Watanzania wengi wafupi mno

Kama mtu mfupi kampenda mfupi mwenzake anasaidiwaje huyo?

#nooffence...hakunaga kazi ngumu kama kudeal na mtu mfupi...ni heri waowane/tuowane wenyewe kwa wenyewe tu
ni kweli kabisa watu wafupi hasa wanaume wafupi wana shida sana hasa tabia zao za kujihisi muda wote kuwa wanadharauliwa,kujitia ujuaji uliopitiliza,wana gubu sio la nchi hii,infact hawajiamini hta kidogo talking from experience
 

Uko sahihi sana Chief!
 

Mchina ni Mtu wa Africa?
 
Mimi nikilala kwa kunyooka kitandani, utosi unagusa kitanda na nyayo zinapitiliza kidogo kitandani. Means Nina kama futi 6 hivi (183CM). Ila mtaani wananiita "Tall".

Najiona wa kawaida tu. Ila nikisimama mahali kwenye watu wengi, nakua nimewapita vimo. Hapa ndo naamini maneno yako kua wengi wetu ni Wafupi.
 
Kwa nchi zingine iko ni kimo standard tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…