Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #21
Yaani kuikataa ccm ndiyo flexibility!?..Sasa uiondoe ccm umpe nani nchi!?..Tanzania ndiyo sehemu inayoshangaza wageni wengi wafanyabiashara,bidhaa mpya inaingia sokoni na inauzika fresh tu,huko unakowaona wako flexible bidhaa mpaka iaminiwe inunuliwe ni miaka na baada ya promotion ya kutosha
Hivi unawajua kiundani watanzania wewe!? Au unatafuta kuchanganyikiwa akili?
Kama wewe ni mwanaume bila shaka hadi sasa umeshapata mume. Si uko flexible? Ndio...
Lengo lako ni ccm,u-conservative haupingiki,ndiyo maana unalala usiku na kuamka asubuhii na si kinyume chake,unataka watu wabadilikebadilike kwa manufaa yapi!?Hakuna sehemu nimesema Watu waikatae CCM.
Kitendo cha kutoona wa kumpa nchi nje ya CCM ndio u-conservative wenyewe Mkuu.
Somesheni kizazi hiki tunachokifyatua sasa , acheni kulaumu kizazi ambacho hakijasoma hata hivyo kimejitahidi
Hapana,kuwa flexible,umegonga Sana,Sasa unatakiwa kugongwa sanaUnawaza kuolewa?
Lengo lako ni ccm,u-conservative haupingiki,ndiyo maana unalala usiku na kuamka asubuhii na si kinyume chake,unataka watu wabadilikebadilike kwa manufaa yapi!?
Hapana,kuwa flexible,umegonga Sana,Sasa unatakiwa kugongwa sana
Kila jambo kwa kiasi
Watanzania ndo watu wenye IQ ndogo kuliko mataifa yote ya EA, au pengine wanaizidi Burundi kidogo tu.
Upo sahihi
Umepotea Sana.
Upo sahihi
Umepotea Sana.
Si Kweli,
Watanzania ni flexible,
Ndio maana Mrema alimshinda Mkapa kwenye Sanduku la kura,
Tuache wizi wa kura ndio ujue flexibility au static ya Watanzania ilipo.
Unakataa flexibilityNafikiri bado suala la uelewa ni tatizo kwa wengi.
Kwa tafsiri ya nani!?..au unatwist definition kufit mtazamo wako!?Conservative huhusu zaidi mambo ambayo ni man-made na sio naturally.
Hapa inatafakarishaTatizo naloliona hapa sio flexibility au conservertism ya watanzania..
Tatizo kubwa ni Kwa wale wanaotaka mabadikiko kutojitokeza kupiga kura.. Na wale conservative wakiwa waaminifu kabisa kwa chama chao.. Ndio maana inafikia hatua tunatawaliwa na Rais aliyechaguliwa na wapiga kura Milioni 8.. Wakati daftari la wapiga kura limeandikisha wapiga kura takriban milioni 30..
Hapa tupo pamoja kwa sababu kwenye hao wezi wa kura inakuwaje mnakosea ushawishi mpaka kwa kundi hiloUsiniambie habari ya wizi wa kura kwa sababu siamini katika wizi wa kura..
Wakuikataa CCM bado wàpo wachache mno,Hebu mwaka 2025 tuhamasishane kwa umoja wetu na tujitokeza wote kwa pamoja tukaikatae CCM tuone kama watabaki madarakani..
Kwa tafsiri ya nani!?..au unatwist definition kufit mtazamo wako!?
Ccm wanashinda kwa nguvu ya vyombo vya ulinzi na usalama (wizi wa kura).
kwamba ccmu inayosaini mkataba bila kikomo ndo wawe na iq kubwa ya utawala kuliko wengine hapa Tz ?Yaani kuikataa ccm ndiyo flexibility!?..Sasa uiondoe ccm umpe nani nchi!?..Tanzania ndiyo sehemu inayoshangaza wageni wengi wafanyabiashara,bidhaa mpya inaingia sokoni na inauzika fresh tu,huko unakowaona wako flexible bidhaa mpaka iaminiwe inunuliwe ni miaka na baada ya promotion ya kutosha