Watanzania wengi ni masikini na wamezoea kuishi kimasikini

Nchi ulikotoka ni used, nchi uliyopo ni used, barabara unàzopita ni used, Nyumba ulizowahi ishi eg Lodge, Hotel ni used mkeo used, mchepuko used, WEWE MWENYEWE NI USED, hata shetani used
Haha [emoji38]. Embu mwekee akiba ya maneno huyo mshamba wa Uchinani.
 
Hakuna anayependa kuvaa mtumba! hakuna anayependa vitu used na HAKUNA ALIYEZOEA UMASIKINI, tungezoea umasikini tungeridhika na wala tusingenunua hata hayo ma used. Tunayanunua ili kuupa moyo hali ya kupambana zaidi na kutamani kesho tuwe na kitu kipya! na ndivyo ilivyo. Tunaanza kuijua raha ya gari na kwa kuwa hatuna uwezo tunanunua used huku tukifight kununua jipya.

Unaonekana ni mkatishaji tamaa mzuri tena ni wale wapiga domo ambao huwasimanga wenye vidogo wakati wao hawana! Napita hivi.
 
Si ndiyo hapo sasa. Mjamaa mzabizabina huyo utadhani alizaliwa akiwa ameshikilia vipande vya almasi na dhahabu.
 
Wewe chunga kauli zako au humjui Kiduku Lilo? 😂😂😂😂 Billionaire wa JF
 
Magari anayotembelea yeye sisi tunayajua[emoji3][emoji3][emoji3]

Kama hujui nenda kwenye profile yake, huyu jamaa anaitwa kiduku lilo, akili zake ni kiduku kweli.
 
Miaka ya 80 wabongo walikuwa wananunua magari mapya brand new gari unachana nylon mwenyewe,ndani ya gari unakutana na catalogue ya gari kbs

Ova

Sent from my SM-N920T using JamiiForums mobile app
Nikwel miaka ya nyuma wazee wetu walikuwa wana nunua vitu vipya kuanzia magar Tv, radio, nguo, baiskel tena vilikuwa vinatoka Ulaya na Japan na siyo China.
 
Ndio leo nimeisikia hiyo ofa kwa tozi wa JF. Mwaka juzi tumenunua toyora GX V8 4 za ofisi, nami nilikwenda kusaini ili ziletwe ofisini. Sikupewa ofa ya hizo Vitz ama RAV 4. Nimebaki nashangaa tu
Tajiri wa JF kasema bhna tusimbishie
 
Nikwel miaka ya nyuma wazee wetu walikuwa wana nunua vitu vipya kuanzia magar Tv, radio, nguo, baiskel tena vilikuwa vinatoka Ulaya na Japan na siyo china
Mitumba ilianza enzi ya mwinyi ndiyo mitumba ikaanza kuingia kwa fujo!

Sema vitu vya mitumba ilisaidia kwa upande mwingine maana watu wengi waliweza kumudu vitu

Maana enzi za nyuma kununua gari tu kutoka nje ilikuwa mpaka upate kibali kutoka wizara ya mambo ya ndani

Alipokuja mchina naye dah ndy akatuletea vitu vipya lakini ubora unachagua wewe[emoji23][emoji23]

Ova
 
Hii bange unayotumia nimeipenda sana kamanda. Naomba direction tuje kuvuta wote, maana umetoa ushauri konki sana na huo ndo ukweli yaani. WaTZ wengi bado tunafikra za kimazikini na tunahitaji booster za vitu kama mmea.
 
Umenena vyema sana au nasema uongo ndugu zangu?
 
Ndio leo nimeisikia hiyo ofa kwa tozi wa JF. Mwaka juzi tumenunua toyora GX V8 4 za ofisi, nami nilikwenda kusaini ili ziletwe ofisini. Sikupewa ofa ya hizo Vitz ama RAV 4. Nimebaki nashangaa tu
Hayo ndio mawazo ya vijana wengi wakikaa kijiweni na njaa zikiwasugua huwa wanajazana upupu!
Ni hasira ya maisha na njaa vinawasumbua
Mitano tena[emoji16]
 
Let them eat cake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…