britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.
Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika, Russia anatumia address za USSR kama vile Moscow, St Petersburg na Majengo ya balozi za iliyokuwa USSR, na technolojia, hicho ndicho kinapelekea wengi kuendelea kudhania kuwa Russia ndiye USSR .
Sasa hivi, Russia anagombana na mwenzake waliyewahi kuwa naye huko USSR, waafrika wanadhani Russia ndiye USSR na kuna mchi nje ya Afrika zinadhani Russia ndiye USSR. Kunachooelekea wengi kudhania hivyo wakiwemo US na NATO ni kitendo cha Russia kuendelea kutembea katika viatu na historia ya USSR. Hata urafiki wa nchi yetu na yao ni ule kihistoria wa enzi za USSR tu.
Kinachombeba huyu Russia hata wengine waamue kumchukulia serious ni resources alizo nazo, technology na ubabe na uchumi aliou rithi kutoka USSR.
Britanicca