Watanzania wengi hawali chakula cha asubuhi (breakfast). Chanzo ni umasikini

Watanzania wengi hawali chakula cha asubuhi (breakfast). Chanzo ni umasikini

Hata hivyo mkuu chai sio lazima, kukosa chai sio tatizo.

Maana ya breakfast ni breaking the fast yaani kuvunja mfungo, kwahiyo hata ukianza kula mchana umevunja mfungo tu.

Tunavyokosa huduma muhimu kama za afya ndo changamoto.
Kijana umeanza kupunguza makali

Tangu tunasoma tumejifunza kiafya binadamu kwa siku anatakiwa ale milo mitatu

Ndio maana hata maeneo ya kazi na shule pumziko la asubuhi huzingatiwa sana watu wakapate breakfast
 
Umesema vyema wengi wanakula kama nguruwe, mfikrie yule baba mbinafsi anayekuka akiwa mishe pale kwa mama muuza

Kwenye meza asubuhi kaagiza chai, maharage (maharage kachanganya na sukari) na chapati pembeni ana soda kisha maji

Jioni anapitia kwenye mchemsho kongoro na supu ya pweza na kabia kakuzugia
Screenshot_20240717-193448~2.jpg
 
Ndio maana kuna wabongo wengi sana wamedumaa mwili na/au akili, kwa sababu ya lishe mbovu tangu utotoni.
Sahihi kabisa umesema vyema

Mtoto na mzazi wake kama hawapti mlo kamili lazima wote wawe wajinga na watatokeza tatizo la ukoo wa wajinga mwisho wa siku taifa la wajinga

Ndio maana mataifa ambayo wanazingatia lishe nzuri wanatuzidi kwa mbali uwezo wa kureason

Tusiende mbali hata hapa bongo kachukue katoto kanachokosa lishe na yule anayetokea familia wanayozingatia lishe bora utagundua haka kasicho na lishe bora hata uelewa ni mdogo sana

Nyerere hakukosea aliposema maadui wakuu ni 3 mmojawapo
njaa
 
Huu ni utafiti wangu nimefanya kwenye miji mikubwa na hata vijijini kwenye kila mkoa hapa Tanzania

Ni Watanzania wachache sana ambao wanamudu kula milo 3 na hasa kipengele ni breakfast (mlo wa asubuhi)

Utakuta watu wanaenda mashambani, kazini na wanafunzi wanaenda shuleni hawajala chochote asubuhi. Kidogo baadhi ya maeneo wanakunywa uji wa chumvi.

Kutokana na ugumu wa maisha na vipato haba wengi hupiga pasi ndefu asubuhi angalau kuanzia mlo wa mchana na wa jioni ndio ambao kaya kadhaa zinakula.

Changamoto nyingine niliyoiona kwenye utafiti wangu nimegundua baadhi ya akina baba wa mjini ni watu wa ajabu sana.

Utakuta asubuhi yeye anakula kwa mama lishe supu au maharage na maandazi au chapati au mihogo akiwa kwenye mishe zake lakini nyumbani kwake watoto wanapiga pasi ndefu asubuhi.

Lakini pia nimegundua hata hao wachache wanaokula asubuhi wengi hawashibi ni kupasha tu matumbo.
Mkuu tatizo wewe unajua kifungua kinywa ni chai tu ili hali huku kwetu chai tunakunywa siku ya sikukuu pekee.

Lakini chakula cha asubuhi huku ni jadi. Iwe mihogo ya kuchemsha na karanga,viazi,na muda mwingime hata ugali ama uji tunakula asbh.

Mimi Nina zaidi ya miezi8 sasa sijanywa chai wala sina mpango.

Chai yangu ni supu ya kongoro,mbuzj,kuku au samaki.

Nikikoswa hivyo vyote heri nitafune muhogo mzima. Kunywa chai na maandazi nisawa na ajari kwangu.

Japo familia sijawahi kuiingilia wao wanajua kabisa chai sifagilii.

Point yako haina mashiko maana research hujafanya. Ulipaswa useme watanzania wengi wanakula milo isiyokuwa na lishe kamili hapo tugekubaliana nawewe.

Huku kuna uji wa michembe (viazi vilivyokaushwa kishwa kutwanga ukapatina unga)hata jana nimekunywa ni miji michache sana huku hawali chakuli cha asbh tena ukute si wafugaji na wahawana watoto.

Wakiwepo watoto tu basi watakoroga hata uji watakunywa.

Ni research yangu hii yenye uhakika na ukweli wa 98%.
 
