Si kila ufupi ni mipango ya Mungu. Lishe bora kwa maana ya milo mitatu kamili kila siku huchangia sana katika kimo cha mtu. Wengi wetu Tz hatupati milo kamili na ya kutosha tunapokuwa katika hatua ya ukuaji. Nenda mashuleni ushuhudie vitoto vidogo vinashinda na njaa toka asubuhi hadi jioni. Vikiwa na Mzazi mwelewa au mwenye kujiweza ndiyo angalau vitakuwa na hela angalau ya mihogo mchana. Na havili vikashiba maana marafiki wataomba wee hadi vinaishia kula kakipande kamoja ka muhogo. Hapo tusitegemee kuwa na taifa la watu wenye vimo muafaka.Aisee, wahenga walisema "Unene na wembamba ni juhudi zako za kula ila urefu na ufupi ni mipango ya mwenyezi Mungu.
Andunje na waheshimiwe na watu wote.
[emoji2][emoji2]ole wako uoe mwanamke mfupi halafu mwanasheria msomi....maji utaita mma
Sasa tule nini maana naona mnaponda kula mbegu pamoja na mihogoSi kila ufupi ni mipango ya Mungu. Lishe bora kwa maana ya milo mitatu kamili kila siku huchangia sana katika kimo cha mtu. Wengi wetu Tz hatupati milo kamili na ya kutosha tunapokuwa katika hatua ya ukuaji. Nenda mashuleni ushuhudie vitoto vidogo vinashinda na njaa toka asubuhi hadi jioni. Vikiwa na Mzazi mwelewa au mwenye kujiweza ndiyo angalau vitakuwa na hela angalau ya mihogo mchana. Na havili vikashiba maana marafiki wataomba wee hadi vinaishia kula kakipande kamoja ka muhogo. Hapo tusitegemee kuwa na taifa la watu wenye vimo muafaka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ila wanawake wafupi ndio shida zaidi,ukimwona tokea mbali na virasta vyake utadhani ni nanasi.Aisee mi nina bahati na wanaume wafupi jaman basi kutembea nao aibu maana unaonekana mwanamke mrefu
wana wivu halafu ni malaya sana
ila wanajua mno mahaba kwakifupi wako vizuri kwenye sita kwa sita
Generally wanawake wengi wana Low regard kuhusu wanaume wafupi. Wanapendelea wanaume matolu. Tena wengi hupenda hata akivaa High heels asimzidi Mwanaume wake. Ili ajiskie salama zaidi.Hahahah watu wafupi hawachepukagi e?
ole wako uoe mwanamke mfupi halafu mwanasheria msomi....maji utaita mma
Generally wanawake wengi wana Low regard kuhusu wanaume wafupi. Wanapendelea wanaume matolu. Tena wengi hupenda hata akivaa High heels asimzidi Mwanaume wake. Ili ajiskie salama zaidi.
But
Wanaume wafupi wanajua kupachika mimba sana. Ukigusa tu, imenasa!. Na wengi huamini heshima yao itapatikana kutokana na idadi ya wanawake watakaowalala.
Zipo Variables zinazopelekea wadada kujikuta wanaangukia kuliwa na wanaume wafupi.
Mf. Wanaume warefu huaminika kua wanaringa nk.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wanafupi wana majina balaa,,,kijeba,mbilikimo,kisturi
WATU WAREFU MARA NYINGI SANA HUWA HAWANA AKILI AKILI ZAO KAMA WATOTO HALAFU WANAZEEKA HARAKA NA KWENYE KAZI WANACHOKA SANA PIA JUA LINAWACHOMA SANA NDIO MAANA AKILI ZAO NDOGO
TuheshimianeNilisoma sehemu wanasema watu wafupi wanakua na hasira muda mwingi sababu mfuko wa mavi unakua karibu na moyo so sababu ya lile joto kila saa moyo unakua juu juu na inaleta hasira.
No hard feelings,tusameheane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaume weupe, nao wana high electron affinity(Chemistry language). Wanavutia mademu wengi hadi mashuga mami. Wana kila sababu ya kuringa. Maana hawatumii nguvu kupata mzigo wa kula.Ila wapo wanawake warefu ambao wanapendelea wanaume wafupi tu...ni vile interests za mtu zilipo au sa zingine moyo ulipoangukia tu
Mie najuaga wanaume weupe ndio huwa wanaringa
Wanaume weupe, nao wana high electron affinity(Chemistry language). Wanavutia mademu wengi hadi mashuga mami. Wana kila sababu ya kuringa. Maana hawatumii nguvu kupata mzigo wa kula.
Ni kama walivyo mademu weupe. .
Na Ndio maana wakati fulani wanawake weupe wanashindwa kukaa chungu kimoja na wanaume weupe. Maana wote wanajiona ma-star.
Wanawake weupe pia huaminika kua wanaringa pia. Wengi huishia kulambwa na kuzalishwa na watu wa ajabu ajabu sana. Na hujipa moyo kua ni 'Love'. Lakini deep inside Mungu ndiye anayejua. Like Uwoya Love story.
Na wanawake weupe wengi huwafanya wanaume weusi au wabaya kuishi roho juu.
Kwa wanaume weupe, sometimes wengi inakua sio kuringa bali kukosa kujiamini tu. Maana wanajihisi wanalazimika kua bora zaidi ya walivyo. Inawafanya kuishi kwa hofu..maana hawana uhakika na potentiality zao.
Ukishajijua wewe ni 'black' inabidi 'u-behave' maana... Ni rahisi kupigwa chini na watoto wakali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanza Hongereni kwa kufanikiwa kufuzu AFCON mwaka huu baada takribani ya miaka 38.
Pil tu niwe muwazi mimi ni mmoja ya wale tuliopata bahati ya kuwa warefu.
Ila kusema ukweli watanzania wengi wafupi mno kwa kweli. Nadhani kuna haja ya kulitazama hili swala kwa jicho la tatu, kwa mstakabali wa mwendelezo wa kizazi chetu.
Ikiwezekana mashuleni kwenye mambo ya genetics basi wanafunzi wafundishe hata unapotaka kuchagua mwenza basi hakikisha angalau unachagua yule mnaepisha kimo ili angalau kutokomoza tatizo la ufupi.
Kwa sababu nimegundua pia inachangiwa pia unakuta mtu mfupi then anaoa mfupi mwenzia.
Inashangaza mimi naonekana mrefu wakati ukienda maeneo mengine mimi ni wakawaida tu. Sijabahatika kufika nchi za wenzetu hasa ulaya, lakini hawa wote ninaowaonaga hapa kwetu wengi ni wana vimo vya kuridhisha sana. Yaani hata mimi nikikaa katikati yao naonekana wa kawaida tu. Ukiangalia hata hapa Afrika mashariki wenzetu kuna unafuu aisee.
Nb:samahanini kwa wale warefu kwenda chini kama nitakuwa nimewakwaza.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Hebu vuka hapo Boda - sogea tu hapo Kigali - ukapate watoto wa Kitutsi - ili kama wewe ni Mfupi, upande mbegu ndefu za Kitutsi.