Robert Heriel Mtibeli
JF-Expert Member
- Mar 24, 2018
- 28,297
- 68,017
- Thread starter
-
- #41
Unakataa flexibility
Maagizo toka juu. Viongozi ni CCM damdam. Ndio wanaowapa hela,posho, mishahara,nyota,vyeo,silaha,mabomu,risasi. Hao wakipokea maagizo ni kuchakachua kura na kuiba kura mwanzo mwisho ndio maana wanashinda.Vyombo vya ulinzi na dola nguvu wanatoa wapi?
Maagizo toka juu. Viongozi ni CCM damdam. Ndio wanaowapa hela,posho, mishahara,nyota,vyeo,silaha,mabomu,risasi. Hao wakipokea maagizo ni kuchakachua kura na kuiba kura mwanzo mwisho ndio maana wanashinda.
Siku vyombo vya ulinzi na usalama vikiamua kukataa kuiba kura ndio itakuwa MWISHO wa CCM
Waulize waliofanya utafiti huo.Define IQ bro
Mmmh !Kwema Wakuu!
Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)…
Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia kwenye Ukristo. Sio ajabu mtu ni Simba au Yanga kwa sababu alipokulia ni Washabiki wa Simba na Yanga.
Katika siasa, tabia hii ni mtaji na tegemeo kubwa kwa chama kama CCM. Moja ya mambo ambayo CCM inajiamini nalo ni hilo la watanzania kutokuwa Flexible au kuwa conservative.
Sio ajabu mpaka leo kuna Watu wanahangaika na kumtajataja JPM. Wapo wengine wanamtajataja Nyerere. Wao kila kitu kwao ni Nyerere au JPM. Hiyo ni ishara ya mtu kutokuwa Flexible au kuwa conservative.
Ni sawa na wale Walokole au Wasabato au waislam wao kila kitu lazima warejelee Watu wa zamani waliokufa miaka zaidi ya elfu elfu huko. Yesu anasema, Mara Mtume anasema. Ukimuuliza wewe kwaakili yako unasema nini anawasha macho.
Dunia haihitaji kuongozwa na Watu wasiotaka mabadiliko, Watu wanaochukia mambo mapya. Watu wasio wabunifu.
Wananchi wengi hawaoni chama kingine zaidi ya CCM, hata hao wapinzani waliowengi ni kama CCM tuu sio ajabu ukasikia mpinzañî akiiñgia CCM.
CCM wanaamini bila wao nchi hii haiwezi kuongozwa na kuletwa maendeleo. Huo ndio u-conservative wenyewe huo.
Ni kama Watu wa dini wanaoamini kuwa dini yao ndio itawapeleka mbinguni na dini zingine mbingu hawaendi. Ni dalili ya kutokufikiri vizuri. Kuifunga akili katika vikao.
Usitegemee maendeleo yoyote ya maana kwenye jamii yenye Watu wengi ambao wapo conservative au ambao hawapo flexible.
Mimi nimemaliza, leo sihitaji maswali.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kahama
Je unaelewa, jinsi kura zinavyoibwa?Utatenganishaje vyombo vya ulinzi na wananchi?
Ikiwa waliopo kwenye vyombo vya ulinzi asilimia 99% ni ndugu zetu na wametoka kwenye familia ambazo sio za watawala.
Embu nîeleze nielewe
Halafu kumbe ni Mtibeli? Mzee wa mada nyeti. Huwa siangalii mleta mada. Mara nyingi nashambulia tu hoja. Wewe yani ningejua nisingekujibu hivyo 😅Unawaza kuolewa?
Mambo ya asili kikawaida ni conservativeHalafu kumbe ni Mtibeli? Mzee wa mada nyeti. Huwa siangalii mleta mada. Mara nyingi nashambulia tu hoja. Wewe yani ningejua nisingekujibu hivyo 😅
Ila kiukweli yapo mambo hayahitaji flexibility unayotaka kuihubiri. Mathalan mimi kuzaliwa mkatoliki sioni cha kunitoa hapo. Naweza kuwasikiliza waamini wa madhehebu mengine ila sio tiketi ya kuhamia.
Kadhalika tangu nimejitambua nimekuwa napigia kura chadema. Yani niko hivyo. Kadhalika nilimuuliza mama yangu we ni timu gani, nikiwa bado chalii. Aliposema, "mi ni Yan'ngaa" hiyo ikawa imeenda. Sasa nitafariki humohumo.
