Watanzania wengi ni masikini na wamezoea kuishi kimasikini

Watanzania wengi ni masikini na wamezoea kuishi kimasikini

Watu wanapenda kununua Magari mpya ila kile kikokotoo ndo janga. Wafanye tuwe tunalipia tu VAT kama bidhaa zingine uone kama hayo magari chakavu hayatakua ya nyongeza tukinunua mapya.
 
"Mimi nina kinyaa sana huwa siwezi kutumia kitu ambacho sijakianza mimi", Serious bro?

Tuanzia hapa[emoji116]
Mkeo umemuoa akiwa bikra au nae alikuwa katumika tayr au kam hujaoa vp kuhs huy demu wak

Hoja;
Siyo kwel mtanzania kauzoea na kuona umaskini kam jambo la kawaid hasa pale napo ona watu wanaangaika mchn kutwa kuitafut ridhiki

Pia kuhus ishu ya kununua kitu used mara nyngn chanzo ni kipato, hivo jamaa alikua sahh kufurahia gari lile lililo tumika huko nje na nahs chnz ni kipato kidg.

Hakuna asiye penda kizuri na bora
 
Ndio leo nimeisikia hiyo ofa kwa tozi wa JF. Mwaka juzi tumenunua toyora GX V8 4 za ofisi, nami nilikwenda kusaini ili ziletwe ofisini. Sikupewa ofa ya hizo Vitz ama RAV 4. Nimebaki nashangaa tu
Mlienda nunua Japan kwenyewe? Kama ni Tanzania huwa zile offers waswahili wanaziuza tena sababu ya umaskini. Mi nina jamaa yangu alinunua Lexus ( GXR) TSH 400,000,000 plus. Akaambiwa achague Harrier au Vitz mbili mpya. Akachukua Harrier akaja TZ kugawa kwa mdogo wake aliyekuwa amemaliza kidato cha nne akapata Division 1.
 
Mbona hata huko duniani sio wote wanaonunua magari mapya?
 
Kidukulilo tusaidie kujenga madarasa, watoto wetu wanasoma kwa shida.

Tukisikia Mtanzania aliyejitolea kujenga madarasa 100 tutajua ni wewe.
Hamna madarasa? Mmmh... Hapo nashindwa kuelewa. So watoto wenu wanasomaje? AC hapo ikifungwa nje ubaridi si unasambaa tu? Au wanasomea kwenye hotels? Anyway... Hili ngoja niongee na mtu wa Community Development afuatilie.
 
Ndio leo nimeisikia hiyo ofa kwa tozi wa JF. Mwaka juzi tumenunua toyora GX V8 4 za ofisi, nami nilikwenda kusaini ili ziletwe ofisini. Sikupewa ofa ya hizo Vitz ama RAV 4. Nimebaki nashangaa tu

Kuna mwenzio kakuzidi akili amezichukua!!!
 
Umaskini mtamu bwana, tupo tupo tu tunazurura zururura, afu joto kijasho flani amazing kamwili kanawasha tunajikuna basi tunajiskia rahaa.
 
Ktk vitu siwezi kamwe kutumia used ni Simu na laptop, na katika vitu hivyo vipya ata viuzwe kwa kimoja M3 basi nitapiga uwa nikinunue ata kwa kukopa ilimradi roho niiridhishe tu
Kwakwel hata mimi cmu na laptop used nilishavigomea KATU KAMWEE sitaki
 
Back
Top Bottom