- Thread starter
- #21
Halafu unakuta mzazi amekaa kibrazani anapiga umbea hana habari!Nalo neno.
Mpk mtu unajiuliza,watt Wana zurula tu utafikiri hawana wazazi/walezi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu unakuta mzazi amekaa kibrazani anapiga umbea hana habari!Nalo neno.
Mpk mtu unajiuliza,watt Wana zurula tu utafikiri hawana wazazi/walezi
Ulimzalia nini kama ulikua huna uhakika wa malezi yake?Life mkuu we kama unalea omba Mungu sana.....akupe nguvu na pesa ya kulea ila wakina sis kunakipindi unatamani dogo akacheze kwa jirani apige menyu hukohuko.........we are different........
Nililelewa na viboko kama vyote!!vipi wewe ulilelewa au ulifugwa?
kuna watu walilelewa kwa kuchapwa na sasa ni majambazi sugu,,sio lazma kua shogaNililelewa na viboko kama vyote!!
Hao ni watuporiNa street Children ni Mifugo au??
Ila hata Bongo mashoga wengi sanaSi Bora sisi tunafuga watoto, hizo nchi zinazolea watoto kama mtoa mada unavyodai si ndo zimesalisha mashoga? Bora tuendelee kulea hivihivi. Si unaona watoto wa school bus wa kiume walivyo nyoronyoro? Laini laini? Wazuri kama madem
Wew mmakonde acha wenge (ntuchake au mtu chakeUlimzalia nini kama ulikua huna uhakika wa malezi yake?
Ndo maana mmachame alikupelekeshaga.Wewe unataka tutoke vibaruani ku check watoto wetu wanacheza na nani af tugeuze turudi duh?
Tanga sehemu gani hapo nije?Bora hata hao wanafuga na chakula wanawapa huku tanga mtoto ukifika 14-kuendelea sio mtoto tena nyumbani wanapika chai vitafunio unajitegemea mchana hawapiki so utajua unapambana vipi ndo mpaka usiku hio na wazaz hata hawashtuki na kusoma au kutosoma shauri yako mwenyew mtoto
Mkuu tena la machame linakuja je hapa?, mkuu nalipia watoto daycare af nitoke huko nije kuwaona wanacheza na nani af nirudi kazini naona alijaka sawa...Ndo maana mmachame alikupelekeshaga.