Bado haujatembea wewe kuna maeneo hata hizo karanga, viazi na uji hawali mkuu na ni wengi

Kaka nakusihi tembea hii nchi kuna maeneo mengi ukifika unaweza ukamwaga chozi watu ni mafukara wa kutupwa

Hata humu mjini tembea uone watu wanapiga sana pasi ndefu ni vile kila mtu hana time na mwezake ila watu wanashinda sana njaa
 
Ndio maana kuna wabongo wengi sana wamedumaa mwili na/au akili, kwa sababu ya lishe mbovu tangu utotoni.
Kudumaa sio sababu ya kutonywa chai sasa chai inevitability au virutubishao gani?

Umekunywa chai na bofulo huko mwamakilinga kuna mtu amekula mihogo ya kuchemsha na maziwa mgando.

Nani aliyekula chakula cha asubuhi hapa?

Ukweli usio na shaka wabongo wengi tunakula milo mingi lakini yenye hali ya aina moja ya virutubisho hasa wanga.

Mfano ni huu.

Asbh chai na bofulo ama mkate(wanga)
Ugali dagaa(wanga/chuma)
Wali maharage (wanga/protein)
Matunda hadi uandikiwe na Dr.

Milo hii hii daily nyama,samaki mboga za majani ni kwa nadra sana.

Hapo mtoto atakwepa vipi kudumaa?
 
Bado haujatembea wewe kuna maeneo hata hizo karanga, viazi na uji hawali mkuu na ni wengi

Kaka nakusihi tembea hii nchi kuna maeneo mengi ukifika unaweza ukamwaga chozi watu ni mafukara wa kutupwa

Hata humu mjini tembea uone watu wanapiga sana pasi ndefu ni vile kila mtu hana time na mwezake ila watu wanashinda sana njaa
Hii nchi bado mikoa4 tu kuitembelea mkuu. Usemacho nisahihi ila si kwa kiwango hicho.

Na kama hivyo basi ni uvivu tupu unawasumbua watu hakuna ardhi ambayo walau hata mihogo ama viazi upande igomee kabisa siyo rahisi.
 
Kudumaa sio sababu ya kutonywa chai sasa chai inevitability au virutubishao gani?

Umekunywa chai na bofulo huko mwamakilinga kuna mtu amekula mihogo ya kuchemsha na maziwa mgando.

Nani aliyekula chakula cha asubuhi hapa?

Ukweli usio na shaka wabongo wengi tunakula milo mingi lakini yenye hali ya aina moja ya virutubisho hasa wanga.

Mfano ni huu.

Asbh chai na bofulo ama mkate(wanga)
Ugali dagaa(wanga/chuma)
Wali maharage (wanga/protein)
Matunda hadi uandikiwe na Dr.

Milo hii hii daily nyama,samaki mboga za majani ni kwa nadra sana.

Hapo mtoto atakwepa vipi kudumaa?
Na tunapozungumzia breakfast tunazungumzia mlo kamili wa asubuhi

Ila hata kabla hatujaenda huko kwenye mlo kamili hata huo wa chai na bofulo wengi hawamudu
 
Na tunapozungumzia breakfast tunazungumzia mlo kamilo wa asubuhi

Ila hata kabla hatujaenda huko kwenye mlo kamili hata huo wa chai na bofulo wengi hawamudu
Takwimu yako ilitakiwa ibainishe wengi ambao hawamudu hata hilo bofulo ni wangapi?
Na wachache ambao wanao mudu hilo bofulo ni wangapi?
Then utoe idadi kamili ya watu wanaokula breakfast kwq uchache wao kati ya wengi.

Hapa ndo tungediscus kwa uzuri zaidi
 
Kudumaa sio sababu ya kutonywa chai sasa chai inevitability au virutubishao gani?

Umekunywa chai na bofulo huko mwamakilinga kuna mtu amekula mihogo ya kuchemsha na maziwa mgando.

Nani aliyekula chakula cha asubuhi hapa?

Ukweli usio na shaka wabongo wengi tunakula milo mingi lakini yenye hali ya aina moja ya virutubisho hasa wanga.

Mfano ni huu.

Asbh chai na bofulo ama mkate(wanga)
Ugali dagaa(wanga/chuma)
Wali maharage (wanga/protein)
Matunda hadi uandikiwe na Dr.

Milo hii hii daily nyama,samaki mboga za majani ni kwa nadra sana.

Hapo mtoto atakwepa vipi kudumaa?
Lishe mbovu niliyomaanisha ni pamoja na hiyo watoto kujazwa chai ya rangi boflo, vitumbua, maandazi asubuhi, watu wazima kushindia sembe mchicha, mihogo, wali, chapati na chai mchana na usiku.
 
Kingine elimu ya kuhusu misosi hamna, hata wale tunaokula asubuhi bado tunaokula ili kukamilisha ratiba Tu, siku hizi njiani Kila mtu ana kitambi si wanawake wala wanaume, wote matumbo mbele mbele.
 
Back
Top Bottom