira, zina mvuto kwenye makaratasi tu, hazina uhalisia katika maisha, ni copy and paste tu, kizungu mingi, misamiati mizuri kibao, isiyo na, maana yoyote, ni sawa na, kunadika bajeti kiwa tumetenga bilioni 400 kwa, ajiri ya afya na elimu, harafu zinapelekwa bilioni 50! Unaandaa sherehe kusherekea document, eti dira, ambayo unahitaji pesa kuitekeleza, na, pesa zenyewe huna!
Kiwanda gani, cha maana kilichoanzishwa kuanzia, 2005 mpaka Leo, chenye kuweza, kuajili vijanq 50000! Wenye degree! Hakuna,
Kulikuwa, na mikurabita, mkukuta, kilimo kwanza, uchumi wa, viwanda, mpaka, Leo, tunasikia gori la mama, samia regal aid, na upuuzi, mwingine, nothing on the ground
 
Ndio maana nimependekeza waandishi wakaongee na huyu Prof. Swali moja linaweza kuwa anaonaje, kutengeneza Dira ni kupoteza muda na fedha tu? Na ni kwa kiasi gani anaona Dira aliyosimamia imetekelezwa, kwa asilimia ngapi? Na ni mambo gani hayajatekelezwa? Je yameingizwa kwenye Dira 2050, na kama sivyo, maana yake nini, tulibadili mawazo na kuyaona hayakuwa na umuhimu? Nk
 
Dira yenyewe iko wapi na nini kimafanyika kutoka kwenye hiyo Dira?

Kama maisha haya ndiyo Dira yake basi akae huko huko.

Kwani 2025 imehafika, Kam tayari basi Dira yake haikufanya kazi.
Mie pendekezo langu ni kwamba, tuachane na Dira za miaka 25. Ziko over ambitious na technology inabadilika haraka sana na mara nyingi maendeleo ya technology yana overtake goals za dira.

Sasa tuwe na Dira za miaka kumi-kumi, ambazo vipindi vyake vitaendana na vipindi vya uchaguzi. Kwa jinsi hii, raisi anapoingia madarakani anasimamia Dira ya Wananchi sio Ilani ya Chama chake ndio aitumie kama Dira. Hivyo baada ya miaka mitano raisi atapimwa kwa kiwango alicho deliver kuhusiana na Dira, sio kuleta blah blah za nimekusanya mapato au nimeongeza viwanda hewa
 
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo.

Japo Mkapa alijua kwamba jukumu hili lilipaswa liende Tume ya Mipango, aliamua kwamba Prof. Mwandosya, ndie angesimamia uandaaji wake, akitumia utaalamu na ufahamu wake kwa kiasi kikubwa. Hivyo, mpangilio wote wa Dira ya 2000-2025, nini kiingizwe humo, maoni yakusanyweje, wataamu gani wawe consulted, ilikuwa ni Prof. Mwandosya.

Mkapa alimwamini sana na aliuelewa wazi uwezo wa huyu mtalaamu, na kama sio kuwa blackmailed na JMK kwamba asingepitishwa kuwa mteule wa ugombea uraisi angehamia Chadema na kushinda, Mkapa alitaka Prof. Mwandosya amrithi uraisi.

Huenda Tanzania ilifanya kosa sana kumkosa Prof. Mwandosya kama raisi wa nchi. Mtu ambae anaweza kukaa na kuandaa mchakato wa Dira ya Maendeleo kama ile ya 2000-2025, bila shaka angekuwa na mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania, kama angefanikuwa kuwa raisi, iwapo JMK asingetoa majina toka mfukoni!

Ningewashauri waandishi wa habari mfanye mahojiano na Prof. Mwandosya kuhusu hitimisho la Dira ya Maendeleo ya 2000 - 2025 na kuanza kwa hii Dira mpya ya 2025 -2050.
Tunampongeza kwa kuandaa dira hiyo na vilevile tuanatakiwa tumpongeze tena na huyu wa sasa aliyeandaa inayofuata ya 2025-2050; Prof Kitila Mkumbo
 
Tunweza kutengeneza Dira nzuri sana, lakini ikawekwa mfukoni na raisi aliyeko madarakani
UKitaka kujua hii nchi Ina vilaza ambao wanajiita viongozi

Tazama Mabadiliko ya mtaala wa Elimu.

Serikali itakapofika mwaka 2028 kutakuwa na Wanafuzi wa Form one batch mbili .

Yaani itakuwa hivi wanafunzi waliopo darasa la nne mwaka huu wataingia form one mwaka 2028 kwakuwa wataishia darasa la sita .

Na wanafunzi waliopo darasa la tano mwaka huu wataingia form one mwaka 2028.

Je Serikali imejipangaje kuhusu madarasa, kuhusu walimu, kuhusu facilities n.k

Kumbuka haya ndo mawazo ya wasomi wanaojiita viongozi.
 
UKitaka kujua hii nchi Ina vilaza ambao wanajiita viongozi Tazama Mabadiliko ya mtaala wa Elimu. Serikali itakapofika mwaka 2028 kutakuwa na Wanafuzi wa Form one batch mbiliYaani itakuwa hivi wanafunzi waliopo darasa la nne mwaka huu wataingia form one mwaka 2028 kwakuwa wataishia darasa la sita .

