Mlienda nunua Japan kwenyewe? Kama ni Tanzania huwa zile offers waswahili wanaziuza tena sababu ya umaskini. Mi nina jamaa yangu alinunua Lexus ( GXR) TSH 400,000,000 plus. Akaambiwa achague Harrier au Vitz mbili mpya. Akachukua Harrier akaja TZ kugawa kwa mdogo wake aliyekuwa amemaliza kidato cha nne akapata Division 1.