MIXOLOGIST
JF-Expert Member
- Mar 1, 2016
- 14,311
- 36,056
- Thread starter
- #81
Hazina madhara, ni ignorance tu inawasumbuaNdio .
Kuna mtu ameandika madhara yake hapo juu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hazina madhara, ni ignorance tu inawasumbuaNdio .
Kuna mtu ameandika madhara yake hapo juu
Waache uchafu,waogeusafi ni tabia sio kipato! pesa ya vocha ipo ila ya perfume hamna!
we jamaa unasema vizuri ila kuna wanaofanya makusudi kukataa kuoga na kuna wale wenye hali ngumu shida kupata maji mpaka wakaoge Baharini.
kumbe namimi vilinitokeaDeodorant ni mbaya kwa afya bora mtu ujisafishe vizur mara nyingi zinasabisha vijipu Kwenye kwapa (armpit abscess) kwa mtu mwenye poor hygiene,,,,na wabongo wengi wanaoga mara 1 au hawaogi kabisa siwashauri hii haha
Mkuu uchafu na umasikini siyo sifa. Pambana upate hela na uwe msafiChief nakuunga mkono kwenye hoja ya usafi.
Usafi ni jambo jema kwa afya
zetu na mazingira yanayo tuzunguka.
LAKINI.
Sisi wakulungwa(shamba boy)izo vitu kama manukato hayana muda kwetu.
Araf ww unaonekana ni mwanaume wa dar unaamkia chipis na kushindia chipis dume,mwanaume wa mikoani hawezi toa uzi wa kibaguzi kama huo,ina maana wakulungwa wasiingie mjini.
Unaonekana unapenda kitonga,sasa mtu umpige fine kwa harufu yake,kweli jamani.
Kumbe ukija kiumeni kila siku utakuwa unameza piliton za mafua kwa harusu zetu za jasho.
Sasa basi hoja iyo haikubaliki kwa wakulungwa(shamba boy),ipeleke kwa wabana pua sawa eeeee.
Uko SawA kabisa kujipenda na kujikali haitegemei unafanya Kazi gani na wapi..... Watu wajitahid kuoga tu na kusafisha kwapa zao vzuri.... Na kama hawana pesa za kununua deodorant wapake malimao makwapaniHeri ya sikukuu ya sabasaba.
Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia mbali perfume.
Jana nilikua kwenye misongamano ya watu sehemu mbili tofauti katika jiji la Dar es Salaam, yaani uvundo na harufu mbaya za watu karibu zinifanye nihairishe safari zangu. Imagine unakwenda kumuangalia mgonjwa kwenye wodi ya hospitali ya Muhimbili, kwenye ngazi unapishana na kundi la watu wanaonuka mchanganyiko wa harufu mbaya zenye kustaajabisha.. Halikadhalika, mikusanyiko ya watu kama kwenye maonesho ya sabasaba unaweza kuchefukwa na harufu mbaya za watu na ukastaajabu..
Kwa maoni yangu, sehemu kubwa ya watu hawa hawaogi, hawafui nguo zao, wana magojwa ya fungus miguuni, hawapaki deodorant au manukato.
Nini kifanyike?
1. Elimu ya usafi wa mwili itolewe kuanzia shule za chekechea mpaka vyuoni. Raia wafundishwe umuhimu wa kuoga na kupaka deodorant. Waeleweshwe kwamba kutofanya hivyo ni ukatili kwa wengine kwani kunawasababishia maumivu ya kiakili na kero kubwa;
2. Watu wasiooga au kupaka deodorant wakibainika watozwe fine kwa uchafuzi wa mazingira na kusababishia raia wengine kero na maumivu ya kiakili; na mwisho
3. Wasiruhusiwe kuja mjini.
Namshukuru mkuu wa mkoa mstaafu bwana Paul Makonda aliwahi kulishughulikia ili swala, natumaini Raisi wangu msikivu atalishughulikia pia.
Naomba kuwasilisha
Huo ni ukweli mchunguUko SawA kabisa kujipenda na kujikali haitegemei unafanya Kazi gani na wapi..... Watu wajitahid kuoga tu na kusafisha kwapa zao vzuri.... Na kama hawana pesa za kununua deodorant wapake malimao makwapani
Hiyo ni deodorant nzuri kama ni og, nivea ni simple na nzuri piaMkuu deodorant gani mzuri mi kuna moja natumia ila inatoa majipu kwapani.View attachment 2296160
NdioHuo ni ukweli mchungu
Watu wengi wachafu wanadhani kuoga ni anasa na kupaka marashi na deodorant ni utajiri. Unaweza ukamtoa mtu shamba lakini ukashindwa kutoa ushamba kichwaniNdio
Ila ni aibu sana...nina mgonjwa hii week ya pili...... Yani watu ninaopishana nao hospital asubui najiuliza hivi huyu kaoga au..... muda mwingi sana watu wanafundisha kutumia limao kweny kwapa , unanyoosha ka nguo vzuri, unavaa..... Sasa asubui unakutana na mdada ananuka jasho alf ukimsalimia anaitikia mapuani khaaa[emoji28]Watu wengi wachafu wanadhani kuoga ni anasa na kupaka marashi na deodorant ni utajiri. Unaweza ukamtoa mtu shamba lakini ukashindwa kutoa ushamba kichwani
Hospital za serikali ni kadhai kubwa, watu ni wachafu sana. Elimu hii isisitizwe kuanzia shule ya awali. Ni aibu sana, nimetembea kidogo nchi nyingi hapa kwetu ni tatizo kubwaIla ni aibu sana...nina mgonjwa hii week ya pili...... Yani watu ninaopishana nao hospital asubui najiuliza hivi huyu kaoga au..... muda mwingi sana watu wanafundisha kutumia limao kweny kwapa , unanyoosha ka nguo vzuri, unavaa..... Sasa asubui unakutana na mdada ananuka jasho alf ukimsalimia anaitikia mapuani khaaa[emoji28]
Tafadhali mdada mzuri, naomba uoge kila siku na upake deodorant.Kwa baridi hii oga mwenyewe
Sema jamaa ana maisha fulani hivi ya kati anatembeleaga ka passoAcha kujishaua,
Watu wanapata riziki feri wengine wanabonda kokoto wengine wabeba ndwika (Bujibuji Simba Nyamaume) unataka wapake perfume,
Wachache sana tulio na hivi vijiwe vidogo vidogo ndo tunaweza kupuliza hayo mavitu na siyo rahisi kukutana nao.
Subiri kwanza baridi iisheTafadhali mdada mzuri, naomba uoge kila siku na upake deodorant.
Yani ni tatizo aiseh.... Kuna siku nkipanda daladala zinazoenda umbali mrefu... Akapanda baba mmja kananyua mkono kushika chuma maan alikua kasimama..... Ehh kumchek kweny kwapa nywele zimeota zimekua nyingi alaf kumejaa ukoko mweupe.... Nlicheka hyo siku Aecha kabisaHospital za serikali ni kadhai kubwa, watu ni wachafu sana. Elimu hii isisitizwe kuanzia shule ya awali. Ni aibu sana, nimetembea kidogo nchi nyingi hapa kwetu ni tatizo kubwa