Babu zetu wamekula weee...dona still walikuwa warefu na hata sisi watoto wao tumerithi urefu wao, mfano Baba mzazi alikuwa na urefu wa futi 6.10 pia ndiyo waliobahatika kuishi miaka mingi sana kuliko ninyi mnaoigaiga mavyakula haya ya kipumbavu kama kuku wenu mataira wasio na baba wala mama/kuku wa kisasa.
Afu usiwe mjinga kiasi hata panya akakuzidi akili, dona ndicho chakula bora zaidi kuliko sembe lako hilo maana husaidia sana mmeng'enyo wa chakula kupatikana kirahisi tokana na nyuzi nyuzi zipatikanazo kwenye viini vya mahindi na maganda yake(fibres).
Kwanini panya akuzidi akili Binadamu ambaye haangaiki kula makapi tupu/mahindi yaliyokobolewa zaidi ya kula kiini cha mahindi na maganda yake pekee?
Stuka, chukua hatua sasa "haki afya"[emoji23]
Sent using
Jamii Forums mobile app