Watanzania wengi kwa sasa hawana furaha kabisa naona magonjwa ya pressure yakiwanyemelea

Watanzania wengi kwa sasa hawana furaha kabisa naona magonjwa ya pressure yakiwanyemelea

ndege JOHN

JF-Expert Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
25,030
Reaction score
61,298
Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu
1.jipende nunua nguo nzuri
2.kula vizuri
3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii
4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni tafuta sehemu mcheze kama ni tennis n.k kwa wale mnaopenda mziki tafuta darasa ujifujze kupiga guitar au kinanda kama kuna sehemu kuna karaoke jitahidi kuhudhuria ukaimbe nyimbo uzipendazo au pooltable pia unaweza cheza
5.acha kabisa mapombe makali kwa sasa deal na bia tu pia sio mbaya ukajifunza kuvuta sigara kidogo huwa inasaidia ila usivute too much sasa
6.acha kuumiza kichwa sana kuhusu siasa miaka mitano ijayo wengi waliokubali haya yatokee na walikuwa wanaweza kuyazuia hawatakuwepo katika uso wa dunia hii
 
Poleni sana ndugu zangu nimepata maono jinsi mioyo yenu ilivyo shuka mood kwa sasa kazeni roho ndugu zangu
1.jipende nunua nguo nzuri
2.kula vizuri
3.acha kabisa kuyatazama content za ngono ambazo kwa sasa ndo zimezidi katika mitandao ya kijamii
4.fanya mazoezi kila siku kama kukimbia jioni tafuta sehemu mcheze kama ni tennis n.k kwa wale mnaopenda mziki tafuta darasa ujifujze kupiga guitar au kinanda kama kuna sehemu kuna karaoke jitahidi kuhudhuria ukaimbe nyimbo uzipendazo
5.acha kabisa mapombe makali kwa sasa deal na bia tu pia sio mbaya ukajifunza kuvuta sigara kidogo huwa inasaidia ila usivute too much sasa
6.acha kuumiza kichwa sana kuhusu siasa miaka mitano ijayo wengi waliokubali haya yatokee na walikuwa wanaweza kuyazuia hawatakuwepo katika uso wa dunia hii
Nyongeza kwa wale waamini wa Mungu:

Hizi ni nyakati za mwisho, Yesu yu karibu kuja kuchukua kanisa lake.
Itakuwa hasara kubwa sana uteseke hapa duniani na baadae ukateseke Jehanam pamoja na wale watesi wako wa duniani.

Mtafute Yesu maadamu anapatikana.

Yesu Kristo anasema : Ufu 3:20
'Tazama, nasimama mlangoni, nabisha; mtu akiisikia sauti yangu, na kuufungua mlango, nitaingia kwake, nami nitakula pamoja naye, na yeye pamoja nami.'
 
Furaha itoke wapi wakati muda wowote waweza kutekwa na kuuwawa na serekali ya CCM.
 
Back
Top Bottom