Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Mtu mzima utamshikia bakora akaoge? Mnapenda kusinhizia wanawake Mme asipooga mkewe wakati maji yapo amegoma kuoga iweje shida iwe kwa mkewe [emoji43][emoji43][emoji43]

Sent from my HUAWEI KII-L22 using JamiiForums mobile app
mwanaume ni kama mtoto mdogo kwa mke wake ingawa ni kichwa cha famili, mke wake ana wajibu wa kujua mume wake amekula, ameoga. Ni ishara ya upendo na amani ndani ya nyumba. Sasa kama mke hajali usafi wa mume wake hapo kuna ndoa au ni uhuni fulani ?
 
Halafu wanapenda kubananabanana huki wakiwa na harufu mbaya.
 
mwanaume ni kama mtoto mdogo kwa mke wake ingawa ni kichwa cha famili, mke wake ana wajibu wa kujua mume wake amekula, ameoga. Ni ishara ya upendo na amani ndani ya nyumba. Sasa kama mke hajali usafi wa mume wake hapo kuna ndoa au ni uhuni fulani ?
Hili wala sikatai pia nayeye mwenyewe awe na akili zakuwa ni mwanaume, kuna mwanaume alikuwa haogi mpenzi wake wanagombana lakini haogi kabisa mpaka ajisikie, mke anasema hata tumwekee hapo maji anagoma kabisa, hapo mke atalaumiwa kwa lipi!
 
Na wewe mwanamme mtu mzima mpaka uambiwe na mke wako ukaoge au kubadilisha nguo, ni uchafu gani huo?

Usitafute kisingizio ni uchafu wako mwenyewe
nijichukulie maji nipeleke bafuni kuoga wakati mke yupo hiyo ni heshima gani? Ni kawaida mke kumuandalia mume wake maji ya kuoga, kinyume na hapo ni vurugu tu ndani ya ndoa
 
Hili wala sikatai pia nayeye mwenyewe awe na akili zakuwa ni mwanaume, kuna mwanaume alikuwa haogi mpenzi wake wanagombana lakini haogi kabisa mpaka ajisikie, mke anasema hata tumwekee hapo maji anagoma kabisa, hapo mke atalaumiwa kwa lipi!
mwanaume anayeandaliwa maji ya kuoga na mke wake asipooga hunyimwa unyumba
 
Mbona naskia biashara ya vipodozi inalipa sana?

Sasa mleta mada kama watu hawapaki manukato, hao wanaonunua vipodizi ambavyo vinahusisha manukato, mpaka vikawalipa wafanyabiashara kiasi cha kuvisifia, wanatoka wapi?
 
kwani mikono yako imevimba au? na mabafu ya siku hizi mengi bomba liko pamoja na shower bado unatafuta visingizio tu?
ni jambo gani mke ataonesha upendo wa dhati ikiwa siku hizi kuna mabafu ya kisasa ? Kwenye kutenga msosi anatenga binti wa kazi za ndani. Ni wapi nitaona penzi la huba la mke wangu?
 
ni jambo gani mke ataonesha upendo wa dhati ikiwa siku hizi kuna mabafu ya kisasa ? Kwenye kutenga msosi anatenga binti wa kazi za ndani. Ni wapi nitaona penzi la huba la mke wangu?
ndiyo unataka kunukisha wenzako uvundo kwa kuwa mke hakukuwekea maji bafuni? Penzi la kusubiria uwekewe maji bafuni au chakula kwenye meza ni la kizamani. Yako mengine mengi yanayoweza kuimarisha penzi siyo lazima hayo.
 
si uzembe mke anapohakikisha unatoka vizuri nje, umevaaje na utarudi una hali gani katika suala la usafi na unadhifu. Sasa kama una mke mzembe hajui hata kukuchagulia ni nguo gani uvae unapotoka nje, huyo ni mke au kinyago tu? Mke ana nafasi kubwa katika kuangalia usafi na unadhifu wa mume wake, wanawake kwa usafi unadhifu ndiyo jadi yao, waangalie pia waume zao wakoje kiusafi
 
.....kuahirisha [emoji818]
.....kuhairisha[emoji777]
 
nijichukulie maji nipeleke bafuni kuoga wakati mke yupo hiyo ni heshima gani? Ni kawaida mke kumuandalia mume wake maji ya kuoga, kinyume na hapo ni vurugu tu ndani ya ndoa
Yaan hata kusafisha mwili mpaka mtu mzima usisimamiwe hii ni aibu na ni uchafu uliopitiliza.
 
ni jambo gani mke ataonesha upendo wa dhati ikiwa siku hizi kuna mabafu ya kisasa ? Kwenye kutenga msosi anatenga binti wa kazi za ndani. Ni wapi nitaona penzi la huba la mke wangu?
Kuna wanaume vyote hivyo anafanyiwa lakini haoni dhamani ya mke, na siku mke akichoka anaambiwa ndiye mwenye tatizo, hivi unajua kuna wanaume anaweza susa kula chakula na akalala chakula anakiacha mezani na akipita hapa midevu uso mzima imemchomoka kama matembele yaliolimwa karibu na choo lakini anasusa, kama mtu anasusa kula huko 6*6 si ndiyo bila bila !
 
[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…