Watanzania wengi hawajui kwamba aliesimamia na kupanga mchakato wa ya Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 ni Prof. Mark Mwandosya!

Mie pendekezo langu ni kwamba, tuachane na Dira za miaka 25. Ziko over ambitious na technology inabadilika haraka sana na mara nyingi maendeleo ya technology yana overtake goals za dira.

Sasa tuwe na Dira za miaka kumi-kumi, ambazo vipindi vyake vitaendana na vipindi vya uchaguzi. Kwa jinsi hii, raisi anapoingia madarakani anasimamia Dira ya Wananchi sio Ilani ya Chama chake ndio aitumie kama Dira. Hivyo baada ya miaka mitano raisi atapimwa kwa kiwango alicho deliver kuhusiana na Dira, sio kuleta blah blah za nimekusanya mapato au nimeongeza viwanda hewa
Dira mwisho ni miaka mitano tu.

Kila baada ya miaka mitano tunachagua mtu mwingine, haiwezekani tukuchague wewe ukabebe maoni ya aliyepita.

Huo utakuwa ujinga ni bora kama tunataka miaka 25, mwenye dira akae atuonyeshe inatekelezwaje kwa 25 then tumchague mwingine.

China wameamua Rais wa milele na ndiyo unamuona Xi yupo mpaka achoke.

Na kama nasisi tunataka hivyo basi tubadiri katiba, dira 25, na uchaguzi kila baada ya 25 years.
 
Mie pendekezo langu ni kwamba, tuachane na Dira za miaka 25. Ziko over ambitious na technology inabadilika haraka sana na mara nyingi maendeleo ya technology yana overtake goals za dira.

Sasa tuwe na Dira za miaka kumi-kumi, ambazo vipindi vyake vitaendana na vipindi vya uchaguzi. Kwa jinsi hii, raisi anapoingia madarakani anasimamia Dira ya Wananchi sio Ilani ya Chama chake ndio aitumie kama Dira. Hivyo baada ya miaka mitano raisi atapimwa kwa kiwango alicho deliver kuhusiana na Dira, sio kuleta blah blah za nimekusanya mapato au nimeongeza viwanda hewa
safi sana
Cc. Lucas Mwashambwa
 
Mkuu, usisahau hao unaowaita viongozi wanapigiwa kura kupewa madaraka waliyonayo, na wakiwa madarakani wanaimbiwa mitano tena. Hivyo usilaumu viongozi, walaumu wapiga kura
huenda wewe ni miongoni mwa viongozi hao mkuu, kiongozi gani anashinda kwa kutegemea sanduku la kura ktk nchi hii? Nchi inanuka rushwa kila mahala,hakuna pa uafadhari.
 
Tunaweza kutengeneza Dira nzuri sana, lakini ikawekwa mfukoni na raisi aliyeko madarakani
KIla rais ana dira yake ndio maana ya dira.

Hakuna kitu kitu kinakuwa eti dira ya taifa kwenye nchi za kidemokrasia.

Rais anagombea kwa kuahidi kufanya vitu kadhaa vinavyoonekana ni hitaji la wananchi kwa wakati huo siyo kwa dira ya miaka 25.

Hivi vitu ni ulaghai wa fikra za watawaliwa.

Hakuna mwananchi anajua kuna nini kwenye hiyo dira na kitamsaidiaje.

Yale maoni ya watawala tu, kujidai ni invisionaries, don't be fooled.

Miaka 50 watu wale wale wanakuwa recycled na hakuna jipya, wanakudanganyeni na dira ya taifa nanyi mna nyooka.

Kilimo kwanza kilienda wapi?

Tanzania ya viwanda ilienda wapi?

Bora ungekomaa na No reforms no election, katiba mpya ningekuelewa.
 
Dira mwisho ni miaka mitano tu.

Kila baada ya miaka mitano tunachagua mtu mwingine, haiwezekani tukuchague wewe ukabebe maoni ya aliyepita.

Huo utakuwa ujinga ni bora kama tunataka miaka 25, mwenye dira akae atuonyeshe inatekelezwaje kwa 25 then tumchague mwingine.

