niachiemimi
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,679
- 5,496
Karibu mwamba. Heri ya mwaka mpya.
Machapisho yako yananisaidia sana.
Machapisho yako yananisaidia sana.
Haha [emoji38]. Embu mwekee akiba ya maneno huyo mshamba wa Uchinani.Nchi ulikotoka ni used, nchi uliyopo ni used, barabara unàzopita ni used, Nyumba ulizowahi ishi eg Lodge, Hotel ni used mkeo used, mchepuko used, WEWE MWENYEWE NI USED, hata shetani used
Si ndiyo hapo sasa. Mjamaa mzabizabina huyo utadhani alizaliwa akiwa ameshikilia vipande vya almasi na dhahabu.Hakuna anayependa kuvaa mtumba! hakuna anayependa vitu used na HAKUNA ALIYEZOEA UMASIKINI, tungezoea umasikini tungeridhika na wala tusingenunua hata hayo ma used. Tunayanunua ili kuupa moyo hali ya kupambana zaidi na kutamani kesho tuwe na kitu kipya! na ndivyo ilivyo....tunaanza kuijua raha ya gari na kwa kuwa hatuna uwezo tunanunua used huku tukifight kununua jipya.
Unaonekana ni mkatishaji tamaa mzuri tena ni wale wapiga domo ambao huwasimanga wenye vidogo wakati wao hawana! Napita hivi.
Wewe chunga kauli zako au humjui Kiduku Lilo? 😂😂😂😂 Billionaire wa JFKwanza, unaonekana ungali na stress za Kovidi-19 kutoka ighaibuni.
Pili, karibu Tanzania na Buldozzer angali President, Mr Mzungu alitorokea kusikojulikana hukooo.
Tatu, hujasema wewe gari lako ni aina gani na la mwaka gani!
Nne, hapohapo kwenye ^Mimi huwa kwa kweli nashindwa kutumia kitu ambacho sikuanza nacho mimi!^ Hapa tu kwenyewe nina maswali elfu mbili ishirini na moja hivi ya kukuuliza. Labda kabla sijakuuliza, una uhakika ni wewe umeyaandika au pengine ulimaanisha vinginevyo?
Tano na mwisho, ila si kwa umuhimu, Mitano tena!
Magari anayotembelea yeye sisi tunayajua[emoji3][emoji3][emoji3]Kwanza, unaonekana ungali na stress za Kovidi-19 kutoka ighaibuni.
Pili, karibu Tanzania na Buldozzer angali President, Mr Mzungu alitorokea kusikojulikana hukooo.
Tatu, hujasema wewe gari lako ni aina gani na la mwaka gani!
Nne, hapohapo kwenye ^Mimi huwa kwa kweli nashindwa kutumia kitu ambacho sikuanza nacho mimi!^ Hapa tu kwenyewe nina maswali elfu mbili ishirini na moja hivi ya kukuuliza. Labda kabla sijakuuliza, una uhakika ni wewe umeyaandika au pengine ulimaanisha vinginevyo?
Tano na mwisho, ila si kwa umuhimu, Mitano tena!
Nikwel miaka ya nyuma wazee wetu walikuwa wana nunua vitu vipya kuanzia magar Tv, radio, nguo, baiskel tena vilikuwa vinatoka Ulaya na Japan na siyo China.Miaka ya 80 wabongo walikuwa wananunua magari mapya brand new gari unachana nylon mwenyewe,ndani ya gari unakutana na catalogue ya gari kbs
Ova
Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Tajiri wa JF kasema bhna tusimbishieNdio leo nimeisikia hiyo ofa kwa tozi wa JF. Mwaka juzi tumenunua toyora GX V8 4 za ofisi, nami nilikwenda kusaini ili ziletwe ofisini. Sikupewa ofa ya hizo Vitz ama RAV 4. Nimebaki nashangaa tu
Haya mzee. Nafunga mdomo 😷😷Tajiri wa JF kasema bhna tusimbishie
Mitumba ilianza enzi ya mwinyi ndiyo mitumba ikaanza kuingia kwa fujo!Nikwel miaka ya nyuma wazee wetu walikuwa wana nunua vitu vipya kuanzia magar Tv, radio, nguo, baiskel tena vilikuwa vinatoka Ulaya na Japan na siyo china
Umenena vyema sana au nasema uongo ndugu zangu?Kwanza, unaonekana ungali na stress za Kovidi-19 kutoka ighaibuni.
