Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umekurupuka.Kuna imani za kishirikina ila ushirikina/uchawi wenyewe haupo. Imani hizi zimetamalaki kwenye jamii za watu WAJINGA na MASIKINI. Inabidi uwe zwazwa first class kuamini ushirikina upo na unafanya kazi.
Mswahili ni mtu mbaya sana aisee nakumbuka mwaka mmoja baada ya kumaliza mafunzo ya uafisa & siku moja kbla ya kuvaa nyota macho yakawa hayaoni aisee alafu simu ikapigwa saa tano usiku na mtu ambaye ni mwanga mkubwa sana & anasifika kanisani Kwa ubaya wa uchawi na ni kiongozi wa kwaya
Na huyo mama hata nikiwa chuo alikuwa anapiga saa tano usiku alafu ukipokea haongei ,nashukuru siku hiyo maombi yangu na wenzangu yalisaidia mim kuwa salama na Kuona na siku husika mambo yakaenda vizuri ...nasemaga wachawi wakiwa wanafukiwa mazima sinaga huruma nao Yani wachawi na wezi ni wafe tu
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Naomba kufahamu kitu.... Unapomfahamu aliyekuloga kwa ushirikina na kwa uweza wa Mwenyezi Mungu pamoja na kusali etc hakufanikisha lengo lake.... Then ukamfahamu kuwa jamaa fulani P amehusika na jambo A, B, C.Uko sahihi sana.
Tuna watu wachawi mno.
You must be as dumb as stone.You must be as dumb as brick.
Anaendeleza juhudi za kukuloga na kuchochea matunguri.Naomba kufahamu kitu.... Unapomfahamu aliyekuloga kwa ushirikina na kwa uweza wa Mwenyezi Mungu pamoja na kusali etc hakufanikisha lengo lake.... Then ukamfahamu kuwa jamaa fulani P amehusika na jambo A, B, C.
Huwa inakuwaje sasa kwa yule Mlozi P aliyefanya yote yale na hakufanikiwa.... Huwa inakuwaje huo upande wa pili? Tunaomba tusaidie hapa...@Mshana Jr😅😂
Kweli kabisa.Hii ni matokeo ya malezi ya kukosa upendo ndani ya familia, zile tabia za uhasidi, chuki binafsi, nuksi, tamaa, roho mbaya, na umimi huwa watu wanazibeba wanaenda nazo kwenye jamii, wakikutana wanaunda vikundi vya uchawi.
Wachawi wa miaka hii ya 2000 hawabebi tunguli,kuruka na ungo usiku,au kukaba watu usingizini tena, bali sasa hivi wamebadili mbinu wanafuatilia maisha yako mchana kweupe na kukusanya taarifa kwaajiri ya kukushambulia na kukuharibia usifanikiwe au kuishi vema.
Ubaya wa wachawi wa kisasa
Cha msingi jifunze namna ya kuwa mbali na watu wa hivi. Wanyime taarifa zako, fanya mambo yako kwa faragha ya hali ya juu. Usiwe mtu wa kuweka mambo au mipango yako hadharani kwa haya majitu.
Pole sana.Mswahili ni mtu mbaya sana aisee nakumbuka mwaka mmoja baada ya kumaliza mafunzo ya uafisa & siku moja kbla ya kuvaa nyota macho yakawa hayaoni aisee alafu simu ikapigwa saa tano usiku na mtu ambaye ni mwanga mkubwa sana & anasifika kanisani Kwa ubaya wa uchawi na ni kiongozi wa kwaya
Na huyo mama hata nikiwa chuo alikuwa anapiga saa tano usiku alafu ukipokea haongei ,nashukuru siku hiyo maombi yangu na wenzangu yalisaidia mim kuwa salama na Kuona na siku husika mambo yakaenda vizuri ...nasemaga wachawi wakiwa wanafukiwa mazima sinaga huruma nao Yani wachawi na wezi ni wafe tu
Sent from my Infinix X652C using JamiiForums mobile app
Jibu la kweli na la uhakika ni same he saba mara sabini kwa siku, hutokuja kujutia, halafu kingine jaribu kuweka mwili fiti kiasi kwamba hata kuumwa kichwa ni nadra utaheshimika tu yaani stress free mambo ya Dunia yasikusumbue,Hata Huyo mume na ndugu wanaweza kukugeuka
Minimize your expectations to anyone in this world
You must be as dumb as stone.
AND DON'T FORGET: You must be a witch.
Nikikukamata nakuzaba makofi matatu.