Watanzania wengi wanamuunga mkono Urusi wakidhani ni USSR, siyo na mjue Urusi hana msaada aliowahi toa Kwa Tanzania

We jamaa upo frustrated. News zote hizi unamtukana Mrusi.
Nadhani unatakiwa ujichunguze. Ipo na matatizo sehemu. Vilevile nakusihi uijue historia ya Urusi. Asilimia kubwa ya viongozi wa Israel wamefundishwa na Urusi. Ndio maana Victory day Urusi na Israel husherehekea siku moja.

Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.

Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika, Russia anatumia address za USSR kama vile Moscow, St Petersburg na Majengo ya balozi za iliyokuwa USSR, na technolojia, hicho ndicho kinapelekea wengi kuendelea kudhania kuwa Russia ndiye USSR .

Sasa hivi, Russia anagombana na mwenzake waliyewahi kuwa naye huko USSR, waafrika wanadhani Russia ndiye USSR na kuna mchi nje ya Afrika zinadhani Russia ndiye USSR. Kunachooelekea wengi kudhania hivyo wakiwemo US na NATO ni kitendo cha Russia kuendelea kutembea katika viatu na historia ya USSR. Hata urafiki wa nchi yetu na yao ni ule kihistoria wa enzi za USSR tu.

Kinachombeba huyu Russia hata wengine waamue kumchukulia serious ni resources alizo nazo, technology na ubabe na uchumi aliou rithi kutoka USSR...

Britanicca

britanicca inaelekea una chuki kubwa sana na urusi Kaka!!

Kwa uchache tu almost kila mwaka kuna wanafunzi zaidi ya 100 wanaenda kusoma elimu ya juu pale PFUR(Patrick Lumumba) na utaratibu huu umekuwepo muda mrefu baina ya Tanzania na Urusi.

Wasomi wengi sana wamepata maarifa yao huko urusi.

Binafsi mimi mwenyewe nimeishi hapo miklukho maklaya street, moscow kwa miaka kadhaa, story zako unazoletaga saa nyingine nakushangaaga unavyowekaga chumvi!!

Chuki zako zote ila bado unatumia id yenye kujinasabisha kua wewe ni mrusi,
британка
britanka!!...
a : a person born, raised, or living in Russia
b : a person whose family is from Russia
 
hatutaki uruis tunataka hapa tz kwa nini kuongelea habari za hapa umekuwa mgumu.au tunaongea lugha moja huku mtaani na ndugu zako
 
Ulitaka tusapoti ushoga? Kuna msaada gani wa maana kutoka west? Anakupa ARV anachukua madini, hyo ni msaada au matope?
Kupewa ARV bure waita matope? Si mkatae kupokea tu? Usiseme kachukua madini. Sema umempa madini. Kaiba?
 
Kanyaga twende na Russia,Viva Putin Viva.
 
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.

Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika, Russia anatumia address za USSR kama vile Moscow, St Petersburg na Majengo ya balozi za iliyokuwa USSR, na technolojia, hicho ndicho kinapelekea wengi kuendelea kudhania kuwa Russia ndiye USSR .

Sasa hivi, Russia anagombana na mwenzake waliyewahi kuwa naye huko USSR, waafrika wanadhani Russia ndiye USSR na kuna mchi nje ya Afrika zinadhani Russia ndiye USSR. Kunachooelekea wengi kudhania hivyo wakiwemo US na NATO ni kitendo cha Russia kuendelea kutembea katika viatu na historia ya USSR. Hata urafiki wa nchi yetu na yao ni ule kihistoria wa enzi za USSR tu.

Kinachombeba huyu Russia hata wengine waamue kumchukulia serious ni resources alizo nazo, technology na ubabe na uchumi aliou rithi kutoka USSR.

Britanicca
Sio kwel mkuu Russia ina msaada mkubwa sn tz ukienda kule kibaha utakutana na wanajesbi wengi tu wa kirusi tunasaidiana kwenye upande wa vifaru na mizinga ya masafa marefu pia ata officer cadet wengi tu wa tz wanafanya training Russia ninavyoandika hapa kuna cadet kama 50 au zaid wanajiandaa kwenda Russia kwenye training
 
We jamaa upo frustrated. News zote hizi unamtukana Mrusi.
Nadhani unatakiwa ujichunguze. Ipo na matatizo sehemu. Vilevile nakusihi uijue historia ya Urusi. Asilimia kubwa ya viongozi wa Israel wamefundishwa na Urusi. Ndio maana Victory day Urusi na Israel husherehekea siku moja.

achana nae mkuu huyu ni wale watu wa bendera ya upinde wa mvua sasa anang'ang'ania Putin ammwagie ndani sasa Putin ni mtu wa kazi
 
Kati ya kiazi namba moja ni wewe from russian empire, Soviet Union mpk leo Russia federation maamuzi yote yanatokea katika Kremlin pale Moscow Zama za Soviet uliwahi kusikia maamuzi ya kitu fulani yamefanywa na nchi ingine zaidi ya Russia. Umekuwa brainwashed sana na hawa westerners asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
We jamaa upo frustrated. News zote hizi unamtukana Mrusi.
Nadhani unatakiwa ujichunguze. Ipo na matatizo sehemu. Vilevile nakusihi uijue historia ya Urusi. Asilimia kubwa ya viongozi wa Israel wamefundishwa na Urusi. Ndio maana Victory day Urusi na Israel husherehekea siku moja.