Na wanafunzi waliopo darasa la tano mwaka huu wataingia form one mwaka 2028. Je Serikali imejipangaje kuhusu madarasa, kuhusu walimu, kuhusu facilities n.k Kumbuka haya ndo mawazo ya wasomi wanaojiita viongozi.
Mkuu, usisahau hao unaowaita viongozi wanapigiwa kura kupewa madaraka waliyonayo, na wakiwa madarakani wanaimbiwa mitano tena. Hivyo usilaumu viongozi, walaumu wapiga kura
 
Tunampongeza kwa kuandaa dira hiyo na vilevile tuanatakiwa tumpongeze tena na huyu wa sasa aliyeandaa inayofuata ya 2025-2050; Prof Kitila Mkumbo
Kumpongeza Mkumbo kwa hivi sasa sio sahihi. Hatujaona kama hiyo Dira 2050 ni theory tu au kitu halisi.

Prof. Mwandosya tunaweza kumpongeza au kumshutumu kwa kuangalia ni jinsi gani Dira 2025 imetusaidia.

Hata hivyo, nimeshasema mara nyingi maraisi wanaziweka hizi Dira mfukoni na kujifanyia wanayotaka. Kwa hiyo hawa ma-prof. wanaweza kukwepa lawama. Unaweza kumpa ng'ombe maji, lakini huwezi kumlazimisha ayanywe. Tuna weza kuwa na baadhi ya viongozi wana tabia kama ng'ombe.
 
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo.

Japo Mkapa alijua kwamba jukumu hili lilipaswa liende Tume ya Mipango, aliamua kwamba Prof. Mwandosya, ndie angesimamia uandaaji wake, akitumia utaalamu na ufahamu wake kwa kiasi kikubwa. Hivyo, mpangilio wote wa Dira ya 2000-2025, nini kiingizwe humo, maoni yakusanyweje, wataamu gani wawe consulted, ilikuwa ni Prof. Mwandosya.

Mkapa alimwamini sana na aliuelewa wazi uwezo wa huyu mtalaamu, na kama sio kuwa blackmailed na JMK kwamba asingepitishwa kuwa mteule wa ugombea uraisi angehamia Chadema na kushinda, Mkapa alitaka Prof. Mwandosya amrithi uraisi.

Huenda Tanzania ilifanya kosa sana kumkosa Prof. Mwandosya kama raisi wa nchi. Mtu ambae anaweza kukaa na kuandaa mchakato wa Dira ya Maendeleo kama ile ya 2000-2025, bila shaka angekuwa na mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania, kama angefanikuwa kuwa raisi, iwapo JMK asingetoa majina toka mfukoni!

Katika maraisi wa Tanzania waliopita, ukimwondoa Nyerere, nani angeweza au anaweza kukaa na kutengeneza Dira ya niaka 25? Ukijiuliza hili swali utakuta tumeongozwa na tunaongozwa na maraisi wanasiasa na sio viongozi. Wamejaa porojo tu hawana lolote la kusaidia nchi kwenda mbele.

Ningewashauri waandishi wa habari mfanye mahojiano na Prof. Mwandosya kuhusu hitimisho la Dira ya Maendeleo ya 2000 - 2025 na kuanza kwa hii Dira mpya ya 2025 -2050.
Wanajua hata Dira ni nini?
 
Waliwekwa na CCM ikiongozwa na Magufuli. Hilo mbona swali rahisi na kila mtu anajua jibu lake?
Sasa kosa la wananchi liko wapi kwakuwa they are not the decision makers .

Mwananchi hana maamuzi yoyote ya kupeleka mambo mambo mbele au kuyarudisha nyuma.

Wewe nakuombea Afya na uzima ikifika mwaka 2028 huyu Waziri Mkenda atapata Aibu kubwa Sana .

Ngoja uje uone huo mtaala wake utakavyofeli vibaya na wanafunzi kutosoma.
 
Kumpongeza Mkumbo kwa hivi sasa sio sahihi. Hatujaona kama hiyo Dira 2050 ni theory tu au kitu halisi.

Prof. Mwandosya tunaweza kumpongeza au kumshutumu kwa kuangalia ni jinsi gani Dira 2025 imetusaidia.

Hata hivyo, nimeshasema mara nyingi maraisi wanaziweka hizi Dira mfukoni na kujifanyia wanayotaka. Kwa hiyo hawa ma-prof. wanaweza kukwepa lawama. Unaweza kumpa ng'ombe maji, lakini huwezi kumlazimisha ayanywe. Tuna weza kuwa na baadhi ya viongozi wana tabia kama ng'ombe.
Mkumbo anastahili kupongezwa pia kwa sababu tayari ameshaipiga starter gari kuichemsha injini na baada ya hapo amekabidhi funguo kwa dereva

MaRais kufanya kwa utofauti kidogo na dira ya maendeleo halisi bado ni sahihi kwa sababu ya "unforeseen contigencies",na hivyo kuwepo kwa "a slight change" kutoka kwenye dira tarajiwa ni kitu ambacho ni inevitable

Mbali na hilo; tulipokiuwa tupo JKT, tulikuwa tunapelekwa UCHAKA, kufundishwa mbinu za kivita, lakini hapo hapo tena tulikuwa tunatahadharishwa kwa kuambiwa kuwa MBINU ZA KIVITA HUPATIKANA KWENYE UWANJA WA MAPAMBANO
 
Back
Top Bottom