Kwakweli !😀
Wewe kwa uelewa wako dini ya Ibrahim na dini ya Mûsa ziko sawa?
Au dini ya Mûsa na Daudi ziko sawa?
Au dini ya Daudi na Yesu ziko sawa?
Dini inaendana na utawala zama husika.
Ndio maana ukristo wa leo wa kuabudu Utatuma mtakatifu ni tofauti na ukristo wa karne ya kwanza ambapo Hakukuwa na huo utatu mtakatifu na ingehesabika kuwa ni kufuru.
Nani kakwambia tunaizidi Burundi? Wale watu kila kukicha wanatimkia ulaya na Arabuni mmoja baada ya mwingine, sisi ukitimka ni kutoka buza mpalanger kwenda mbagala kibonde maji,Watanzania ndo watu wenye IQ ndogo kuliko mataifa yote ya EA, au pengine wanaizidi Burundi kidogo tu.
Nilifanya utafiti nikagundua Rais wenu anaongoza wafu. Hiyo ikanifanya niamini utafiti uliofanyika siku za nyuma kidogo ulioleta majibu kuwa Tanzanians have the lowest IQ among East Africans.Kwa hiyo we umebugia tu, hujui IQ ni nini na Wala hukufanya utafiti!!?
Mimi naamini wananchi wa tz sisi ndio chanzo cha haya yote tunajipenda sana na tunaogopa kufa.Kwa tume hii ya uchaguzi na katiba hii, lazima hilo liwe hitimisho lako. Lakini tume ikiwa huru na katiba bora, utaona ukweli ambao huwezi kuuona katika mazingira haya.
Mwisho umefika, ni suala la muda tu.Mimi naamini wananchi wa tz sisi ndio chanzo cha haya yote tunajipenda sana na tunaogopa kufa.
Na kwenye hilo wamefanikiwa, wamejua udhaifu mkubwa wa watanzania uko wapi. ( Easly distracted, wapenda vitonga)Siyo siri kuwa watanzania wengi wangependa kuona mabadiliko ya ungozi kwenye ngazi zote. Shamra shamra tulizokuwa tunazishiudia miaka hiyo kwa sasa hakuna. CCM inaonekana kuishiwa pumzi, ila wanaoikimbiza nao ni viwete.
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikiacha kilichokuwa chama kikuu cha upinzani katika hali mbaya ya kukosa kuaminiwa na wananchi baada ya kumpa Edward Lowasa apeperushe bendera yao. Wengi walivunjika mioyo yao. Imani ya wananchi kwa chadema haipo tokea wakati ule.
CCM 5 tena. Siyo kwa sababu wengi wanaipenda, ila hakuna mbadala.
Huna akili ujinga umekujaa.Siyo siri kuwa watanzania wengi wangependa kuona mabadiliko ya ungozi kwenye ngazi zote. Shamra shamra tulizokuwa tunazishiudia miaka hiyo kwa sasa hakuna. CCM inaonekana kuishiwa pumzi, ila wanaoikimbiza nao ni viwete.
Uchaguzi wa mwaka 2015 ulikiacha kilichokuwa chama kikuu cha upinzani katika hali mbaya ya kukosa kuaminiwa na wananchi baada ya kumpa Edward Lowasa apeperushe bendera yao. Wengi walivunjika mioyo yao. Imani ya wananchi kwa chadema haipo tokea wakati ule.
CCM 5 tena. Siyo kwa sababu wengi wanaipenda, ila hakuna mbadala.
Hakuna mtanzania anayejitambua atajitokeza kushiriki kwenye chaguzi za kihuni. Ccm wala wasihangaike tena kuiba kura goli liko wazi, washiriki wenyewe na wajitangaze washindi kisha wajitokeze kushinda kwa kishindo. Yaani kujitekenya na kucheka mwenyewe.Siyo siri kuwa watanzania wengi wangependa kuona mabadiliko ya ungozi kwenye ngazi zote. Shamra shamra tulizokuwa tunazishiudia miaka hiyo kwa sasa hakuna. CCM inaonekana kuishiwa pumzi, ila wanaoikimbiza nao ni viwete.