Watanzania wengi hawali chakula cha asubuhi (breakfast). Chanzo ni umasikini

Takwimu yako ilitakiwa ibainishe wengi ambao hawamudu hata hilo bofulo ni wangapi?
Na wachache ambao wanao mudu hilo bofulo ni wangapi?
Then utoe idadi kamili ya watu wanaokula breakfast kwq uchache wao kati ya wengi.

Hapa ndo tungediscus kwa uzuri zaidi
Wengi hawamudu inaweza kuwa hata zaidi ya 70%
 
Lishe mbovu niliyomaanisha ni pamoja na hiyo watoto kujazwa chai ya rangi boflo, vitumbua, maandazi asubuhi, watu wazima kushindia sembe mchicha, mihogo, wali, chapati na chai mchana na usiku.
Sikupingi mkuu. Lakini kusema watu hawanywi chai ni kweli lakini si kwa kiwango hicho.

Nimewahi kuishi Dar kwa miaka2 ajabu ni kwamba familia ile ikuwa tiyari tule chai kikumbo1 na chapter 2 za mkate! Na watu wanaridhika wamekunywa chai na ndio maisha yao siku zote.

Ni vitumbua
Maandazi ama chati na mkate daily.

Kitu ambacho huko kwetu ni tofauti
Kwanza kunywa chai labda awepo mgeni ametoka mjini au siku za sikukuu pamoja na hayo matakataka (maandazi makete nk)
 
Sahihi sana

Mfano mlo wa usiku hasa upande wa mboga huwa ni makombo ya mchana

Na asubuhi wachache hula viporo au makombo ya usiku

Technically Watanzania wengi wanamudu mlo mmoja kwa siku
Ukila milo miwili iliyokamilika(milo kamili) kwa siku inatosha sana hasa kama hufanyi kazi ngumu, milo mitatu ni kwa ajili ya wanaofanya kazi ngumu na watoto wadogo. Tatizo hata wengi wanaokula hiyo milo mitatu inakuwa duni sana, wanashindilia wanga zaidi kwa sababu ndio vyakula rahisi kwa wengi.
 
Sikupingi mkuu. Lakini kusema watu hawanywi chai ni kweli lakini si kwa kiwango hicho.

Nimewahi kuishi Dar kwa miaka2 ajabu ni kwamba familia ile ikuwa tiyari tule chai kikumbo1 na chapter 2 za mkate! Na watu wanaridhika wamekunywa chai na ndio maisha yao siku zote.

Ni vitumbua
Maandazi ama chati na mkate daily.

Kitu ambacho huko kwetu ni tofauti
Kwanza kunywa chai labda awepo mgeni ametoka mjini au siku za sikukuu pamoja na hayo matakataka (maandazi makete nk)
Sahihi mkuu, Watanzania wengi wanakunywa chai ya rangi asubuhi.
 
Ukila milo miwili iliyokamilika(milo kamili) kwa siku inatosha sana hasa kama hufanyi kazi ngumu, milo mitatu ni kwa ajili ya wanaofanya kazi ngumu na watoto wadogo. Tatizo hata wengi wanaokula hiyo milo mitatu inakuwa duni sana, wanashindilia wanga zaidi kwa sababu ndio vyakula rahisi kwa wengi.
Ni kweli mkuu
 
Nimefanya kazi na taasisi za watu wa nje, mzee wakati wa mlo wa asubuhi lazima wote mnakutana chumba cha chakula

Hata kama ulianza kazi mapema ikifika saa 3 asubuhi wote mezani na hatukuwa tunafanya kazi ngumu

Na msosi wa asubuhi mnakuta ni mlo kamili, mpaka inafika kipindi haunenepi ila unakuwa na nuru ngozi haifichi

Hapo kwenye Watanzanoa kula mavyakula ya wanga asubuhi nakuunga mkono, mwaka mzima mtu anakula chapati, maandazi, mihogo, vitumbua asubuhi hakuna anachofanya mwilini vyote hivyo ni wanga
 
Baba mtambi huo vitoto na mke vimekondeana ndio maana ya engine ya familia sio?
Kibongobongo wanaoongoza kwa kunenepa ni jinsia gani...hapa Dar wanaume wengi naokutana nao barabarani ni vimbaumbau!!
 
Nimefanya kazi na taasisi za watu wa nje, mzee wakati wa mlo wa asubuhi lazima wote mnakutana chumba cha chakula

Hata kama ulianza kazi mapema ikifika saa 3 asubuhi wote mezani na hatukuwa tunafanya kazi ngumu

Na msosi wa asubuhi mnakuta ni mlo kamili, mpaka inafika kipindi haunenepi ila unakuwa na nuru ngozi haifichi

Hapo kwenye Watanzanoa kula mavyakula ya wanga asubuhi nakuunga mkono, mwaka mzima mtu anakula chapati, maandazi, mihogo, vitumbua asubuhi hakuna anachofanya mwilini vyote hivyo ni wanga
Katika sayansi ya lishe hakuna umuhimu wowote wa kiafya kula milo mitatu, huo ni utamaduni tu wa Waingereza uliosambaa dunia nzima.
 
Haya ni mafundisho ya kujipatia viriba tumbo, kidume kamili ni msosi mara 1 tu.
 
Back
Top Bottom