[emoji56][emoji56]jamaa analipwa shilingi ngapi huyu,manake propaganda hizi sio burebure tu huyu analipwa!
 
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.

Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika, Russia anatumia address za USSR kama vile Moscow, St Petersburg na Majengo ya balozi za iliyokuwa USSR, na technolojia, hicho ndicho kinapelekea wengi kuendelea kudhania kuwa Russia ndiye USSR .

Sasa hivi, Russia anagombana na mwenzake waliyewahi kuwa naye huko USSR, waafrika wanadhani Russia ndiye USSR na kuna mchi nje ya Afrika zinadhani Russia ndiye USSR. Kunachooelekea wengi kudhania hivyo wakiwemo US na NATO ni kitendo cha Russia kuendelea kutembea katika viatu na historia ya USSR. Hata urafiki wa nchi yetu na yao ni ule kihistoria wa enzi za USSR tu.

Kinachombeba huyu Russia hata wengine waamue kumchukulia serious ni resources alizo nazo, technology na ubabe na uchumi aliou rithi kutoka USSR.

Britanicca
Mashudu matupu, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji123]
JamiiForums25540477~2.jpg
 
Mkuu Acha kuwaona watu vilaza Russia ndio ma founder wa hiyo USSR asa utawetenganishaje na USSR.jiulize kwanin Baada ya USSR kuanguka USA na wake zake bado wanampiga vita sana Russia na sio Serbia, Poland , Ukraine,Wala Cezch republican .Russia ndio alibeba maana yote ya USSR.
 
Kati ya kiazi namba moja ni wewe from russian empire, Soviet Union mpk leo Russia federation maamuzi yote yanatokea katika Kremlin pale Moscow Zama za Soviet uliwahi kusikia maamuzi ya kitu fulani yamefanywa na nchi ingine zaidi ya Russia. Umekuwa brainwashed sana na hawa westerners asee

Sent using Jamii Forums mobile app
Uyu jamaa Leo ndio nimemuona kiazi sana nilkua nazan watu wanamuonea
 
Heading yako unakiri watanzania wengi....good, maana nafsi yako haiwezi kukudanganya. Sababu zao kuipenda urusi naamini unawalisha tu.
 
Watanzania wengi wanamuunga mkono Russia, wakidhani ni USSR. Hawajui kuwa wanachanganya kati ya Russia na USSR. Russia na USSR ni vitu viwili tofauti ingawa historia inaonyesha Russia aliwahi kuwa sehemu ya USSR, lakini nje ya USSR.

Russia hakuwahi kuwa na msaada kwa Tanzania na waafrika, Russia anatumia address za USSR kama vile Moscow, St Petersburg na Majengo ya balozi za iliyokuwa USSR, na technolojia, hicho ndicho kinapelekea wengi kuendelea kudhania kuwa Russia ndiye USSR .

Sasa hivi, Russia anagombana na mwenzake waliyewahi kuwa naye huko USSR, waafrika wanadhani Russia ndiye USSR na kuna mchi nje ya Afrika zinadhani Russia ndiye USSR. Kunachooelekea wengi kudhania hivyo wakiwemo US na NATO ni kitendo cha Russia kuendelea kutembea katika viatu na historia ya USSR. Hata urafiki wa nchi yetu na yao ni ule kihistoria wa enzi za USSR tu.

Kinachombeba huyu Russia hata wengine waamue kumchukulia serious ni resources alizo nazo, technology na ubabe na uchumi aliou rithi kutoka USSR.

Britanicca
Sawasawa...
 
Hakunaga mapenzi ovyo ovyo
Mrusi hana baya na mtu yeyote hasa kutoka africa, unaempa promo ndo muuaji mkuu ulimwengun kaingilia had mfumo wa kugongana had wew unadiriki kuuita mapenz ya hovyo. Acha PUTIN aweke wazi uongo wao kuhusu nguvu zao za kivita tunazohubiliwa kila kukicha kua ni super wakat si lolote
Ulitumwa ufanye mapenzi ovyo ovyo, mpaka uingie ktk ARV
 
Back
Top Bottom