Pili, karibu Tanzania na Buldozzer angali President, Mr Mzungu alitorokea kusikojulikana hukooo.
Tatu, hujasema wewe gari lako ni aina gani na la mwaka gani!
Nne, hapohapo kwenye ^Mimi huwa kwa kweli nashindwa kutumia kitu ambacho sikuanza nacho mimi!^ Hapa tu kwenyewe nina maswali elfu mbili ishirini na moja hivi ya kukuuliza. Labda kabla sijakuuliza, una uhakika ni wewe umeyaandika au pengine ulimaanisha vinginevyo?
Tano na mwisho, ila si kwa umuhimu, Mitano tena!
Hayo ndio mawazo ya vijana wengi wakikaa kijiweni na njaa zikiwasugua huwa wanajazana upupu!Ndio leo nimeisikia hiyo ofa kwa tozi wa JF. Mwaka juzi tumenunua toyora GX V8 4 za ofisi, nami nilikwenda kusaini ili ziletwe ofisini. Sikupewa ofa ya hizo Vitz ama RAV 4. Nimebaki nashangaa tu
Let them eat cake...Heri ya Mwaka Mpya. Nlikuwa nje kidogo na JF nikijikita katika shughuli zangu za uchumi hasa nje ya nchi katika kipindi hiki cha Corona. Kumekuwa na usumbufu kidogo hasa sisi tunaosafiri sana nje ya nchi.
Nimerudi TZ. Nikiwa ofisini leo kaja bwana mdogo mmoja ananambia amenunua gari jipya angependa nikaione. Niliona amefanya jambo zuri maana hapo mwanzo alikuwa anaendesha Subaru.
Kweli nimeenda kuangalia parking nikakuta ana gari kweli. BMW. Nilimpongeza sana. Sasa kwenye suala la upya ndo nikashangaa lile gari kumbe kimetumika Japan. SI JIPYA. Mtu anashindwa toka usd 80,000+ kupata gari jipya? Huu ni ubahili au umaskini mkubwa.
Tena limetembea kms zaidi ya 20,000 jambo ambalo limenishangaza. Gari la mwaka 2014 yeye anasema jipya. Kwa mwaka na kms ni gari la zamani sana tu.
Ndo mtu mmoja akaniambia kwa Watanzania gari likitoka limetumika Japan wao wanaita jipya. Nilishangaa sana. Hivi kwanini watu wanapenda vitu used au vya muda mrefu? Teknolojia ya mwaka 2014 kweli uje ulinganishe na ya 2019, 2020 na 2021?
Unajisikia raha gani unapoendesha gari limetumika huko nje? Unakuta mtu ana mke second hand, girl friend second hand, nguo second hand, viatu n.k 2nd hand. Sasa huyu ana enjoy nini? Au anakuwa na vitu outdated bado anaenda nunua vitu ambavyo soko limevikataa.
Mimi nafikiri tuanze kuwaza kitajiri. Kataa mitumba, used stuff. Tumia kitu kipya ujisikie raha yake. Mimi huwa kwa kweli nashindwa kutumia kitu ambacho sikuanza nacho mimi. Nina kinyaa sana. Unatumia gari limeendeshwa na Wajapan huko wamechoka wanaamua kukuuzia wewe nawe unaona it's something?
Pia tuanze nunua magari brands za ukweli. Toyota VX nimeambiwa nazo si haba ila upate Lexus. Unaweza ukanunua hilo. Na kule Japan ukinunua jipya wanakupa na Rav 4 moja au Vitz mbili kama nyongeza.
Tusiishi na kuzoea umaskini. Tunapaswa kubadilika. Nchi yetu imekuwa kama jalala la magari na vyombo vya usafiri outdated. Hii si sawa hata kidogo. Tubadilike.
Wanasema jalala lililoko nyumbani kwa kiduku lilo ni sawa na supermarket ya Buza.Boss naomba niwe jalala lako, huenda ntanukia kitajiri