PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,437
Kimo kinachostahili ni kipi? Ni kimo gani?Shida sio kuwa mfupi shida ni mtu kushindwa kukua mpaka kimo anachostahili. Unadumaa sio kimwili tu hata kiakili pia. Tuwape lishe ya kutosha watoto wetu hasa hasa zile siku 1000 za mwanzo, protein iwe ya kutosha hapa msijibane watoto wenu waweze kufikia vimo wanavyostahili.
Ni kile unachokuwa nacho genetically. Kama na wazazi nao wamedumaa kazi ipo.
Numejaribu kuwa ignore mnaokomalia diet ndio sababu ila naona mnajipa confidence na kutaka kuconclude kuwa diet ndio tatizo. Hivi waafrika magharibi wanakula msosi mzuri kuliko sisi?. Mbona hayahaya mazingira tuliyo nayo wengine ni warefu?. Tukienda kiresearch basi mmefeli sana kwa sababu hakuna consistency katika reasons zenu. Hebu jipangeni vizuriDiet yetu labda? Ugali wa mahindi unadumaza!
Diet ya Africa magharibi ni tofauti na yetu.....sisi wala mahindi tupo na wakenya, burundi, kongo kidogo maana kuna sehemu diet yao ina ngano zaidi mpaka pande za RwandaNumejaribu kuwa ignore mnaokomalia diet ndio sababu ila naona mnajipa confidence na kutaka kuconclude kuwa diet ndio tatizo. Hivi waafrika magharibi wanakula msosi mzuri kuliko sisi?. Mbona hayahaya mazingira tuliyo nayo wengine ni warefu?. Tukienda kiresearch basi mmefeli sana kwa sababu hakuna consistency katika reasons zenu. Hebu jipangeni vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Unataka kusema wale jamaa wanakula vizuri kuliko sisi. Mbona kwenye muvi zao kuna ugali kama wetu tuDiet ya Africa magharibi ni tofauti na yetu.....sisi wala mahindi tupo na wakenya, burundi, kongo kidogo maana kuna sehemu diet yao ina ngano zaidi mpaka pande za Rwanda
Ugali wao sio wa mahindi unaitwa fufuUnataka kusema wale jamaa wanakula vizuri kuliko sisi. Mbona kwenye muvi zao kuna ugali kama wetu tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mfupi ndio, tukutane Mimi na wewe tuoneshane mafanikio na innovations za maisha ujione ulivyo zuzu..[emoji3][emoji3][emoji3] wewe mtu mfupi wa Tanzania umebuni nini. [emoji3]Acha ubishi fanya mpango kizazi chako kijacho kipande kimo aiseeh ufupi unaboa, sidhani kama unaupendelea.
[emoji767]troublemaker 2019. all right received.
Kumbe una mafanikio kunizidi. Basi hongera.Mimi ni mfupi ndio, tukutane Mimi na wewe tuoneshane mafanikio na innovations za maisha ujione ulivyo zuzu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Kule ndio kuna warembo haswa...mimi nimefanana nao watu wa kule, kasoro pua tu.
[emoji2398]troublemaker 2019. all right received.
Mimi ni mfupi ndio, tukutane Mimi na wewe tuoneshane mafanikio na innovations za maisha ujione ulivyo zuzu..
Sent using Jamii Forums mobile app
Utakuwa umefata ufup wa mamaAcha kukurupuka mimi sipo kwa wafupi na hata hapo juu nilishaeleza Baba yangu mzazi alikuwa na urefu wa futi 6.10.
So nakuwaje mfupi sasa, stuka, chukua hatua, "haki afya"
"Stand for the truth always stand alone"
Sent using Jamii Forums mobile app
No offense hii specie ni shida...namshukuru baba kwa kweli..Kama mtu mfupi kampenda mfupi mwenzake anasaidiwaje huyo?
#nooffence...hakunaga kazi ngumu kama kudeal na mtu mfupi...ni heri waowane/tuowane wenyewe kwa wenyewe tu
Dah weee jamaa wewe bila shaka wewe ni ZembwelaIla wanawake wafupi ndio shida zaidi,ukimwona tokea mbali na virasta vyake utadhani ni nanasi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wafupi tuimbe Hallelujah[emoji445]Mie hua naamini mtu mfupi mara nyiñngi ni smart upstairs...sijawah kutana na men mfupi akawa waluwalu kichwani..!ni very smart....