Hivyo basi, kuhamahama jambo ni kukosa misimamo wakati mwingine. Ila pia watu wanahama sana madhehebu. Wanapigia kura vyama tofauti. Tofauti na dini, siasa ina wenyewe. Nawe ni shahidi. Inasemekana Lyatonga alishinda uchaguzi akapinduliwa matokeo. Maalim nae. Lowasa kadhalika akiwa chadema.
Hoja ni, ni lini watawala wataacha kuwa conservatives?
Je unaelewa, jinsi kura zinavyoibwa?
Polisi/jeshi/usalama ndio wanaohusika kwenye shughuli nzima na wanawalinda wao. Kuna uchaguzi nilikoswakoswa na risasi za polisi. Rafiki yangu alipigwa ya mguu. Polisi walikuwa wanabadilisha mabox ya kura. Watu wakawashtukia ndio wakaanza kufyatua risasi ili kutawanya watu.
Na hao polisi wanapokea maagizo toka JUU ili kuchakachua kura.
Mmmh !
Flexibility ya mpaka kwenye Dini hiyo itakuwa ni kali ya mwaka !
Mabadiliko watu wanayataka ila changamoto ni wizi wa kura ambao wanafanya ccm kwenye uchaguzi huku wakilindwa na vyombo vya ulinzi na usalama.Pole sana Mkuu.
Risasi huua Watu wasiotaka kubadilika, lakini risasi haiui Watu wanaotaka mabadiliko ya kweli.
Mabadiliko watu wanayataka ila changamoto ni wizi wa kura ambao wanafanya ccm kwenye uchaguzi huku wakilindwa na vyombo vya ulinzi na usalama.
Ndio maana watu washakata tamaa.
Mkuu, wengi wanaogopa kufa, kufungwa au kupata madhara yoyote toka kwenye vyombo vya ulinzi na usalama. Kwenye siasa za TZ kuna makundi makuu matatu.😀
Mkuu kama wanaotaka mabadiliko wangekuwa wengi kuliko waliotaka leo hii yangekuwa yameshatokea hayo mabadiliko.
Tatizo ni kuwa wanaotaka mabadiliko hawafiki hata robo
Kwa hiyo we umebugia tu, hujui IQ ni nini na Wala hukufanya utafiti!!?Waulize waliofanya utafiti huo.
Kulala usiku kuamka asubuhii siyo kitu Cha asiliVitu vya asili ndio conservative (havibadiliki) au havipo Flexible
Kipi kwako hakieleweki.
Sasa ndio kuna Watu wanataka mambo ambayo wameyaunda wao(ambayo sio ya asili) yasibadilike, ndio huitwa conservative
Acha ulaghai wewe. Inategemea ni mabadiliko ya aina gani. Ukiona watanzania hawataki kubadilika kufuata maoni au fikra zako ujue mwenyewe ndio umepotoka. Watanzania walibadilika pale ujenzi wa ujamaa kwa mashirka ya umma ilipobadilika kua jambo haliwezekani. Sasa wanaamini ujenzi wa ujamaa kwa sekta binafsi inayofuata sheria na utaratibu chini ya dola inayodhibiti sekta hiyo kunufaisha umma ndio njia sahihi kuwaletea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.Kwema Wakuu!
Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)…
Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia kwenye Ukristo. Sio ajabu mtu ni Simba au Yanga kwa sababu alipokulia ni Washabiki wa Simba na Yanga.
Katika siasa, tabia hii ni mtaji na tegemeo kubwa kwa chama kama CCM. Moja ya mambo ambayo CCM inajiamini nalo ni hilo la watanzania kutokuwa Flexible au kuwa conservative.
Sio ajabu mpaka leo kuna Watu wanahangaika na kumtajataja JPM. Wapo wengine wanamtajataja Nyerere. Wao kila kitu kwao ni Nyerere au JPM. Hiyo ni ishara ya mtu kutokuwa Flexible au kuwa conservative.
Ni sawa na wale Walokole au Wasabato au waislam wao kila kitu lazima warejelee Watu wa zamani waliokufa miaka zaidi ya elfu elfu huko. Yesu anasema, Mara Mtume anasema. Ukimuuliza wewe kwaakili yako unasema nini anawasha macho.
Dunia haihitaji kuongozwa na Watu wasiotaka mabadiliko, Watu wanaochukia mambo mapya. Watu wasio wabunifu.
