Bujibuji Simba Nyamaume nami nakisubiria kwa hamu.Napenda sana visa na mikasa ya aina hii.Siku ukipata nafasi niandikie niki kisa,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bujibuji Simba Nyamaume nami nakisubiria kwa hamu.Napenda sana visa na mikasa ya aina hii.Siku ukipata nafasi niandikie niki kisa,
Acha ushamba, dunia nzima wanatumia deodorant wewe huko Mpitimbi ndiyo utuambie ni mbaya?Deodorant ni mbaya kwa afya bora mtu ujisafishe vizur mara nyingi zinasabisha vijipu Kwenye kwapa (armpit abscess) kwa mtu mwenye poor hygiene,,,,na wabongo wengi wanaoga mara 1 au hawaogi kabisa siwashauri hii haha
Thanks in advance.DUH...... Wakati wa kubariki ndoa Yako sisi ndio tulikuimbia nyimbo za harusi nikiwa na kina Ulimba, Nyandu, Mwasumbi, Agrey Kandonga na wengine wengi, tumezeeka sana sasa.
Mgogoro mzima wa Mwamlima nitakutumia, usijali.
AISEE, uoge MkuuKula lazima, kuoga hiyari
Mwanaharakati huru wa usafiWakumbushe na kunyoa mavuzzz ya kinena na kwapani nayo ni chanzo kikuu cha harufu.
Tuvumiliane tu nchi ni yetu wote.!!
Hiyo namba tatu!!!mmmmh,Heri ya sikukuu ya sabasaba.
Kwa masikitiko makubwa naomba niwakilishe malalamiko yangu kuhusu ndugu zangu na wananchi wenzangu. Wengi wenu hamuogi, hamfui nguo zenu na hampaki deodorant achilia mbali perfume.
Jana nilikua kwenye misongamano ya watu sehemu mbili tofauti katika jiji la Dar es Salaam, yaani uvundo na harufu mbaya za watu karibu zinifanye nihairishe safari zangu. Imagine unakwenda kumuangalia mgonjwa kwenye wodi ya hospitali ya Muhimbili, kwenye ngazi unapishana na kundi la watu wanaonuka mchanganyiko wa harufu mbaya zenye kustaajabisha.. Halikadhalika, mikusanyiko ya watu kama kwenye maonesho ya sabasaba unaweza kuchefukwa na harufu mbaya za watu na ukastaajabu..
Kwa maoni yangu, sehemu kubwa ya watu hawa hawaogi, hawafui nguo zao, wana magojwa ya fungus miguuni, hawapaki deodorant au manukato.
Nini kifanyike?
1. Elimu ya usafi wa mwili itolewe kuanzia shule za chekechea mpaka vyuoni. Raia wafundishwe umuhimu wa kuoga na kupaka deodorant. Waeleweshwe kwamba kutofanya hivyo ni ukatili kwa wengine kwani kunawasababishia maumivu ya kiakili na kero kubwa;
2. Watu wasiooga au kupaka deodorant wakibainika watozwe fine kwa uchafuzi wa mazingira na kusababishia raia wengine kero na maumivu ya kiakili; na mwisho
3. Wasiruhusiwe kuja mjini.
Namshukuru mkuu wa mkoa mstaafu bwana Paul Makonda aliwahi kulishughulikia ili swala, natumaini Raisi wangu msikivu atalishughulikia pia.
Naomba kuwasilisha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Pole sana, mambo yao waachie wenyewe, ila itapendeza kama utajenda dunia yako...
Oga mkuu acha visingizioPole sana, mambo yao waachie wenyewe, ila itapendeza kama utajenda dunia yako...