Pre GE2025 Watanzania wengi hawapo Flexible, Wengi ni Conservative na hapo ndipo CCM inaposhindia

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Yaani kuikataa ccm ndiyo flexibility!?..Sasa uiondoe ccm umpe nani nchi!?..Tanzania ndiyo sehemu inayoshangaza wageni wengi wafanyabiashara,bidhaa mpya inaingia sokoni na inauzika fresh tu,huko unakowaona wako flexible bidhaa mpaka iaminiwe inunuliwe ni miaka na baada ya promotion ya kutosha

Hakuna sehemu nimesema Watu waikatae CCM.
Kitendo cha kutoona wa kumpa nchi nje ya CCM ndio u-conservative wenyewe Mkuu.
 
Lengo lako ni ccm,u-conservative haupingiki,ndiyo maana unalala usiku na kuamka asubuhii na si kinyume chake,unataka watu wabadilikebadilike kwa manufaa yapi!?
 
Conservative huhusu zaidi mambo ambayo ni man-made na sio naturally.
 
Tatizo naloliona hapa sio flexibility au conservertism ya watanzania..

Tatizo kubwa ni Kwa wale wanaotaka mabadikiko kutojitokeza kupiga kura.. Na wale conservative wakiwa waaminifu kabisa kwa chama chao.. Ndio maana inafikia hatua tunatawaliwa na Rais aliyechaguliwa na wapiga kura Milioni 8.. Wakati daftari la wapiga kura limeandikisha wapiga kura takriban milioni 30..

Usiniambie habari ya wizi wa kura kwa sababu siamini katika wizi wa kura..

Hebu mwaka 2025 tuhamasishane kwa umoja wetu na tujitokeza wote kwa pamoja tukaikatae CCM tuone kama watabaki madarakani..
 
Ccm wanashinda kwa nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama (wizi wa kura).
 
Tatizo naloliona hapa sio flexibility au conservertism ya watanzania..

Tatizo kubwa ni Kwa wale wanaotaka mabadikiko kutojitokeza kupiga kura.. Na wale conservative wakiwa waaminifu kabisa kwa chama chao.. Ndio maana inafikia hatua tunatawaliwa na Rais aliyechaguliwa na wapiga kura Milioni 8.. Wakati daftari la wapiga kura limeandikisha wapiga kura takriban milioni 30..
Hapa inatafakarisha

Usiniambie habari ya wizi wa kura kwa sababu siamini katika wizi wa kura..
Hapa tupo pamoja kwa sababu kwenye hao wezi wa kura inakuwaje mnakosea ushawishi mpaka kwa kundi hilo
Hebu mwaka 2025 tuhamasishane kwa umoja wetu na tujitokeza wote kwa pamoja tukaikatae CCM tuone kama watabaki madarakani..
Wakuikataa CCM bado wàpo wachache mno,

Kadiri mnavyohamasisha ccm ikataliwe na Watu wajiandikishe ndivyo lile kundi ambalo halikupiga kura ambalo wengi wao hawataki mawazo mapya na mfumo mpya nao watajitokeza kuichagua ccm
 
Yaani kuikataa ccm ndiyo flexibility!?..Sasa uiondoe ccm umpe nani nchi!?..Tanzania ndiyo sehemu inayoshangaza wageni wengi wafanyabiashara,bidhaa mpya inaingia sokoni na inauzika fresh tu,huko unakowaona wako flexible bidhaa mpaka iaminiwe inunuliwe ni miaka na baada ya promotion ya kutosha
kwamba ccmu inayosaini mkataba bila kikomo ndo wawe na iq kubwa ya utawala kuliko wengine hapa Tz ?
 
Back
Top Bottom