China wameamua Rais wa milele na ndiyo unamuona Xi yupo mpaka achoke.

Na kama nasisi tunataka hivyo basi tubadiri katiba dira 25, na uchaguzi kila baada ya 25 years.
kama mnataka rais wa milele kama china basi nichagueni mimi,ila mjipange manake nitakodisha bandari zote na mbuga za wanyama zitakuwa ni za wageni.
 
shida sio mimi kuwa mkweli bali mfumo wa uendeshaji nchi namaanisha katiba imempa madaraka makubwa na mazito rais na hakuna wa kumhoji na kumwajibisha,hivyo nikiwa rais hakuna wa kunifikia na kunigusa. NB. Reforms zinahtajika
Ukiisha kuwa rais hutotaka reforms.

Ultimate power ni nzuri.
 
KIla rais ana dira yake ndio maana ya dira.

Hakuna kitu kitu kinakuwa eti dira ya taifa kwenye nchi za kidemokrasia.

Rais anagombea kwa kuahidi kufanya vitu kadhaa vinavyoonekana ni hitaji la wananchi kwa wakati huo siyo kwa dira ya miaka 25.
Kila raisi ana Ilani ya uchaguzi ya chama chake, sio dira. Raisi mara nyingi anaikuta dira ilishatayarishwa, labda itokee kama Samia dira inatengenezwa katika kipindi chake. Tatizo kwa sasa ni kwamba maraisi wanaifanya Ilani ya uchaguzi kuwa ndio dira ya taifa, na kuiweka dira ya taifa kapuni
 
huenda wewe ni miongoni mwa viongozi hao mkuu, kiongozi gani anashinda kwa kutegemea sanduku la kura ktk nchi hii? Nchi inanuka rushwa kila mahala,hakuna pa uafadhari.
Mie sio kiongozi mkuu, ni malala hoi tu mmoja wa Bongo
 
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo.

Japo Mkapa alijua kwamba jukumu hili lilipaswa liende Tume ya Mipango, aliamua kwamba Prof. Mwandosya, ndie angesimamia uandaaji wake, akitumia utaalamu na ufahamu wake kwa kiasi kikubwa. Hivyo, mpangilio wote wa Dira ya 2000-2025, nini kiingizwe humo, maoni yakusanyweje, wataamu gani wawe consulted, ilikuwa ni Prof. Mwandosya.

Mkapa alimwamini sana na aliuelewa wazi uwezo wa huyu mtalaamu, na kama sio kuwa blackmailed na JMK kwamba asingepitishwa kuwa mteule wa ugombea uraisi angehamia Chadema na kushinda, Mkapa alitaka Prof. Mwandosya amrithi uraisi.

Huenda Tanzania ilifanya kosa sana kumkosa Prof. Mwandosya kama raisi wa nchi. Mtu ambae anaweza kukaa na kuandaa mchakato wa Dira ya Maendeleo kama ile ya 2000-2025, bila shaka angekuwa na mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania, kama angefanikuwa kuwa raisi, iwapo JMK asingetoa majina toka mfukoni!

Katika maraisi wa Tanzania waliopita, ukimwondoa Nyerere, nani angeweza au anaweza kukaa na kutengeneza Dira ya niaka 25? Ukijiuliza hili swali utakuta tumeongozwa na tunaongozwa na maraisi wanasiasa na sio viongozi. Wamejaa porojo tu hawana lolote la kusaidia nchi kwenda mbele.