Wananchi wengi hawaoni chama kingine zaidi ya CCM, hata hao wapinzani waliowengi ni kama CCM tuu sio ajabu ukasikia mpinzañî akiiñgia CCM.
CCM wanaamini bila wao nchi hii haiwezi kuongozwa na kuletwa maendeleo. Huo ndio u-conservative wenyewe huo.
Ni kama Watu wa dini wanaoamini kuwa dini yao ndio itawapeleka mbinguni na dini zingine mbingu hawaendi. Ni dalili ya kutokufikiri vizuri. Kuifunga akili katika vikao.
Usitegemee maendeleo yoyote ya maana kwenye jamii yenye Watu wengi ambao wapo conservative au ambao hawapo flexible.
Mimi nimemaliza, leo sihitaji maswali.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kahama
Kulala usiku kuamka asubuhii siyo kitu Cha asili
Acha ulaghai wewe. Inategemea ni mabadiliko ya aina gani. Ukiona watanzania hawataki kubadilika kufuata maoni au fikra zako ujue mwenyewe ndio umepotoka. Watanzania walibadilika pale ujenzi wa ujamaa kwa mashirka ya umma ilipobadilika kua jambo haliwezekani. Sasa wanaamini ujenzi wa ujamaa kwa sekta binafsi inayofuata sheria na utaratibu chini ya dola inayodhibiti sekta hiyo kunufaisha umma ndio njia sahihi kuwaletea maendeleo ya kiuchumi na kijamii.
Na kiongozi asiyeamini wenzie kama wanaweza kuongoza Chama miaka yote anataka awe yeye tu, huyo ni CONSERVATIVE Mwandamizi!Kwema Wakuu!
Watanzania waliowengi ni Conservative(Watu ambao ni wagumu kubadilika au wanachukia au kuogopa mabadiliko)…
Sio ajabu mtu ni muislam au mkristo kwa sababu alizaliwa na kukulia kwenye Ukristo. Sio ajabu mtu ni Simba au Yanga kwa sababu alipokulia ni Washabiki wa Simba na Yanga.
Katika siasa, tabia hii ni mtaji na tegemeo kubwa kwa chama kama CCM. Moja ya mambo ambayo CCM inajiamini nalo ni hilo la watanzania kutokuwa Flexible au kuwa conservative.
Sio ajabu mpaka leo kuna Watu wanahangaika na kumtajataja JPM. Wapo wengine wanamtajataja Nyerere. Wao kila kitu kwao ni Nyerere au JPM. Hiyo ni ishara ya mtu kutokuwa Flexible au kuwa conservative.
Ni sawa na wale Walokole au Wasabato au waislam wao kila kitu lazima warejelee Watu wa zamani waliokufa miaka zaidi ya elfu elfu huko. Yesu anasema, Mara Mtume anasema. Ukimuuliza wewe kwaakili yako unasema nini anawasha macho.
Dunia haihitaji kuongozwa na Watu wasiotaka mabadiliko, Watu wanaochukia mambo mapya. Watu wasio wabunifu.
Wananchi wengi hawaoni chama kingine zaidi ya CCM, hata hao wapinzani waliowengi ni kama CCM tuu sio ajabu ukasikia mpinzañî akiiñgia CCM.
CCM wanaamini bila wao nchi hii haiwezi kuongozwa na kuletwa maendeleo. Huo ndio u-conservative wenyewe huo.
Ni kama Watu wa dini wanaoamini kuwa dini yao ndio itawapeleka mbinguni na dini zingine mbingu hawaendi. Ni dalili ya kutokufikiri vizuri. Kuifunga akili katika vikao.
Usitegemee maendeleo yoyote ya maana kwenye jamii yenye Watu wengi ambao wapo conservative au ambao hawapo flexible.
Mimi nimemaliza, leo sihitaji maswali.
Robert Heriel
Taikon wa Fasihi
Kwa sasa Kahama
Ukisema conservative naona unawapa sifa ambayo pana mno. Ungesema “wakuda”, hawako informed, hawana upeo wa juu wa mawazo. Ukisema ati siyo flexible hapo napo kidogo unawapa narrow definition. Ungesema hawako liberal - yaani backward mindset, deplorables etc ujue factor kubwa cha wa Tanzania kuwa na mindset kama hizi ni Elimu.Kwema Wakuu!