Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Watanzania wengi hawaogi na hawapaki deodorant

Deodorant sio nzuri kwa matumizi.

Muhimu mtu ni kuoga Kwa sabuni na kujisugua makwapani kwa povu jingi na kurudiarudia na kupaka mafuta hata kama ni ya kupikia.
Wengine wanahitaji msasa laini
 
Siku ukipata nafasi niandikie niki kisa, Mwamlima alibariki ndoa yangu pale kanisani kwake karibu na loleza, miaka hiyo wewe hujazaliwa bado.
DUH...... Wakati wa kubariki ndoa Yako sisi ndio tulikuimbia nyimbo za harusi nikiwa na kina Ulimba, Nyandu, Mwasumbi, Agrey Kandonga na wengine wengi, tumezeeka sana sasa.

Mgogoro mzima wa Mwamlima nitakutumia, usijali.
 
Back
Top Bottom