Ningewashauri waandishi wa habari mfanye mahojiano na Prof. Mwandosya kuhusu hitimisho la Dira ya Maendeleo ya 2000 - 2025 na kuanza kwa hii Dira mpya ya 2025 -2050.
Uwongo uwongo na utupu mwiingii!!..mkapa,ambaye hakuwa na taaluma ya uchumi,fedha na mipango,awe na dira ya miaka 25 ya taifa,amkabidhi mwandosya aisimamie..hapa tu kwanza umeonesha dira haikua mpango wa mwandosya bali aliletewa,pili dira ya miaka 25 ya taifa ina mambo mengi yanayohitaji utaalam tofauti
Acheni kutukuza watu kijinga jinga
 
Kila raisi ana Ilani ya uchaguzi ya chama chake, sio dira. Raisi mara nyingi anaikuta dira ilishatayarishwa, labda itokee kama Samia dira inatengenezwa katika kipindi chake. Tatizo kwa sasa ni kwamba maraisi wanaifanya Ilani ya uchaguzi kuwa ndio dira ya taifa, na kuiweka dira ya taifa kapuni
Ilani ya uchaguzi CCM huandaliwa na waliondaa dira na hufuata humo
 
Mara nyingi nimesoma humu JF watu wakiubeza uwezo wa mtu makini sana hapa nchini, Prof. Mark Mwandosya, na wengi hawajui kwamba uandaaji na upangaji wa Dira ya Maendeleo ya Taifa 2000 - 2025 yeye ndie alipewa jukumu hilo na Raisi Benjamin Mkapa. Sisi tuliokuwa karibu na serikali tunalijua hilo.

Japo Mkapa alijua kwamba jukumu hili lilipaswa liende Tume ya Mipango, aliamua kwamba Prof. Mwandosya, ndie angesimamia uandaaji wake, akitumia utaalamu na ufahamu wake kwa kiasi kikubwa. Hivyo, mpangilio wote wa Dira ya 2000-2025, nini kiingizwe humo, maoni yakusanyweje, wataamu gani wawe consulted, ilikuwa ni Prof. Mwandosya.

Mkapa alimwamini sana na aliuelewa wazi uwezo wa huyu mtalaamu, na kama sio kuwa blackmailed na JMK kwamba asingepitishwa kuwa mteule wa ugombea uraisi angehamia Chadema na kushinda, Mkapa alitaka Prof. Mwandosya amrithi uraisi.

Huenda Tanzania ilifanya kosa sana kumkosa Prof. Mwandosya kama raisi wa nchi. Mtu ambae anaweza kukaa na kuandaa mchakato wa Dira ya Maendeleo kama ile ya 2000-2025, bila shaka angekuwa na mchango mkubwa sana kwa maendeleo ya Tanzania, kama angefanikuwa kuwa raisi, iwapo JMK asingetoa majina toka mfukoni!

Katika maraisi wa Tanzania waliopita, ukimwondoa Nyerere, nani angeweza au anaweza kukaa na kutengeneza Dira ya niaka 25? Ukijiuliza hili swali utakuta tumeongozwa na tunaongozwa na maraisi wanasiasa na sio viongozi. Wamejaa porojo tu hawana lolote la kusaidia nchi kwenda mbele.

Ningewashauri waandishi wa habari mfanye mahojiano na Prof. Mwandosya kuhusu hitimisho la Dira ya Maendeleo ya 2000 - 2025 na kuanza kwa hii Dira mpya ya 2025 -2050.
Waliogopa kumtaja? Kichaa kingine kimezidi. Km unampenda sn umpatie kazi yako
 
Kila raisi ana Ilani ya uchaguzi ya chama chake, sio dira. Raisi mara nyingi anaikuta dira ilishatayarishwa, labda itokee kama Samia dira inatengenezwa katika kipindi chake. Tatizo kwa sasa ni kwamba maraisi wanaifanya Ilani ya uchaguzi kuwa ndio dira ya taifa, na kuiweka dira ya taifa kapuni
Ndio maana nikakwambia hakuna kitu kinaitwa dira ya taifa ikiwa kila mgombea ana nadi seta zake ili achaguliwe.

Hizo ilani ni siasa tu, budget za kutegemea nchi wahisani huwezi kuwa na dira ya taifa tusidanganyane.

Tunatekeleza matakwa ya wahisani sio yetu.

Pesa kuboresha miundo mbinu tunapewa tunatekeleza wahisani wanasemaje.

Kama ni kutokomeza malaria tunapewa pesa na Japani tunasema mama kafanya.

Dira, ilani ni propaganda tu.
 
Back
Top Bottom